Mtikila has extreme genocide ideology, says Kagame

Mtikila has extreme genocide ideology, says Kagame

Basi nielimishe ndugu yangu hii sera imeanza lini? Tanzania inajulikana kuwa na msimamo thabiti. Wakati Machel anapigana na Renamo tulimuunga mkono na hatukumhimiza azungumze naye. Wakati Obote/Museveni wakipambana na Iddi Amin hatukuwahimiza wazungumze naye. Hii sera imeanza lini?

Kwani hata RENAMO vita ilimalizwa kwa mtutu au mazungumzo...? Burundi vita ilimalizika kwa mtutu au mazungumzo...? Kama ni ligi ya ubishi hilo sina muda zaidi la kama ni utambuzi hayo yote unafahamu....! Pia huwezi linganisha mambo ya Iddi Amini na haya ya Congo, sio kila vita inalingana kaka...!
 
Mtikila ninamfahamu kwa sehemu. Huwa anapenda kutumika bila kujali madhara yake. Siyo hilo tu. Ni mtu anayependa umaarufu kwa kudandia mgongo wa wenzie. Lakini ni mtu mwongo. Nisichofahamu kuhusu Mtikila ni kwamba kanisa analochunga linaitwaje na liko wapi? Nina wasiwasi na uchungaji wake. That is what I can say about Mtikila for now.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

kanisa lake linaitwa FULL SALVATION.
 
Mtikila namsifu.Ni mtu mwenye kufanyia kazi mambo yake na hakurupuki kama wanasiasa walio wengi.
kuhusu suala la watusi kutaka kuchukua maziwa makuu hilo lilifahamika toka enzi za ujamaa wa Mwl.
watusi kutokana na historia walikuwa wameenea maeneo mengi sana ya tanzania zamani uchifu na maboma makubwa yalikuwa ya watusi.
Nyeree kuvunja uchifu na ukabila ndio ulikuwa mwisho wa Bahima rule hapo mwanzo wa uhuru wa Tanznaia. otherwise leo hii tanzania ingekuwa inaukabila na chuki ya hali ya juu.

hapo zamani watusi walikuwa wanaishi vizuri sana na wahutu. Pia ikumbukwe rwanda na burundi zilikuwa chini ya tanzania ya zamani iliyoitwa Deutche East Africa. waingereza waliwapa wabelgiji rwanda na burundi na ndio walio wagawanya hawa watu kwa kipindi chote.

Na pia hata hivyo waingereza hawakuwahi kuwapenda watusi tabia zao haziku tofautiana sana na wahaya kwa maana wapo mipakani mwa tanfanyika.

someni history sio kumkaba koo mtikila
 
Kwani hata RENAMO vita ilimalizwa kwa mtutu au mazungumzo...? Burundi vita ilimalizika kwa mtutu au mazungumzo...? Kama ni ligi ya ubishi hilo sina muda zaidi la kama ni utambuzi hayo yote unafahamu....! Pia huwezi linganisha mambo ya Iddi Amini na haya ya Congo, sio kila vita inalingana kaka...!

Renamo vita ilimalizika baada ya msaada wetu. Afrika kusini iliacha kuwasaidia kijeshi baada ya mfumo wa ubaguzi wa rangi kusambaratika. Mazungumzo yalikuwa ni kuhalalisha tu status quo. Kwa upande wa FDLR, kama unataka kutumia analogy ya Renamo ni kwamba ni lazima wapigwe mpaka wasalie mtume halafu ndipo waingie kwenye mazungumzo na Kagame. Upo hapo?
 
Jasusi, RUTAJUMBUKIRWA,

..nchi za magharibi zimeshaona kwamba amani lazima ipatikane ili ziweze "kuitafuna" vizuri Congo.

..Rwanda na Uganda walikuwa wanatumika tu baada ya Kabila Snr kuyageuka makampuni ya uchimbaji madini ya nchi za magharibi.

..Kabila Jnr is more willing to do business makampuni ya nchi za magharibi, kwa hiyo Kagame na Museveni hawahitajiki tena.

..kama Rwanda wameshindwa kuwashughulikia FDLR tangu miaka ile wakati James Kabarebe ndiyo de facto mkuu wa majeshi ya Congo mpaka leo basi kuna kila sababu ya kujaribu njia ya mazungumzo.

..kwa upande mwingine, sidhani kama Raisi Kikwete anapendekeza Rwanda ijadiliane na FDLR walioshiriki genocide.

..being an optimist, nadhani kuwakaribisha FDLR kwenye meza ya mazungumzo ni njia nzuri ya kuwatenganisha wale ambao hawakushiriki genocide, toka wale walioshiriki.

NB:

..brigade ya AU/UN/SADC iliyopelekwa DRC inaondoa justifications za kutumia silaha kama njia ya kuleta mabadiliko DRC. sasa sijui kwanini Rwanda na Uganda wamechukizwa na kuwepo kwa brigade hiyo huko DRC.

..kuna mapendekezo ya kupeleka mpaka DRONES huko. nasikia Rwanda wamechukizwa pia na pendekezo hilo.

cc: Nguruvi3, EMT, Kobello, gombesugu
 
Last edited by a moderator:
Mtikila namsifu.Ni mtu mwenye kufanyia kazi mambo yake na hakurupuki kama wanasiasa walio wengi.
kuhusu suala la watusi kutaka kuchukua maziwa makuu hilo lilifahamika toka enzi za ujamaa wa Mwl.
watusi kutokana na historia walikuwa wameenea maeneo mengi sana ya tanzania zamani uchifu na maboma makubwa yalikuwa ya watusi.
Nyeree kuvunja uchifu na ukabila ndio ulikuwa mwisho wa Bahima rule hapo mwanzo wa uhuru wa Tanznaia. otherwise leo hii tanzania ingekuwa inaukabila na chuki ya hali ya juu.

hapo zamani watusi walikuwa wanaishi vizuri sana na wahutu. Pia ikumbukwe rwanda na burundi zilikuwa chini ya tanzania ya zamani iliyoitwa Deutche East Africa. waingereza waliwapa wabelgiji rwanda na burundi na ndio walio wagawanya hawa watu kwa kipindi chote.

Na pia hata hivyo waingereza hawakuwahi kuwapenda watusi tabia zao haziku tofautiana sana na wahaya kwa maana wapo mipakani mwa tanfanyika.

someni history sio kumkaba koo mtikila
Naona na wewe una ka-element ka-ukabila. Wahaya wana tabia gani zinazofanana na watutsi?
 
Nadhani Kagame anatutafuta sio bure,au alichukizwa na habari ya kuwa Joseph Kabila ni Tutsi na sio mtoto wa Marehemu D.Kabila na Museveni ni Tutsi pia na hawa watatu wanataka kuitawala EA! Ya J.Kabila yalichapishwa na gazeti la hapa nyumambani Tz sijui nchi nyingine ya EA ilichapa habari ile. Na JF pia anaijua?! basi nadhani anasoma maoni ya watz juu ya Watutsi. Kaanza na Mh.Kikwete na sasa Mch.Mtikila! kuna jambo hapa.
 
Mtikila ana nondo za ajabu sana,Dah...
Kagame ajibu tuh hizo shutuma,kweli ama si kweli?
Asikimbilie kumshambulia mtoa shutuma....
 
Watu wote wanaomwunga mkono Mtikila humu ndani ni blood suckers! Hivi kwelii, unaweza kusapoti u-Nazi, u-apartheid, u-baguzi na ushenzi dhidi ya ubinadamu kama huu! eti kwasababu we ni mbantu, una ji identify na wahutu, na watusi ni nilotes! Upuuzi! Sijawahi kuona. Waraka wa Mtikila umejaa kinyaa kabisa!
 
Mtikila namsifu.Ni mtu mwenye kufanyia kazi mambo yake na hakurupuki kama wanasiasa walio wengi.
kuhusu suala la watusi kutaka kuchukua maziwa makuu hilo lilifahamika toka enzi za ujamaa wa Mwl.
watusi kutokana na historia walikuwa wameenea maeneo mengi sana ya tanzania zamani uchifu na maboma makubwa yalikuwa ya watusi.
Nyeree kuvunja uchifu na ukabila ndio ulikuwa mwisho wa Bahima rule hapo mwanzo wa uhuru wa Tanznaia. otherwise leo hii tanzania ingekuwa inaukabila na chuki ya hali ya juu.

hapo zamani watusi walikuwa wanaishi vizuri sana na wahutu. Pia ikumbukwe rwanda na burundi zilikuwa chini ya tanzania ya zamani iliyoitwa Deutche East Africa. waingereza waliwapa wabelgiji rwanda na burundi na ndio walio wagawanya hawa watu kwa kipindi chote.

Na pia hata hivyo waingereza hawakuwahi kuwapenda watusi tabia zao haziku tofautiana sana na wahaya kwa maana wapo mipakani mwa tanfanyika.

someni history sio kumkaba koo mtikila

Wahutu na watusi wangesababisha Tanzania iwe na ukabila?
Really??!!
 
Mr Kagame everyone knows what you are doing,ask yourself "why good people do bad things", do you know the story of "The bitch ball effects"
 
nami pia nilipenda hapo awalai jinsi Mtikila alivyo address suala la 'walala hoi' lakini ukiagalia sasa jinsi anavyowashambulia cdm akitaja moja kwa moja maneno kama 'wachaga' sio kitu cha kufurahia tena.
Hapa kunaweza kuwa na point tena ya msingi lakini kwa vile waAfrica wengi tunaangailia zaidi kwenye watu badala ya issues tutakuja kushtuka 'nani kawasha moto' wakati nyumba inaungua!
 
KAGAME hatakiwi kubabaika na ajue kuwa hiyo ndo tabia halisi ya UKWELI ulivyo.Ukweli unatabia ya kuja taratibu with power.KAGAME alijigeuza kuwa CANNIBAL wa WAHUTU kwa kudhania kuwa jicho la MUNGU halimuoni!!!!!!!!!!.
 
Mtikira kwan sio tahira?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sera hubadilika kulingana na mahitaji ndugu...! Tanzania ilipoamua kuhifadhi wakimbizi kutokana na migogoro ya nchi jirani ilikuwa ni wajibu wa kimataifa, lakini ilipoonekana bado kuna wakimbizi ambao hata iweje hawako tayari kurudi makwao ilibadilika kuwa suala la kisera na kuwapa watu hao uraia (rejea historia ya hivi karibuni kama miaka mitatu iliyopita ambapo zaidi ya maelfu ya wakimbizi toka Burundi na Rwanda wamepewa uraia na kuhamishiwa maeneo mbali na mpakani...! Kwa sasa bado tuna wakimbizi toka Congo walioko pale Nyarugusu ambao hatma yao bado tete kwa vile wengi wao wanatoka Kivu...! Sasa kama nchi lazima uwe na sera na msimamo kuhusu mambo kadhaa kulingana na maslahi ya nchi yako na watu wako kwanza, lakini pili kusaidia wengine ambao kushindwa kwao kunakuletea wewe matatizo pia...!

Hawa WACONGO wa NYARUGUSU Wamekuwa walimu wazuri sana wa kwaya mfano ni wale wanaofundisha EMMAUS BAND ya mjini KAHAMA na ile kwaya ya palepale NYARUGUSU inayoitwa NEGRO CHOIR.Hawa wacongo hawana matukio ya ajabu ajabu kama wale CANNIBALs wa kinyarwandwa hawafai kabisa na inatakiwa wasakwe tu na warudishwe kwao RWANDA potelea mbali hata wakachinjane huko na cyo kuanza kutuchinja cc.
 
Kagame has said Mtikila has extreme genocide ideology, similar to what was promoted in Rwanda in 1960s. He said this at a press conference, adding that Mtikila published an article, calling Tutisi snakes, that they don't deserve to live, and showed great hate! The president also said that mtikila tried to regionalize the hate and his government (Tanzania) said nothing and did nothing ABOUT IT. It should be recalled that Mtilkila used Jamii Form and wavatu to dehumanize tutsis as a tribe, while commenting on eviction of Wasukuma from forests in Kagera. The article breached one of the rules of Jamii Forums that is against use of hate speech, bigotry and promoting hatred and racism on the forums. But since those who were attacked were Tutisis, then it was allowe to go. mtikila appealed to his readers that Bantu were one against non-bantu Tutsis!
Kagame should know that the enemy of tutsi people is their character. Their supremacist attitude and never ending thirsty for power and glory agitate other ethnic groups. Tutsi also have a strong ethnic patriotism which they use nagatively towards other ethnic groups. Its not suprising that as president of rwanda kagame is only concerned with the welfare of tutsis. To him they are the rwanda.
It is unfortunate that such matters have to be discussed but our brothers have a long way to go before they learn to behave as equals in the countries they live in the great lakes region.
 
Basi nielimishe ndugu yangu hii sera imeanza lini? Tanzania inajulikana kuwa na msimamo thabiti. Wakati Machel anapigana na Renamo tulimuunga mkono na hatukumhimiza azungumze naye. Wakati Obote/Museveni wakipambana na Iddi Amin hatukuwahimiza wazungumze naye. Hii sera imeanza lini?

Mzee Jasusi,

Hatujazungumza kitambo ndugu yangu. Imenilazim kuingilia kati kiduchu hii bayana yako,khasa baada ya kuona hayo maneno yakuwa ati Tanzania tunajulikana kuwa na msimamo thabit!?

...
yawezekana ni kweli lakini sio kwenye hiyo mifano ya Uganda uliyotoa hapo juu.

Binafsi siamini asilan,ati mfano wa kuwa na msimamo thabit ni kumuunga mkono tena kijeshi muuaji/haramia mmoja dhidi ya mwingine!?

Kwani wale wauaji,maharamia na matapeli akina Obote na Museveni unafikiri kweli walikua/wana tafauti kubwa sana na Idd Amin!?

Nakhis Idd Amin alikua sio favourite ya Western mainsteam medias/empires anymore,khasa pale alipoanza mashirikiano yake ya kipumbavu na wale matapeli Saud Royal Family na kujifanza against Zionism.

Kwa kifupi baadhi ya vitu ambavyo hata Nyerere ilimlazim kukiri kimya kimya mara kadhaa,ni yale mauaji makubwa na ya kinyama alofanza Obote na Museveni na gangs zao pale Uganda. Nyerere alijua wazi reputation na credibility yake binafsi ilikua hatarini/matatani.

Wengi tunajua na kukubuka wazi jinsi Nyerere alivyotumia mabavu,maarifa,fitna na kupoteza raslimali nyingi za Tanzania kufanikisha kuwaweka tena madarakani wale muuaji Obote na gangs zake,na tunajua kilichofuatia ni nini!?

"Bakhti nzuri" hizi khabar za unyama na ushenzi wao hasikiki mno, wala kuelezwa kwa kina sana kwenye main stream medias...labda tu kwenye very few reputable Human Rights Organisation/s!?

Niwie radhi ndugu yangu kama unakhis,labda nimenena lolote ambalo hukupendezwa nalo.

Ahsanta sana.
 
Kagame has said Mtikila has extreme genocide ideology, similar to what was promoted in Rwanda in 1960s. He said this at a press conference, adding that Mtikila published an article, calling Tutisi snakes, that they don't deserve to live, and showed great hate! The president also said that mtikila tried to regionalize the hate and his government (Tanzania) said nothing and did nothing ABOUT IT. It should be recalled that Mtilkila used Jamii Form and wavatu to dehumanize tutsis as a tribe, while commenting on eviction of Wasukuma from forests in Kagera. The article breached one of the rules of Jamii Forums that is against use of hate speech, bigotry and promoting hatred and racism on the forums. But since those who were attacked were Tutisis, then it was allowe to go. mtikila appealed to his readers that Bantu were one against non-bantu Tutsis!
Dear President Kagame,please ignore Mtikila... i am sorry that you dont know who is mtikila and how he is treated here in Tz... No one has ever considered his political comments serious because usually they are out of context... I think that is why our government did not comment on what he said...
 
Back
Top Bottom