Ndg yangu nimekuelewa kwa 100%.Mkuu yanapatikana
Lakini ni sawa na kuuliza,kwani ukiwa na mtoto hawezi kusoma Ihungo Sekondari tulikosoma sisi na unaamua kumpeleka Feza School?
Nasikia Makongoro Nyerere kama sio John Gwido Nyerere (RIP) alikuwa jet fighter pilot, na ashiriki vita ya Kagera,, je kwa viongozi wetu sasa kuna anayeweza kuruhusu mwanaye afanye jambo hilo?

