MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,563
sijakataa kiongozi ndo maana nimesema wengi means sio wote!
Mmmh! Pamoja na kusoma/kufuatilia mtiririko wa posts zote zilizoandikwa hapa, bado cjaelewa kabisa hili neno 'let love lead the way'. Dah!
Lol AshaDii naona unanichongea kwa Babu sasa mwe maana kwa sasa mie si fav Mjukuu wake tena, nimeshindwa kutimiza wajibu ndo maana mapenzi yamehamia kwa Gaga.....angeweza kuni-unbaptize aninyang'anye jina la Mjukuu Mtiifu angelifanya hivyo mwe
Ngoja nianze kujaribu kutimiza wajibu labda ntalirudisha penzi la Babu!!!
Mjukuu hakuna aliekataa hayo, ndo maana tunasema kama love itakua inalead the way hapo kwenye RED ndio inapelekea ulete joke, upendo nakadhalika! yaani unafanya kitu kutoka moyoni kabisa wala ile umpendeze mwenzio. Maana watu tunaposema "lets love lead the way" hatumaanishi kwamba hakuna vitendo la hasha Mjukuu!Even if there is love bado tunatakiwa kulipalilia na kunyweshea maji ya upendo, malavidavi, jokes, heshima e.t.c.
Maty mydia nipokee jumamosi asubuhi, ukumbuke kuja na blanket la kunifuta machozi lol!! nimekumiss
Kabisa komredi yaani ukitaka kukosea we chukua kanuni zangu peleka kwako lol utaona vumbi lake!Tupo pamoja mkuu...hii kitu yaitwa mapenzi haina kanuni kabisa...
Lol ............Tatizo alishakula mahari ya Mbu akataka cha juu hahahaha Mbu mbahili ndo maana anazibiwa!Kipipi IMO ukiichukua "let love lead the way" kama ilivo bila kuchakachua... Ina maana kua pale unapopenda fuata roho yako na mengine yoote yatajipanga huko huko mbeleni.... (na hio hasa ndo imeleta ubishani huu).
Yaani katika sehemu ya somo hii ndo nimeshindwa kuielewa kabisa!! Mwalimu wangu atakuwa alikpata shuda sana kuhakikisha nafauli !
Hana lolote babu yako... hivi unafikiri speed ya Mbu mchezo?? Jammaa haongei saana, yeye kazi ku "mark territory" na ku hakikisha "love ina lead the way"... Hivo hapo compe... yahitaji nguvu ya ziada....lol.. Hivo kaona ajikite kwa Gaga kama Soulmate.... (Tusije tu sutwa maana tuliaga...lol)
Yaani Maty hawa wakaka leo wameamua tu kunichanganya dada yao! Mi nadhani wanatutania na kutujaribu tu kwa sababu ninaamini kabisa wao kwa wake zao ndio wanakuwaga wa kwanza kuwalalamikia......Wife siku hizi hunipendi kama zamani, hunifanyii, moja mbili tatu..........ah
I hope Babu hatoiona hii! Lol
Naja Maty shaka ondoa, nshapewa ruhsa ujue na kuchakachua ntajachapwa!
Kabisa komredi yaani ukitaka kukosea we chukua kanuni zangu peleka kwako lol utaona vumbi lake!
ila tunachosema hapa usifanye kitu kwa kua unataka mpenzi wako abadilike vile upendavyo wewe, na asipofanya basi wewe unaumuia roho. Kama wewe ukininunulia Nguo mie niakupeleka beach hayo ndio mapenzi, sio ukinunua na mimi ninunue, ukipeleka cinema na mimi nikupeleke. We fanya kile kitu roho yako inapenda na unapoona mpenzi wako hapendi kile ukifanyacho usilazimishe. hakuna formula hapa
Lol ............Tatizo alishakula mahari ya Mbu akataka cha juu hahahaha Mbu mbahili ndo maana anazibiwa!
Hahahahh Shost tutasutwa maana hata hodi hatujapiga.
Teamoooo njoo baba tulidishe love mbele!
Mimi nimikaa tu kimya hapa mupenzi maana nikianza ubishi hapa patakua hapatoshi. Halafu umiiba mawazao yangu jamani penzi kweli halitakiwi kulazimishwa lakini wababa ndio wakwanza kulalamika kwamba tukiolewa tunajisahau sana mara wachafu, mara busy na watoto mara malovee yale ya kipindi kile tumepunguza.
Huwa mnaenda extramile mpaka kutuambia kwa nini tumenenepeana sasa wakati nilivyokupenda ulikua kipotabo mara siku hizi unakitambi we mama naniliu. Sasa kwa nini unataka mkeo aendelee kuwa potabo na sio kunenepeana? na mnasema kabisa penzi kwa mamsapu limepungua kwani siku hizi hanijali so unaenda kutafuta dogo dogo nje.
Hivi mnajua kazi ya kupunguza unene baada ya ile mitori ilivyo nzito? na ninavyotumia muda wangu wa kupanga diet, kufanya mazoezi ili mume wangu aendelee kuniona ni yule yule wa zamani nayo ni wajibu? Huwa tunajitesa tu ili kupalilia penzi!
Well saidAs far as kutaka mtu abadilike ili akufurahishe wewe ninakubaliana na nyie 100% (furaha zako zisiwe kero kwa mwenza wako) Lakini kama sacrifice yangu ya kufanya jambo ambalo sio hobbie yangu litamfanya mwenza wangu afurahi basi its worth the sacrifice.....

Mfano kama yeye anapenda kwenda beach na mimi sipendi kwenda beach basi takwenda beach ili kumpa company na yeye ambae hapendi kwenda sinema basi akinisindikiza kwenye sinema basi wote tukatuwa happy (give a little and take a little...)..., au kama najua yeye anapenda nguo kwanini nisimpe kile kitu roho yake inapenda..

Kumbuka "its all about giving and not receiving...", alafu mkishapendana sana its not about the things you do...!!, or what you like...!!!, the fun is in doing together..., and sharing the company...... (even watching the paint dry can be fun..., just because you are together)
As far as kutaka mtu abadilike ili akufurahishe wewe ninakubaliana na nyie 100% (furaha zako zisiwe kero kwa mwenza wako) Lakini kama sacrifice yangu ya kufanya jambo ambalo sio hobbie yangu litamfanya mwenza wangu afurahi basi its worth the sacrifice.....
Mfano kama yeye anapenda kwenda beach na mimi sipendi kwenda beach basi takwenda beach ili kumpa company na yeye ambae hapendi kwenda sinema basi akinisindikiza kwenye sinema basi wote tukatuwa happy (give a little and take a little...)..., au kama najua yeye anapenda nguo kwanini nisimpe kile kitu roho yake inapenda..
Kumbuka "its all about giving and not receiving...", alafu mkishapendana sana its not about the things you do...!!, or what you like...!!!, the fun is in doing together..., and sharing the company...... (even watching the paint dry can be fun..., just because you are together)
Mjukuu hakuna aliekataa hayo, ndo maana tunasema kama love itakua inalead the way hapo kwenye RED ndio inapelekea ulete joke, upendo nakadhalika! yaani unafanya kitu kutoka moyoni kabisa wala ile umpendeze mwenzio. Maana watu tunaposema "lets love lead the way" hatumaanishi kwamba hakuna vitendo la hasha Mjukuu!

Uzuri unajua source ya matatizo... hivo uvumbuzi haupo mbali....

Maty umenigusa saana nah ii post…. Kweli waje wajitetee hapa… Umemzalia watoto wazuri.. watoto to be proud of… anasahau kabisa kua those beings wanao mwita baba wametoka ndani ya mwili wako… inasikitisha kweli… Uko busy… nawe wachangia kipato, kazi za production na reproduction zimekubana… ukisikia njaa kweli utafikiria mambo ya diet?? Ni kazi kwa kweli… na miili yetu hapo inakua triggered kuongezeka upende usipende… la sivo labda ujishindishe na njaa…. However kunai le ya kusema napo mtu usiendekeze mno for kuna limits…. Maana napo ukijiendekeza kwa sababu hizo yaweza kua kituko… kwamba kunene yaweka kua inevitable, but kuna tofauti ya kunenepa na kunenepeana....

sasa apa ndo nataka babu aje aniambie kama huu na wajibu au ni kulilinda pendo
Daughter haya maswali yako haya yamekwenda shule ......sipati picha kuacha kuchimbua ule utundu wa kubana na kuachia loh........ila Babu kasema Love kulead the way maana yake ni kuwa uyafanye hayo yote kwa kigezo cha LOVE na si kwa kigezo cha kumfanya akuone wewe ndie wewe peke yako mwe!! ngumu eh?!Asante Teamo kwa hili dude,limetulia. Ila naomba mwongozo kama walivyofanya wengine hapo juu,wat exactly do you mean by 'letting love lead the way...' am confused aseee! Halafu Babu hapo kwenye majukumu umeniacha kidogo,inamaana ukishapenda/pendwa fanya hayo majukumu tu bila vichochezi vya ziada au?kweli cjakupata ebu angusha mauzoefu apa mjukuu nielimike
Yeah na hii sacrifice ukiifanya kwa "love" inapendeza zaidi, maana kuna wengine wanafanya sacrifice hizi kwa unafiki tu na sometimes mpaka inapelekea mwenza wako anagundua na inamsababishia maumivu ya moyo..!As far as kutaka mtu abadilike ili akufurahishe wewe ninakubaliana na nyie 100% (furaha zako zisiwe kero kwa mwenza wako) Lakini kama sacrifice yangu ya kufanya jambo ambalo sio hobbie yangu litamfanya mwenza wangu afurahi basi its worth the sacrifice.....