Mtoto Akataa shule; Bora aende jela

Kwenye hiyo video dogo yupo serious kabisa.
Ila swala la kukataa shule athari zake huja Kulingana na bahati ya mtu Kwa mfano mwingine anaweza kataa shule na akatoboa kimaisha ila mwingine anaweza kataa hivyo hivyo na maisha yanamkataa.
Ndoyo maana nilimalizia kwa kusema kuwa "labda kama ana kipaji maalumu kama muziki, mpira na biashara za kununua na kuuza. "
 
Mimi pia nakumbuka nilikataa kuanza darasa la kwanza (nilikataa shule)

nadhani ni utoto tu; ingawa nilikuwa na sababu zangu pia ambazo zilinifanya kukataa shule

ilitumika nguvu kubwa kuhakikisha naanza shule... mpaka nikakubali na hatimaye nikaanza kuipenda shule kuliko kawaida.
Kwa ushauri wako dogo akazie msimamo wake au auache
 
Back
Top Bottom