Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,964
Bora teja..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora teja ,anaweza kwenda kufungwa jela ukaepukana nae!!
si kweli mkuu sababu mateja weng huaribikiwa jelaBora teja ukimpeleka jela hamna ngano ataacha...
Lakini shoga umpeleke katikati ya walawiti imekula kwako...
Watam tusua mpaka awe kibobo..
na nyie mnaosema teja hamjawahi kuishi nao mateja , anauza mpk chupi zenu
kutwa kutembeza visu ndani
kutwa kesi kamtia kisu huyu mara huyu kamchania dirisha
mara wengine wanakuja tunamtafuta tumuue amefanya hiki, mara kile....
kila saa msala
nyumbani mambo vululu vululu, matusi , fujo..
kuishi na teja sio kazi ndogo kama mnavodhani... kuliko kuishi na teja bora shoga afu shoga awe mstaarabu! asiejitoa ufahamu...
japo hakuna ubora pande zote..
we acha tu...Haya mambo yasikie na kuona kwa jirani.....tu!! ni shida kuwa yako kwenu....!! unaumia unaporud unaskia teja kaingia chumban kwa mama yake mzaz kachukua kitenge ni kaz kwel..
Akifungwa si ndo watamfumua marinda ucku kuchaMkuu hata shoga kisheria si anatakiwa kifungwa
Madem wengi mnapenda mashoga sijui kwaninna nyie mnaosema teja hamjawahi kuishi nao mateja , anauza mpk chupi zenu
kutwa kutembeza visu ndani
kutwa kesi kamtia kisu huyu mara huyu kamchania dirisha
mara wengine wanakuja tunamtafuta tumuue amefanya hiki, mara kile....
kila saa msala
nyumbani mambo vululu vululu, matusi , fujo..
kuishi na teja sio kazi ndogo kama mnavodhani... kuliko kuishi na teja bora shoga afu shoga awe mstaarabu! asiejitoa ufahamu...
japo hakuna ubora pande zote..
Vyovyote itakavokua ila sio shogana nyie mnaosema teja hamjawahi kuishi nao mateja , anauza mpk chupi zenu