Mtikila has extreme genocide ideology, says Kagame

Kagame analigeuza tatizo kuwa la Wahutu na Watusi kuificha ukweli.
Rwanda na Uganda zinafaidika sana kiuchumi kwa mgogoro wa Congo.

Ben Mkapa na Kofi walimwita Kagame Nairobi na kumpa ultimatum ya kumkamata Ntakaganda.
Kagame alimkata withini a week licha ya ukweli kuwa mataifa yalifanya jitihada za miaka.
Uhusiano wa Ntaganda na Kagame ni bosi na mtumishi.
Leo Ntaganda yupo Kigali anakula hewa, hana mashtaka wala nini kwasababu alikuwa anafanya kazi ya serikali ya Kagame

Kagame akatumia njia nyingine kurudi na ku-destabilize congo kwa kutumia hao mahasimu wao ili aendelee na shughuli za uchumi kama ilivyo kwa Museveni. Hata siku moja hawakubali uwepo wa vikosi vya UN kwasababu ni gharama kwa serikali zao (vita kati ya UN na wao)

Alichokisema JK ni ushauri na Rwanda ina haki ya kuukubali au kuukataa. Kukereka kwa Kagame kunatokana na chuki dhidi ya Tanzania ya kushiriki katika majeshi yanayopambana na interest zake.Kagame hapendi kuiona Congo tulivu.

Ukitaka kujua hana hoja ni pale anapotafuta habari za Mtikila ambaye ameshawahi kufungwa Tanzania kwa matamshi yake na kuihusisha na kauli za JK. Bila kujali motive ya JK au serikali reaction ya Kagame ni zaidi ya hapo.
 
Asante kwa ramani. Asante pia kwa maelezo yako. Kumbe unajua mengi zaidi juu ya Rwanda kuliko ilivyoonekana. Kumbe kuna wapiganaji wa Kihutu ambao wamerudi nyumbani na kuingizwa kwenye jeshi la nchi. So far so good. Sasa ningependa kujua malengo ya FDLR. Are they just a political party or are they also a military? Nchi haiwezi kuwa na majeshi mawili kukawepo amani. Ndio maana nilitoa mfano wa RENAMO. Renamo ceased to be a military force and became a political party. That is why there is peace and development in Mozambique. Is FDLR willing to go through the same metamorphosis?

FDLR ina historia ndefu........ukisoma kitabu kimoja cha Gerald Prunier (From Genocide to Continental War) amejaribu kufafanua na kuelezea kwa undani. FDLR ni political movement yenye lengo la kuondoa utawala wa jeshi la kabila moja na kutoa haki ya wakimbizi wa Rwanda kurudi kwao. Kwa kuitambua hilo hata serikali ya Marekani iliondoa FDLR kama kundi la kigaidi (tofauti na propaganda za Rwanda kuwa FDLR bado ni kundi la kigaidi). Sasa kinachofanyika ndani ya Rwanda ni kujaribu kutowapa nafasi wahutu wenye elimu kurudi Rwanda (wengi sana waliuawa na utawala wa Kagame, ndani na nje ya Rwanda). Kwa wale wapiganaji wa FDLR ambao waliamua kurudi wengi wao waliuawa kimya kimya lakini wale wenye majina makubwa wameachwa kama symbol ili kudanganya wengine. Serikali ya Rwanda ambayo inaendeshwa na jeshi la kabila moja halitaki kutoa nafasi ya mazungumzo dhidi ya FDLR kwa vile inatambua kuwa kwa ukandamizaji uliojitokeza tangu 1994 ni dhahiri kukiwa na demokrasia ile serikali ya kabila moja haiwezi kushinda. Kwa hivyo FDLR imekuwa ni uniting force ya wahutu na watutsi ambao sio pro-Kagame na kagenge chake cha wahuni. Walijaribu zile operations mbili kwa kushirikiana na jeshil la Congo za Kimia II na Umoja Wetu lakini zote hazikufaulu. Nina marafiki both hutus and tutsis ambao tumesoma pamoja hapa bongo na sasa wengine wako Kigali lakini frankly speaking uovu wa Kagame na kagenge chake unafahamika na muungwana yeyote hawezi kumtetea.....!
 
Kwetunikwetu napenda unavojibu na kuchambua historia za maziwa makuu bila kuwa bias kama akina sijui Rutajumbirwa, Kobe, Jausi na yule dada sijui nani Dominic.Wape ukweli wao waache kutujazia wakimbizi,sisi tunajua madhara ya wakimbiziachana na haya ya deforestation ya kusoma kwenye vitabu vya kujibia mitihani ya taifa.Nilikuwa Ngara mwaka 1994 najua jinsi maiti zilivokuwa zinaelea mitoni,najua sauti za mizinga na bunduki na vifaru
 
Sometimes unapojaribu kujadili masuala ya amani ukanda wa maziwa makuu, basi kuna watu wahataki uguse utawala wa Rwanda. Tatizo la Rwanda sio raia wema, tatizo ni kigenge cha wahuni waliojificha nyuma ya pazia la utisho wa genocide. Mbona Burundi kuna watutsi pia na hakuna mtu mwenye matatizo na Burundi sasa? Mbona Burundi ina waasi kule Congo wa FNL lakini serikali ya Burundi haikuhaingaika kupinga kikosi cha 'intervention' cha UN? Sasa likija suala la Rwanda inakuwa nongwa...! Ukiwa Kigali ole wako uzungumzie habari za siasa, meku hata mwenyeji wako atakuomba unyamaze mzungumzie soka, lakini nimekuwa Burundi mara nyingi tu hali ni tofauti. Kuna siku nilikuwa stuck pale Bujumbura airport baada ya kushuka na ndege ya saa saba usiku na kukuta mwenyeji wangu hayupo, ikabidi nikae hapo nisiondoke kwa vile kuna abiria mwenzangu aliniusia kuwa kama sina prior arrangement na hoteli ni bora nibaki hapo mpaka asubuhi maana ni hatari kwa mida hiyo. Nilibaki peke yangu na watu wote waliondoka mpaka taa za ndani pale waiting hall zikazimwa. Usiku kucha nikashinda na wanajeshi tu pale tunapiga story mpaka asubuhi, na walikuwepo wahutu na watutsi pia.....!
 
Wewe na Kobe sasa ameongezeka Rutajumbirwa nyie ni tutsi extremist mnaona kama Kagame is your everything lakini mnasahau kuwa ile kazi ya 1994 ikuwa ya CIA kwa hiyo for sure mlianza na CIA na mtamaliza na CIA kama alivofanya Savimbi.That is how western play
ndugu bornagain, basi wewe ni mhutu, tena nterahamwe! make anayetoa mawazo mbadala na hate yako ni mtusi..... go hang
 
google utaiona..... make ingekuwa nchi za wenzetu, mtikila na yule aliyempa platform wangekiona... apartheid at work
 
kaji-fire na mapembe ya ng'ombe wa kagame wewe mtutsi:yell:

Acha kuchanganyikiwa dogo jibu swali na hoja mbele yako! Mimi ni Mhutu pure lakini nachukia watu ambao ni double standard kama KIKWETE na wewe MBURULA!
 
hoja ni kwamba mkileta ngendembwe tunawafyekelea mbali watuts wote mliopo tz, kalia pembe la ng'ombe mume wenu kagame:yell:
 
Jasusi, RUTAJUMBUKIRWA,

..I dont think this is about genocide.

..had it been about genocide, the western powers/"international community" would not have looked the other way while millions of Congolese ppl' were being slaughtered.

..the powers that supported Rwanda and Uganda incursions into Congo, are the same powers that have now turned around and are supporting SADC involvement in Congo.

..remember in the late 90s SADC sent a combat force to stabilize Congo and prevent the then government frm being toppled by Rwanda and Uganda armies. Now, tell me what has changed btn now and then??

..sisi wa-Tanzania tunakwenda na upepo tu. We are just following the cardinal rule of politics and international relations that there are permanent interests and not permanent friends.

..If Rwanda was OK with Tanzania supporting her in the late nineties, and going against SADC[Tz is a signatory of SADC defence treaty], then they should not be surprised that now we are supporting SADC.

..This is about how Congolese resources are going to be exploited and by which powers. Kagame should position his country according to that new reality.

cc: gombesugu, THE BIG SHOW, Kabaridi, Nguruvi3, zomba, Ritz

Where were they during the Rwanda and Burundi genocides, have you easily forgotten?
 
Nikiwa ni mtu ninayefahamu historia ya jamii za Kitanzania ambazo zina mahusiano ya kihistoria na kindugu na jamii jirani za Kiganda na Kinyarwanda niseme kwamba tuhuma nyingi Mtikila zimejikita ktk chuki na uchochezi wa kibaguzi! Na amefanikiwa kwasababu anajua Watanzania wengi ni wavivu wa kusoma..
 
zomba,

..Rwandan genocide took place after the genocide in Bosnia, and Kosovo.

..It is not that I have "forgotten too soon." How could I, while I have friends who lost relatives during the genocide in Rwanda?

..What saddens me the most, is the fact that Kagame's regime has been involved in the massacre of millions of innocent Congolese ppl.

..I dont support most of Mtikila's views, but lets be honest here: Between Mtikila and Kagame, who has killed more ppl?

cc: Kwetunikwetu, RUTAJUMBUKIRWA, Kabaridi, Jasusi, gombesugu
 
Last edited by a moderator:
........ na chambo cha wanawake zao (the Tutsi sexual diplomacy).

Duh hii aina ya Diplomacy kiboko!
Mzee Mtikila akiamua kutiririka sijui nani anaweza hata kua utter none sense! Gen. Kagame ajibu hoja hizo za Saa ya Ukombozi ni Sasa.

zomba,

..Rwandan genocide took place after the genocide in Bosnia, and Kosovo.

..It is not that I have "forgotten too soon." How could I, while I have friends who lost relatives during the genocide in Rwanda?

..What saddens me the most, is the fact that Kagame's regime has been involved in the massacre of millions of innocent Congolese ppl.

..I dont support most of Mtikila's views, but lets be honest here: Between Mtikila and Kagame, who has killed more ppl?

cc: Kwetunikwetu, RUTAJUMBUKIRWA, Kabaridi, Jasusi, gombesugu

Just to remind you;

In 1994, the small East African state of Rwanda was torn by one of the century's most brutal waves of ethnic and political violence. In a three month period from April to June, the Rwandan Armed Forces (FAR), working with trained civilian militia, systematically massacred as many as 1 million of the country's 7.7 million people. The primary targets of the violence were members of the minority Tutsi ethnic group, who were chased from their homes, gathered in churches and other public buildings, ostensibly for their protection, then methodically murdered, first with grenades and guns, then with machetes and other traditional weapons. In the weeks that followed, death squads carefully hunted down and killed survivors of the large-scale massacres. While the exact portion of the Tutsi population killed in the genocide cannot be accurately determined, it seems fair to estimate that at least 80 percent of the Tutsi living in the country lost their lives.(1)

In the aftermath of this horrific bloodbath, Rwanda's Christian churches have faced extensive criticism. Many journalists, scholars, human rights activists, politicians, and even some church personnel have accused the churches not simply of failing effectively to oppose the genocide but of active complicity in the violence.(2) According to a report by a World Council of Churches team that visited Rwanda in August 1994, "In every conversation we had with the government and church people alike, the point was brought home to us that the church itself stands tainted, not by passive indifference, but by errors of commission as well."(3) My own research in Rwanda in 1992-93 and 1995-96 confirms these conclusions. According to my findings, church personnel and institutions were actively involved in the program of resistance to popular pressures for political reform that culminated in the 1994 genocide, and numerous priests, pastors, nuns, brothers, catechists, and Catholic and Protestant lay leaders supported, participated in, or helped to organize the killings.(4)

Read more:Church&Genocide.html [h=1]For Rwandans, the pope's apology must be unbearable[/h] If sexual abuse in Ireland warrants his contrition, what contempt is shown by the Vatican's silence over its role in genocide

f you are an Irish Catholic, and have suffered sexual abuse at the hands of a priest, you were recently read a letter from Pope Benedict that tells you: "You have suffered grievously and I am truly sorry. I know that nothing can undo the wrong you have endured. Your trust has been betrayed and your dignity has been violated."For any practising Catholic in Rwanda, this letter must be unbearable. For it tells you how little you mean to the Vatican. Fifteen years ago, tens of thousands of Catholics were hacked to death inside churches. Sometimes priests and nuns led the slaughter. Sometimes they did nothing while it progressed. The incidents were not isolated. Nyamata, Ntarama, Nyarubuye, Cyahinda, Nyange, and Saint Famille were just a few of the churches that were sites of massacres.
To you, Catholic survivor of genocide in Rwanda, the Vatican says that those priests, those bishops, those nuns, those archbishops who planned and killed were not acting under the instruction of the church. But moral responsibility changes dramatically if you are a European or US Catholic. To the priests of the Irish church who abused children, the pope has this to say: "You must answer for it before almighty God and before properly constituted tribunals. You have forfeited the esteem of the people of Ireland and brought shame and dishonour upon your confreres."

Read more: For Rwandans, the pope's apology must be unbearable | Martin Kimani | Comment is free | The Guardian
 
Nikiwa ni mtu ninayefahamu historia ya jamii za Kitanzania ambazo zina mahusiano ya kihistoria na kindugu na jamii jirani za Kiganda na Kinyarwanda niseme kwamba tuhuma nyingi Mtikila zimejikita ktk chuki na uchochezi wa kibaguzi! Na amefanikiwa kwasababu anajua Watanzania wengi ni wavivu wa kusoma..
ji-tie vidole we mtuts, watanzania wa sasa si wa jana, tunasoma na kufuatilia sana mambo, :yell:
 
Kwetunikwetu napenda unavojibu na kuchambua historia za maziwa makuu bila kuwa bias kama akina sijui Rutajumbirwa, Kobe, Jausi na yule dada sijui nani Dominic.Wape ukweli wao waache kutujazia wakimbizi,sisi tunajua madhara ya wakimbiziachana na haya ya deforestation ya kusoma kwenye vitabu vya kujibia mitihani ya taifa.Nilikuwa Ngara mwaka 1994 najua jinsi maiti zilivokuwa zinaelea mitoni,najua sauti za mizinga na bunduki na vifaru
we niwemugizi mbona unaongea utumbo/
 
Just to remind you;

In 1994, the small East African state of Rwanda was torn by one of the century's most brutal waves of ethnic and political violence. In a three month period from April to June, the Rwandan Armed Forces (FAR), working with trained civilian militia, systematically massacred as many as 1 million of the country's 7.7 million people. The primary targets of the violence were members of the minority Tutsi ethnic group, who were chased from their homes, gathered in churches and other public buildings, ostensibly for their protection, then methodically murdered, first with grenades and guns, then with machetes and other traditional weapons. In the weeks that followed, death squads carefully hunted down and killed survivors of the large-scale massacres. While the exact portion of the Tutsi population killed in the genocide cannot be accurately determined, it seems fair to estimate that at least 80 percent of the Tutsi living in the country lost their lives.(1)

In the aftermath of this horrific bloodbath, Rwanda's Christian churches have faced extensive criticism. Many journalists, scholars, human rights activists, politicians, and even some church personnel have accused the churches not simply of failing effectively to oppose the genocide but of active complicity in the violence.(2) According to a report by a World Council of Churches team that visited Rwanda in August 1994, "In every conversation we had with the government and church people alike, the point was brought home to us that the church itself stands tainted, not by passive indifference, but by errors of commission as well."(3) My own research in Rwanda in 1992-93 and 1995-96 confirms these conclusions. According to my findings, church personnel and institutions were actively involved in the program of resistance to popular pressures for political reform that culminated in the 1994 genocide, and numerous priests, pastors, nuns, brothers, catechists, and Catholic and Protestant lay leaders supported, participated in, or helped to organize the killings.(4)

Read more:Church&Genocide.html For Rwandans, the pope's apology must be unbearable

If sexual abuse in Ireland warrants his contrition, what contempt is shown by the Vatican's silence over its role in genocide

f you are an Irish Catholic, and have suffered sexual abuse at the hands of a priest, you were recently read a letter from Pope Benedict that tells you: "You have suffered grievously and I am truly sorry. I know that nothing can undo the wrong you have endured. Your trust has been betrayed and your dignity has been violated."For any practising Catholic in Rwanda, this letter must be unbearable. For it tells you how little you mean to the Vatican. Fifteen years ago, tens of thousands of Catholics were hacked to death inside churches. Sometimes priests and nuns led the slaughter. Sometimes they did nothing while it progressed. The incidents were not isolated. Nyamata, Ntarama, Nyarubuye, Cyahinda, Nyange, and Saint Famille were just a few of the churches that were sites of massacres.
To you, Catholic survivor of genocide in Rwanda, the Vatican says that those priests, those bishops, those nuns, those archbishops who planned and killed were not acting under the instruction of the church. But moral responsibility changes dramatically if you are a European or US Catholic. To the priests of the Irish church who abused children, the pope has this to say: "You must answer for it before almighty God and before properly constituted tribunals. You have forfeited the esteem of the people of Ireland and brought shame and dishonour upon your confreres."

Read more: For Rwandans, the pope's apology must be unbearable | Martin Kimani | Comment is free | The Guardian

Ukipata fursa soma pia kitabu kimeandikwa na Andre Sibomana kinaitwa Hope for Rwanda kuna mengi ya kujifunza humo zaidi ya haya uliyoweka hapa......! Repraisal aliyofanya Kagame na kagenge chake cha wahuni ni kuteketeza hata wale ambao hawakushiriki na hii ilikuwa in the form of military style.....!
 
Watusi mmezoea kumuona binadamu mwenzio kama si binadamu solong as siyo mtusi.Eti rais ana girl friend, sishangai maana ndiyo dharau zenu

Hata mimi nimeshangaa kidogo, sijui hata wale viongozi wa SADC walotoa tamko kama hilo nao wana magirl friend wa kuhutu. Tukiendelea kuamini hivyo hata Obama aliyeamua serikali ya Marekani kuzungumza na Taliban nae ataku na girl friend wa kitaliban. Nguvu ya hoja ibebadilika imehamia kwenye matusi.
 
Tatizo la mtikila ni sawa na kada farijala(rejea tbc jambo leo asubuhi) njaa ikifika akilini ni hatari sana wenzetu wanajenga nchi yao watanzania na serikali yao ya ccm wanaomba misaada kila siku wakati wana rasilimali za kutosha
 
Kama ni kweli mtu yeyote kavunja sheria au utaratibu wa utoaji maoni umevunjwa then haijalishi ni nani kauvunja...Sheria inatakiwa ichukue mkondo wake!
 
Back
Top Bottom