Ngangasyonga
JF-Expert Member
- Sep 13, 2010
- 455
- 71
Hapo ni noma!! kuna visingizio vingi sana vya kufeli, jua kali macho yanaumma, upepo, mvua, vumbi, aaaaaaaaaaahh!!!!
Kweli china ni balaa
Kweli china ni balaa
kumbe nawe ni mwathirika wa karamagi.........lakini mwisho wa siku watu wakitoka wanahadisiana jinsi walivyokuwa wanapiga chabo.Hii kawaida...pale udsm kaifanya sana karamagi...siku ya test yake alikuwa anachukua madarasa ya chuo kizima.
hapo chabo haipigwi kwa kuonyeshana answer sheet ..............bali mnaongea na mwenzako unamuuliza swali fulani jibu lake nini uku macho yakiwa busy kwenye karatasi yako kama siyo wewe vile .................naye mwenzako anakujibu kwa kuongea...............mana hii style haina evedence kama nilikuwa naibia unaweza sema najiongelea mwenyewe.Ata madawati yanapangwa kwa mstari ulionyooka, na apo kuibia sio rahishi. Kudaaaaaadadeki mchina!
![]()
...hata wakijifunza hao wanafunzi watawaweka wapi? Itabidi barabara ya Ally Hassan Mwinyi ifungwe kuanzia salender bridge mpaka mwenge then wapange madawati vijana wachape paper!!NECTA wajifunze namna hii ya ufanyaji mitihani
Ata madawati yanapangwa kwa mstari ulionyooka, na apo kuibia sio rahishi. Kudaaaaaadadeki mchina!