mtikila alileta doc. Humu ndani na great thinker waliunga mkono na kuchangia sana !!!!mtikila ninamfahamu kwa sehemu. Huwa anapenda kutumika bila kujali madhara yake. Siyo hilo tu. Ni mtu anayependa umaarufu kwa kudandia mgongo wa wenzie. Lakini ni mtu mwongo. Nisichofahamu kuhusu mtikila ni kwamba kanisa analochunga linaitwaje na liko wapi? Nina wasiwasi na uchungaji wake. That is what i can say about mtikila for now.
Sent from my blackberry 9860 using jamiiforums
Mtikila ameoa Mhutu. Alipokuwa hapa Marekani 1994 wakati wa mauaji ya kimbari alikuwa anaishi nyumbani kwa balozi wa serikali iliyopinduliwa mamlakani. Hata chuki zake kwa Nyerere ni kwa sababu anaamini Nyerere ana asili ya Kitutsi. Watanzania katika haya mambo ya Kitutsi na Kihutu tunapaswa kuwa waangalifu sana tusionekane tunaegemea upande mmoja. Kikwete mwenyewe inasemekana ana girl friend wa Kihutu na ndiyo maana alitoa mwito kwa Kagame afanye mazungumzo na FDLR. Utafanyaje mazungumzo na mtu aliyedhamiria kukumaliza?
hi kagame
umeanza vizuri umemaliza vibaya!!!mtikila ameoa mhutu. Alipokuwa hapa marekani 1994 wakati wa mauaji ya kimbari alikuwa anaishi nyumbani kwa balozi wa serikali iliyopinduliwa mamlakani. Hata chuki zake kwa nyerere ni kwa sababu anaamini nyerere ana asili ya kitutsi. Watanzania katika haya mambo ya kitutsi na kihutu tunapaswa kuwa waangalifu sana tusionekane tunaegemea upande mmoja. Kikwete mwenyewe inasemekana ana girl friend wa kihutu na ndiyo maana alitoa mwito kwa kagame afanye mazungumzo na fdlr. Utafanyaje mazungumzo na mtu aliyedhamiria kukumaliza?
kagame anaua wapinzani kila kukicha hakuna vyama vya upinzani kule !!!kagame angepewa tz kuingoza hata miezi 4 tu tungefaidi rasilimali zetu.
This guy is bright sio mtu wa kusmile smile kama jk
kagame anafanya kazi na matunda yanaonekana hataki mzaha.
Tutaendelea kumwandamana lakini tuangalie mazuri yake pia.
Hayo mengine hata jk ana madoa mengi sana.
kagame angepewa tz kuingoza hata miezi 4 tu tungefaidi rasilimali zetu.
This guy is bright sio mtu wa kusmile smile kama jk
kagame anafanya kazi na matunda yanaonekana hataki mzaha.
Tutaendelea kumwandamana lakini tuangalie mazuri yake pia.
Hayo mengine hata jk ana madoa mengi sana.
KIKWETE KAUA WAPINZANI WANGAPI??? WAANDISHI WANGAPI??/You have point.
Tatizo letu Watanzania hatuna utamaduni wa kutafuta ukweli, tunaimba kama Kasuku. Ukiona mtu anazungumza ubaya wa Watusi kwa hisia kali msikize kwa makini usijazwe gadhabu halikadhalika ukiona mtu anawazungumzia ubaya wa Wahutu pia uwe makini.
Chuki dhidi ya hizi Jamii mbili zimeanzia mbali sana, na bila shaka mkono wa Wakoloni wa Ki-belgiji umechangia pakubwa (gawanya uwatawale). Hata ukitazama uhasama wa kila wakati kati ya Koo za Wakurya nao unaenda mbali mpaka kwa Wakoloni wa Kiingereza.
Na lazima tukubali pamoja na matatizo yoote ya wafugaji wa Kitusi lakini pia kwa upande mwingine ni udhaifu wetu tu kama Taifa. Mbona Kilosa, Kilindi, Handeni n.k kuna migogoro ya ardhi baina ya Jamii tofauti? Na mbona mara kadhaa tumeambiwa kuwa Wafugaji wanadharau shughuli za Wakulima?
Hatujasikia huko Kilosa na maeneo mengine Wafugaji wakiwahonga maafisa wa Serikali ili kuwapa upendeleo? Hatijasikia namna Wafugaji katika maeneo mengine wakinyang'anywa mifugo na Watendaji wa Serikali?
Nimewaona Wafugaji wa Kitusi maeneo kadhaa, na kiukweli ni Wafugaji haswa na wanajua kuwatunza ng'ombe wao. Na tusisahau nao wananyanyaswa sana ....Nimeona baadhi ya Vijiji ngo'ombe wa mfugaji wa Kitusi akikosea njia na kula jani la muhindi hiyo faini yake ni balaa. Watu kama hawa vyovyote vile lazima wawe na umoja kushughulikia matatizo yao.
Siwatetei lakini ni vyema kuweka mizania.....Hizi hadithi za Nyerere Mtusi ni porojo tu, alishindwa nini kumuweka 'Museveni' (wanasema mtusi mwenzie) baada ya kumwondoa Idd Amin!!
Mtikila ameoa Mhutu. Alipokuwa hapa Marekani 1994 wakati wa mauaji ya kimbari alikuwa anaishi nyumbani kwa balozi wa serikali iliyopinduliwa mamlakani. Hata chuki zake kwa Nyerere ni kwa sababu anaamini Nyerere ana asili ya Kitutsi. Watanzania katika haya mambo ya Kitutsi na Kihutu tunapaswa kuwa waangalifu sana tusionekane tunaegemea upande mmoja. Kikwete mwenyewe inasemekana ana girl friend wa Kihutu na ndiyo maana alitoa mwito kwa Kagame afanye mazungumzo na FDLR. Utafanyaje mazungumzo na mtu aliyedhamiria kukumaliza?
Blood thirst Dictator!
Hapo kwenye red naona kaka umejishusha sana...................unanyenyekea nini! Suala FDLR sio la Kikwete as individual ni sera ya serikali ya Tanzania
Blood thirst Dictator!
Najiuliza, imekuwa sera ya serikali ya Tanzania tangu lini? Hii sera haikuwepo enzi za Mkapa na nina hakika haikuwepo enzi za Mwinyi. Kama ameianzisha Kikwete kinyemela tujue kwa sababu sababu zake tunaziona.
Basi nielimishe ndugu yangu hii sera imeanza lini? Tanzania inajulikana kuwa na msimamo thabiti. Wakati Machel anapigana na Renamo tulimuunga mkono na hatukumhimiza azungumze naye. Wakati Obote/Museveni wakipambana na Iddi Amin hatukuwahimiza wazungumze naye. Hii sera imeanza lini?Sera hubadilika kulingana na mahitaji ndugu...! Tanzania ilipoamua kuhifadhi wakimbizi kutokana na migogoro ya nchi jirani ilikuwa ni wajibu wa kimataifa, lakini ilipoonekana bado kuna wakimbizi ambao hata iweje hawako tayari kurudi makwao ilibadilika kuwa suala la kisera na kuwapa watu hao uraia (rejea historia ya hivi karibuni kama miaka mitatu iliyopita ambapo zaidi ya maelfu ya wakimbizi toka Burundi na Rwanda wamepewa uraia na kuhamishiwa maeneo mbali na mpakani...! Kwa sasa bado tuna wakimbizi toka Congo walioko pale Nyarugusu ambao hatma yao bado tete kwa vile wengi wao wanatoka Kivu...! Sasa kama nchi lazima uwe na sera na msimamo kuhusu mambo kadhaa kulingana na maslahi ya nchi yako na watu wako kwanza, lakini pili kusaidia wengine ambao kushindwa kwao kunakuletea wewe matatizo pia...!