Mtoto shoga vs Mtoto teja, yupi afadhali?

Mtoto shoga vs Mtoto teja, yupi afadhali?

Ushoga na uteja wa madawa zote ni laana. Hamna MTU apendaye mwanawe eidha awe shoga bin ***** wala awe teja.
Lakini magumu humkuta mwanadamu, lakini je kati ya hawa walaaniwa wawili ni yupi mwenye nafuu?
Hizi ni mada za Lumumba kwa Great thinkers huwezi jadili dhambi hii.
 
Ushoga na uteja wa madawa zote ni laana. Hamna MTU apendaye mwanawe eidha awe shoga bin ***** wala awe teja.
Lakini magumu humkuta mwanadamu, lakini je kati ya hawa walaaniwa wawili ni yupi mwenye nafuu?

Weka picha tuwaone
 
Teja akienda kwa mzee wake anaanza" mdingiee unashida gani hapa nimepiga dili nimenyaka mpunga kuna kaem hapa kama vipi spend ni maza, afu hizi bati zinavuja sana hebu mdingi niambie bati shingapi, afu huyu dogo angu naona siku anazingua shule hasomi hivi mdingi huyu dogo ana deni lolote hapa kuna kilo mbili akalipe huko skonga na madaftari anunue, maza ee yule demu nliyemgonga mimba mi namleta umsaidie nkipiga dili zangu kila siku ntaacha msmbazi uhakikishe anapata mazaga ya muhimu mpaka mjukuu wako atakapoiona dunia.."
Mtoto teja " Halooooooo leo babu nina kiparang'ata baba kiboga ndio habari ya mjini, kiboga raha baba niache nikapate raha, kesho kwanza kesho kigodoro ndio naondoka hivoo hadi keshukutwaaaaa jumapili na msinitafute kwanza leo nina shughuli babuuuuu!!!!!
 
[QUOTE="Kaboom, post: 16622272, member: 59unaproveuu hata shoga kisheria si anatakiwa kifungwa[/QUOTE]
Sheria IPO.
Shoga anafungwa miaka 7.
Sasa unaprove vipi kuwa. Jamaa no gay?
 
Shoga noma mwanangu!
Jirani yangu mtoto wake ni shoga hata urafiki na mm kaacha sasa maana anampa sana aibu huyu kijana
 
We umelinganisha madhara ya kupigwa risas ya bastola na nyuklia. Achana na ushoga wewe! mi hata jina tu 'shoga' nataman lifutwe kwenye kamus.
 
Back
Top Bottom