TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,297
- 28,006
Hivi issue Joyce Banda 'boss wetu' ameishaimaliza ?
Kagame ana umiza ubongo kwa mchovu Mtikila
Kagame anataka serikali ya Tanzania iingilie kati kuhusu waraka ulioandkikwa na mtu anayejiita Mchungaji Mtikila. Labda Kagame angeonesha angesema alifanya nini wakati magazeti ya serikali yake yalipoanza kuandika mashambulizi kwa rais Kikwete?
Kagame ana umiza ubongo kwa mchovu Mtikila
Mtikila is a Tutsi and Indian people hater number one,na kwa nini JF wana promote hizi hate speech za kina Mtikila,na mnao support hizi garbage za Mtikila be careful what you wish for!!
Kagame anataka serikali ya Tanzania iingilie kati kuhusu waraka ulioandkikwa na mtu anayejiita Mchungaji Mtikila. Labda Kagame angeonesha angesema alifanya nini wakati magazeti ya serikali yake yalipoanza kuandika mashambulizi kwa rais Kikwete?
Huna jipya kilaza na wakala wa watuts nchini kwetu.Mtikila is a Tutsi and Indian people hater number one,na kwa nini JF wana promote hizi hate speech za kina Mtikila,na mnao support hizi garbage za Mtikila be careful what you wish for!!
kweli Tanzania ni kinyeo cha fungo (kilamtu ni kwake hata mhamiaji haramu) kiumbe kama wewe ni kinyaa hata kusoma ulicho andika, zaidi nahisi kusisimka na kupandwa na ghadhabu tuMtikila ni mshenzi kabisa......siasa za ndani zimemshinda sasa anaenda kuchokoza kusiko muhusu kabisa, badala ya haya makaelele kwa nn asiongelee basi maendeleo ya rwanda yaliyoletwa na kagame na ss tukaige? sasa huu waraka nia yake ni niini, halafu iweje??? huyu kenge anatafuta umaarufu wa harakaharaka ktk international level .....na haya yote kwa nn hakuyasema mapema aje aseme leo.......na huu waraka ni serikali inabidi ifanye kitu....
Mtikila ni mshenzi kabisa......siasa za ndani zimemshinda sasa anaenda kuchokoza kusiko muhusu kabisa, badala ya haya makaelele kwa nn asiongelee basi maendeleo ya rwanda yaliyoletwa na kagame na ss tukaige? sasa huu waraka nia yake ni niini, halafu iweje??? huyu kenge anatafuta umaarufu wa harakaharaka ktk international level .....na haya yote kwa nn hakuyasema mapema aje aseme leo.......na huu waraka ni serikali inabidi ifanye kitu....

kabisa, huyu mzee uchochezi ndo dili zake, sasa bongo kaona sijui kamaliza, kaona abip na nje..huyu atakua ni mchawi
Seems una short memory loss wewe,si ndio huyu na siasa zake za ugabachori alichochea wahindi wakapigwa mawe mtaani na akaishia kufungwa,mpe support tuu ila unrest zikianza usifikiri kwa sababu you support him utakuwa safe.Lini ameshachochea au tukio gani? Ikumbukwe ndo kiongozi aliyeshinda kesi zote dhidi ya Serikali.
babu hizo story za wizi wa madini Congo is too old,wanaoiba madini ni hao hao wanajeshi wa Congo na different factions zinazopigana Congo in order to finance their adventures,Rwanda walishaondoka siku nyingi sana huko na the thing inabidi Congolese wamshukuru Kagame aliyewaondolea Mobutu aliyekuwa anawaibia kuwaweka jela kama kuku,bila Kagame Mobutu still angekuwa in power.Maendeleo analeta lakini kuna blood za watu ndani yake,,anaiba madini nchini Congo au pia hujui ilo mkuu?
MTIKILA YUPO SAWA KABISA WATUTSI NI WATU HATARI SANA,ONA WALIVYO MDANGANYA KENYATTA! INAMANA EAC NI YA NCHI TATU TU?
:clap2:
Mbona Kagame anarukia kila mtu siku hizi? Na jamiiforum yetu nayo inahusishwa? Ngoja Mtikila akitoka atakakotoka. Kagame anajitafutia kesi manake Saa ya Ukombozi kwa kesi hawezekani na bahati nzuri huwa anashinda? Ngoja Kagame aburuzwe Mahakama ya Afrika