Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,254
Kwa heshima yote Mkuu, Rev. Kishoka, Hilo hapana. Muda wake bado sana. Hata katika nchi zilizoendelea. Labda wakina Shy watoweke ghafla kwenye uso wa dunia.... si wata-hack hiyo email address?!! Washenzi wameweza kumfanyizia Palin, itakuwa email ya mwalimu Mkude shule ya Sekondari Biharamlo?!!... uhakika wa kompyuta yake tu kuwaka kwa umeme wa Richmond nako ni kasheshe..... sembuse kusoma email, kuiweka kwenye thumbdrive, kisha kupanda baiskeli kwenda ku-print pale local stationaries mini market, na kurudi shuleni na lundo la karatasi kwa ajili ya kuwatahini form four...... such a process - si atapigwa kikumbo tu njiani na baiskweli yake ichukuliwe?!!
- Who leaked the exam? Why is the exam leaked?vWhat is Necta and Ministry doing about this?
- Why do we need national exams? what is the purpose? is this an aptitude test or pre-qualification exam to receive government sponsorship to get "free' education?
- What is wrong with our education system? why are we observing year after year same problems?
- The History Exam questions, as Mwanakijiji stated, nothing has changed 20 years after I took the O level exam! Hasn't history changed or there is need to move away from old curriculum?
- If this is an aptitude and qualification exam to advance to a Government school (huu ndio ukweli), why does't that responsibility pushed down to regional level? why have NECTA while we could have Exams created at regional level under supervision of Regional Education Officer?
- This will be an opportunity for computerization, where the exam could be emailed to head teachers of the secondary school the morning of the exam day hence removing leaking!