Mtihani wa kichina

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Ata madawati yanapangwa kwa mstari ulionyooka, na apo kuibia sio rahishi. Kudaaaaaadadeki mchina!

555300_374885752560965_100001186307723_978086_92386900_n.jpg
 
Ningefurahi sana kufanya mtihani katika mazingira kama hayo. Hakuna cha kuazima ufutio wala rula kutoka kwa jirani. Kila mtu kwa msuli wake.
 
shule zetu nadhani dawati moja ni kati ya watu wa 2-3-4 hata uyapange wapi kazi ni ile ile,ni kupigana chabo tu.
 
wewe cheza na ngulu mbili eeenh! Kuna jamaa yangu alikuwa ananielezea jinsi wanavyopata majibu, hapo ni nje si kuna road zimekatiza hapo basi wajanja wanapita ambao wamelinyaka hilo paper earlier wakiwa juu ya JINYEE(pikipiki ya mchina) au gari wakiwa na kipaza sauti wanatangaza swali la kwanza jibu ni watatoa jibu halafu bodaboda fasta inatokomea uswazi, baada ya muda wanakuja wenginehivyo hivyo mpaka time ya paper inaisha
 
najiandika mapajani afu navaa kimini,najiandika mikononi af navaa blauzi ndefu naigia na nondo aka chambo iko full,ruler,ufutio vyote naviandika sijafaulu tu jamani?af hapo uwezekano wa kusaindiana hauko ila kujisaidia mwenyewe upo.
 
Eeh, huu mtihani wa kukaa mbalimbali hivi ni wa kugombania chance ya kwenda Mwezini au Mars?!, aliyezoea kupiga chabo kama mgeni huko China, shock atakayoipata kutokana na huo ukaaji, unaweza kumfanya asahau hata kile kidogo anachojua ambacho angeweza kujaza ili asipate ziro
Ata madawati yanapangwa kwa mstari ulionyooka, na apo kuibia sio rahishi. Kudaaaaaadadeki mchina!

555300_374885752560965_100001186307723_978086_92386900_n.jpg
 
Mpiga chabo ataombea vua kubwa la ghafla lishuke pepa litibuke, karatasi ziwe tepetepe!
 
Ata madawati yanapangwa kwa mstari ulionyooka, na apo kuibia sio rahishi. Kudaaaaaadadeki mchina!

555300_374885752560965_100001186307723_978086_92386900_n.jpg

Gao kao hiyo!! Ni mtihani wa kuingia chuo... watakao pasi wanaenda jeshi miezi kadhaa.. then wanakwenda vyuo walivyopangiwa kutokana na ufaulu wao plus wachina ni government ndio inawachagulia wasome nini!? Hakuna demokrasia ya kujichagulia mi napenda law ntasoma law.. nina rafiki yangu Dr mchina alinambia china mishahara ya wafanyakazi wa serikali wote sawa... anacholipwa mfanyakazi was bank of China ni same na yeye dactari... unless afanye overnight ndio ataongezewa kidogo
 
Halafu unakuta hapo hapo wanachakachuwa! mchina ni mchina tu.
 
Back
Top Bottom