AmenMungu aepushe yote hayo kwa watoto wetu
Mkuu hata shoga kisheria si anatakiwa kifungwaBora teja ,anaweza kwenda kufungwa jela ukaepukana nae!!
MUNGU AEPUSHIE MBALI NA ATUPE NEEMA KUTENDA YAMPENDEZAYE.Yaskie kwa jirani!
Bila kuwaza tuu....
Bora teja
Bora teja ukimhamishia sehemu isiyo na sembe anaacha, sasa senge utalihamishia wapi!
Teja nalo linaweza kuliwa kwa kiu ya madawa.....hivi mnajua mateja nyinyi?! Teja anakuwa tayari kwa chochote apate raha yake!Mh1 bora Teja anaweza kupelekwa Bagamoyo na akarudia hali yake ya kawaida!
Jela ya wanaume ama wanawake?Mkuu hata shoga kisheria si anatakiwa kifungwa
andikeni vizuri basi,au changieni kimoyomoyo,huu ni uandishi mbovu kabisa na ni aibu humu JF kuwa na mtu anaandika hivi kweli?inasikitisha sana...Dah! Huu mtian ni mzito sana usiombe ukukute ikitoke Bora TEJA kuliko soga
aaaaah hapo majanga baada ya kula unaliwa? Mungu anajua adhabu mwisho akeBora ya teja, msanii chid benz juzijuzi tu alikubali kua niteja imagine angekua ni shoga hio aibu ingekua kubwa kias gan
[emoji122] [emoji122] Wote tujue kuandika nan? Atamfundisha mwenzake alazima ajulikane mwalim na mwanafunziandikeni vizuri basi,au changieni kimoyomoyo,huu ni uandishi mbovu kabisa na ni aibu humu JF kuwa na mtu anaandika hivi kweli?inasikitisha sana...