Mtoto shoga vs Mtoto teja, yupi afadhali?

Mtoto shoga vs Mtoto teja, yupi afadhali?

Kwanini useme walaaniwa? Nani kawalaani?
Ndio wana makosa ila sio laana! Wanaweza acha hizo wakiamua na kwa msaada wa ushauri.
Mtoto akiwa kati ya hayo makundi cha kifanya ni kumkubali kama alivyo na kumsaidia kuacha. Kwa sababu moja au nyingine wewe mzazi ndo mwenye makosa! Kuna sehemu ulozembea katika nafasi yako kama mzazi. Hizi kitu hazianzi tu from no where kuna vitu vidogo vidogo hua vinaanza mwanzoni kabisa...
 
TATIZO TEJA AKITAKA UNGA YUKO RADHI KULIWA TIGO APEWE KETE. SO HAKUNA NAFUU...MAANA UTAKUTA NI TEJA NA ANABANDULIWA
 
Shoga noma sana, bora teja , unaweza mpeleka kwenye ma counseling akarudi kawaida , lakini shoga mmmhhh ndio kwanza wanapigiwa bede waendelee
 
Back
Top Bottom