Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 15,574
- 19,457
Ndoyo maana nilimalizia kwa kusema kuwa "labda kama ana kipaji maalumu kama muziki, mpira na biashara za kununua na kuuza. "Kwenye hiyo video dogo yupo serious kabisa.
Ila swala la kukataa shule athari zake huja Kulingana na bahati ya mtu Kwa mfano mwingine anaweza kataa shule na akatoboa kimaisha ila mwingine anaweza kataa hivyo hivyo na maisha yanamkataa.