Mtikila has extreme genocide ideology, says Kagame

Mtikila has extreme genocide ideology, says Kagame

zomba,

..Rwandan genocide took place after the genocide in Bosnia, and Kosovo.

..It is not that I have "forgotten too soon." How could I, while I have friends who lost relatives during the genocide in Rwanda?

..What saddens me the most, is the fact that Kagame's regime has been involved in the massacre of millions of innocent Congolese ppl.

..I dont support most of Mtikila's views, but lets be honest here: Between Mtikila and Kagame, who has killed more ppl?

cc: Kwetunikwetu, RUTAJUMBUKIRWA, Kabaridi, Jasusi, gombesugu

Ni jambo lisilo ubishi kuwa Mtikila ni kibaraka fulani anayetumiwa na watu wengi kulingana na nyakati......rejea enzi zile za Mrema alivyogeuka na kuishambulia NCCR Mageuzi, kutumiwa na CCM wakati wa kifo cha Wangwe, kutumiwa hivi karibuni kuhusu mlipuko wa Arusha.....ni kama condom ya CCM....wanamtumia na kumtupa...! Ingawaje baadhi ya mambo aliyoyasema yana ukweli.....rejea video iliyomnukuu Kagasheki akikiri kumsaidia meya wa Bukoba kupata hati ya kusafiria ya ndugu zake ambao sio raia wa Tanzania....!

Ni jambo lisilo na ubishi kuwa viongozi wengi wanajihusisha na mauaji (hata Obama, Kikwete n.k. ni wauaji pia) kutonakana na nature ya mamlaka yao. Lakini sasa kuna threshold ikifika ambapo mauji yanakuwa ya halaiki na mtu bila kuwa conscious na mauaji yanavyoendelea huwezi bado kumtetea. Kagame ni muuaji mkubwa at the scale ambayo haijawahi kutokea katika eneo lote la maziwa makuu. Ameaua watu deliberately Wahutu ndani ya Rwanda wakati wa genocide (ndio maana watu wenye uelewa wanakiri kutokea kwa double genocide) na sio Tutsi genocide alone. Pia aliua watutsi wenzake wengi ndani ya Rwanda ambao walikuwa well-off kwa kudai kuwa walikuwa accomplices wa utawala ya Habyarimana. Pia alienda mbali zaidi na kuua Wahutu nje ya Rwanda kule Congo hata wale ambao walihama Rwanda miongo mingi iliyopita ili mradi ni wahutu. Akaenda mbali zaidi na kusababisha vifo vingi vya wakazi wa mashariki ya Congo ambao sio wahutu, kwa taarifa ni kwamba hata watutsi walikuwa targeted kule Congo. Ndio maana ingawa hili halisemwi sana, wakati wa Kimia II na Umoja Wetu operations Watutsi wengi waliside na FDLR kukabiliana na vikosi vya Rwanda na Congo. Hayo yote kuhusu mauji ambayo Kagame amesababisha yako well documented in public domain, nilishaambatanisha indictment ya Spain judge iliyohusu mauaji ndani ya Rwanda.

Sasa hayo mengi yalikuwa ni historia, lakini tatizo liko hivi kwanini Kagame anaendelea kuendesha mauaji na kusababisha chaos mashariki ya Congo mpaka sasa? Jumuiya ya kimataifa itaendelea kukaa kimya mpaka lini? Nimeweka hiyo report ya UN Experts inayoelezea jinsi Kagame anavyojihusisha na M23 na kiini cha SADC kusema sasa basi, mshenzi tumwite mshenzi na kenge tumwite kenge....!
 

Attachments

Just changing the attention from President Kikwete to Mtikila. We do have freedom of speech in Tanzania.
 
why my fellow tanzanianz we ar more interestin in tus and hutu izzues, na wakat ya ndan mwe2 yana2shnda.. Our govt iz keep on killin innocent citizen, open false alegatn and so off! Ya ndan yana2shnda nw we r lookn so hard 4 a pbms wit our fellow neighbour
 
Mtikila huwa hasemi uongo wala hasemi kitu asicho kuwa na uhakika nacho... Keep going on mtikila your the man of Tanganyika... Made in Tanganyika
 
Nikiwa ni mtu ninayefahamu historia ya jamii za Kitanzania ambazo zina mahusiano ya kihistoria na kindugu na jamii jirani za Kiganda na Kinyarwanda niseme kwamba tuhuma nyingi Mtikila zimejikita ktk chuki na uchochezi wa kibaguzi! Na amefanikiwa kwasababu anajua Watanzania wengi ni wavivu wa kusoma..

kama watanzania ni wavivu wa kusoma, na kama tuhuma za Mtikila ziko katika maandishi, amefanikiwa vipi?
 
Mtikila ninamfahamu kwa sehemu. Huwa anapenda kutumika bila kujali madhara yake. Siyo hilo tu. Ni mtu anayependa umaarufu kwa kudandia mgongo wa wenzie. Lakini ni mtu mwongo. Nisichofahamu kuhusu Mtikila ni kwamba kanisa analochunga linaitwaje na liko wapi? Nina wasiwasi na uchungaji wake. That is what I can say about Mtikila for now.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Kanisa lake linaitwa wokovu kamili, Liko wapi unaweza kumpigia simu yake ya mkononi
 
Yes. JF Moderators must respond appropriately these serous accusation from "Kagame".

kagame jasusi aliyeandaliwa na mseven hawa jamaa wamejpenyeza sana kwenye taasisi za umma tanzania na bdaye wanahamia kwenye siasa kwa kasi
 
Intelligensia ya Mtikila inapokuwa na nguvu kuliko intelligensia ya serikali ya Tanzania. Yaani Mtikila anayajua haya yote wakati serikali ya Tanzania haiyajui? Hivi wale usalama wa taifa wa miaka ya 80 hadi 90 mwanzoni walienda wapi? Kwani training ya usalama wa taifa imebadilika? CCM wanaitumia vibaya hii idara kwa maslahi yake binafsi kiasi cha kuifanya ipoteze uwezo wa kuilinda nchi na kubaki kuilinda CCM.
 
Am very much suprised with you guys who doubt Mtikilas' allegation towards Kagame,that man he is never play a joke even once.Look at what is going on in Congo DRC and think carefully before you try to prove Reverand Mtikila wrong!
 
why my fellow tanzanianz we ar more interestin in tus and hutu izzues, na wakat ya ndan mwe2 yana2shnda.. Our govt iz keep on killin innocent citizen, open false alegatn and so off! Ya ndan yana2shnda nw we r lookn so hard 4 a pbms wit our fellow neighbour

Straight it seems you have good points but, huo uandishi wako wa kwenye tigo xtreme sms and facebook
 
Last edited by a moderator:
Mambo mengi anayosema Mchg. Mtikila inabidi mtu utulie na kuyachambua kwa kina. Unaweza uka-conclude kuwa ni mchochezi (pengine kwa jinsi anavyoya-present) lakini ukakuta kuna mambo ya msingi sana hujayaelewa.

Mengi anayosema ni mazito ambayo kweli unaweza ukasema amechanganyikiwa...na ndivyo ilivyo pale unapoambiwa/sikia kitu ambacho hukutegemea kabisa kuambiwa/kukisikia.

Lakini unawezaje ku-justify kwamba ni mchochezi wakati alilolisema hulijui hata kidogo? Ndiyo maana nasema pengine inatokana na namna anavyowasilisha issues zake kwa jamii.

Jiulize ni kesi ngapi amefungua/funguliwa kwa kuzungumza mambo kama haya ya "uchochezi" na akashinda? Ngapi ameshindwa na kufungwa/kupewa adhabu?

Think outside the box.:thinking:
 
Mtikila had the evidence is not a person of that kind that could write all these things which may put him to prison let us respect the ideas of this church politician
 
Kagame has said Mtikila has extreme genocide ideology, similar to what was promoted in Rwanda in 1960s.

He said this at a press conference, adding that Mtikila published an article, calling Tutisi snakes, that they don't deserve to live, and showed great hate!

The president also said that mtikila tried to regionalize the hate and his government (Tanzania) said nothing and did nothing ABOUT IT.

It should be recalled that Mtikila used Jamii Forum and wavatu to dehumanize tutsis as a tribe, while commenting on eviction of Wasukuma from forests in Kagera. The article breached one of the rules of Jamii Forums that is against use of hate speech, bigotry and promoting hatred and racism on the forums. But since those who were attacked were Tutisis, then it was allowe to go.

Mtikila appealed to his readers that Bantu were one against non-bantu Tutsis!

----------
Mtikila's allegations - https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...e-amepenyeza-wanyarwanda-35-000-tanzania.html

Kinachomsumbua kagame hajui demokrasia Tanzania ni tofauti na Rwanda, sisi tunaweza kuongea lolote kuhusu yeyote hata rais, nafikiri anapata shida kuona Mtikila anaongea na hachukuliwi hatua yoyote, Mzee Kagame hapa siyo Rwanda ambako mtu akisema anachukuliwa hatua kirahisi. utapata shida kama utafuatilia siasa za kwetu. we endelea na udikteta wako kwa wananchi wako.
 
zomba,

..Rwandan genocide took place after the genocide in Bosnia, and Kosovo.

..It is not that I have "forgotten too soon." How could I, while I have friends who lost relatives during the genocide in Rwanda?

..What saddens me the most, is the fact that Kagame's regime has been involved in the massacre of millions of innocent Congolese ppl.

..I dont support most of Mtikila's views, but lets be honest here: Between Mtikila and Kagame, who has killed more ppl?

cc: Kwetunikwetu, RUTAJUMBUKIRWA, Kabaridi, Jasusi, gombesugu


JokaKuu,

Honestly, I do agree with most of the stuff you mentioned.

I say lets drag these savage rogues Kagame and Museveni to International Court and charge them with crimes against Humanity and genocide.

We have undisputable proof and evidences in a form of History. That's a diplomatic route though,cause the bitter route is for the highly and conscious!

Their supporters too should be draged to the same Court and stand the same bloody charges... you know who I'm talkin about Sir!? Them silly White Supremacity Neo-Cons in Washington and Amerikan Evangelical Lobby!

We shall chat again pretty soon JokaKuu.
 
Heshima kwenu wenzangu JokaKuu et al.

...
cha kwanza, inachotubidi kujiuliza ni kwanini UN inaweka mikataba huku rebels, wakiwa all forested under political consensus/agreement???. wamejaribu kupata suluhu, mwaka wa 2008 walijadiliana nairobi kumaliza huu mzozo... that is all I know...generally, kumekuwa na casualties na conflicts nchini congo kuliko hata middle east, kunifanya kufikiria vita vya ulimwengu wa tatu unaendelea on african soil, tofauti ni tu vita vya middle-east zina maelezo zaidi kwenye luninga...

...
pili, civil rights societies in DRC can only find a political solution pale tu ambapo kuna order ya uongozi na jamii ya kimataifa inataka kama kawaida kumaintain presence hapo DRC, sababu wanazotoa ikiwa regional states (uganda, burundi, rwanda, na TZ) zimeshindwa kusuluhisha mgogoro huo (yaani they have no capacity either in form of monetary resource backing as regional states to conceive a political solution)...na wanaconclude ndio sababu kuu mataifa haya yanaendelea kupanga haphazard and unstrategic invasions.

...
tatu international community si ya kutegemewa kuleta suluhu maana lengo lao kuu ni kulinda their own private-entreprises za uchimbaji dhahabu na blood diamonds. tujikumbushe kuhusu congo gold crisis kwa mfano. ilibidi wabelgigi waliomiliki sehemu hizo kuwapa mamluki silaha kujilinda wao pamoja na biashara zao. haya yakijiri ni vigumu kutarajia DRC kubadilika...

...
nne swali lingine muhimu ni, mikakati ya serikali ya DRC hivi sasa ni gani?? kwa sababu it is directly responsible kwa civilians wao...ikiwa serikali imekuwa compromised bila shaka, suluhu haitapatikana...
...wakati huu jeshi la Afrika kusini inapanga kutuma strong force congo all in the name of kuleta suluhu, bila kusahau TZ ilishakwisha tanguliza majeshi mieza kadha iliyopita, kuleta suluhu... je mikakati yao ni gani?? ni nini tutarajie ikiwa vitu vitafanywa bila mpangilio namna hii...ikiwa malengo yaliyotuma JWTZ kutanguliza majeshi inatofautiana na ile ya Afrika Kusini, wote wakiwa chini ya bloc moja SADC, je, tanzania imeweza kufikia wapi kutimiza malengo iliokusudia????

...
tano DRC is currently sprawling na majeshi wa aina nyingi, kila kundi na malengo tofauti moja yao ikiwa self-preservation. tusitarajie suluhisho hivi karibuni ikiwa jambo hili ndicho kiini cha uvamizi...

...
sita; kutoka mwanzo wa mgogoro huu wa DRC miaka ya sitini mataifa ya kanda ya afrika ya kati hususan (uganda, burundi, rwanda, na TZ) yalilenga tu kuleta vita kwenye kikomo bila kutafakari suala kuu la 'exit-srategy'/political solution. yaliwania kuwaondoa madikteta wa congo tu bila kuhakikisha uchaguzi wa kidemokraisa unafuata kuwaletea raia wa DRC matumaini...

...
saba na hitimisho langu, kulingana na emperical information ni kagame amehusika katika genocide ya wengi kuliko mtikila. ingawa kuna madai ya ethnic bias yanayomlenga, ni vigumu kumlinganisha na kagame ambaye amehusika kwenye vita vya rwanda kutoka jeshi la UPDF hadi kuingilia kwenye karne ya ishirini na moja na nitamlinganisha kagame na raila, kwasababu hawa shughuli zao barani itakuwa kama vibaraka wa CIA. kupanga mauaji na kuhepa kunaswa na mkono wa haki...

...ninachomheshimu tu kagame kuliko raila ni kuwa he has stood the test of time...There is something kuhusu mtu kila anapokwepa hukumu aidha kimiujiza bila kungamua kinachoendela....
...kulingana na article ya zomba, kwa nini vatican ingehusika kufadhili vita vya kikabila mnamo 1994. ambazo zilikuwa tofauti na zile za angola na DRC...

Angola na DRC kulikuwa na mercenaries on the ground paid kutoka marekani na uingereza...
... repoti hio zomba ametoa yaonyesha Vatican ndio ilipanga mamluki chini ya UPADRE kwenye vijiji vya rwanda kutekeleza kimbari...

the Vatican says that those priests, those bishops, those nuns, those archbishops who planned and killed were not acting under the instruction of the church.

...kama archbishops were an impartial group, kwanini waingile vita vya kisiasa visvyowahusu. kama walihofia usalama wao, wangebadili nia na kuihama nchi. Shuguhli za vatican zinajulikana mexico, colombia na kwingineko kule. Wadau there is more to kagame and his affairs in DRC/kivu na viungani mwake than what meets the eye. siitetei Vatican na shughuli yao ya tisini na nne! tujukumike kujua hasa ni nini.... Ikiwa kila mtu anapendelea utulivu na amani kurejea DRC, kwa nini vikundi haviwezi kujumuika kupata suluhu???

my 2 cents
 
ndugu bornagain, basi wewe ni mhutu, tena nterahamwe! make anayetoa mawazo mbadala na hate yako ni mtusi..... go hang

Wewe uniite FDRL au hata FNL sijali lakini nachokuambia mzungu yeyote duniani anakutumia akishamaliza interest zake anakudump tu,waMarekani na Waingereza plus Waisrael wameshamaliza kuwatumia sasa wanataka kuchumba madini na kuchukua magogo ya DRC bila vikwazo vya kupigwa risasi na wafanyakazi wao kuuliwa kwa hiyo hawaoni taabu kabisa kudepart na Kagame maana kazi ya Kagame DRC ilishakwisha
 
Kumbe uchonganishi na upandikizaji chuki wa Mtikila unajulikana vizuri mpaka nchi jirani. Kazi ya mchungaji ni kuwalinda kondoo na si kuwatawanya, sasa tutaanza kumfahamu vizuri jinsi alivyijificha nyuma ya mgongo wa utumishi wa Mungu.

Namkumbuka MTIKILA na U--------- na Utanganyika, huyu ni mtu hatari sana. Mchungaji gani wa kuhubiri chuki badala ya upatanishi?
 
Kagame Yanini basi kuangaika na uchochezi wa Mtikila? kama ni uongo utabaki kuwa hivyo lakini kama ni ukweli nao utajitenga.
 
Back
Top Bottom