Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,104
- 43,357
Sawa inawezekana hujawataja kwa majina lakini huoni kusema Chadema hakuna inachokifanya ni sawa na kuwasema viongozi, utatofautishaje uongozi wao na chama au tuseme uongozi wao (Slaa, Mbowe,Zitto nk) mzuri kwenye familia zao tu na si kwenye chama tueleze uzuri wao uko wapi.
Bado unasema kitu ambacho sijakisema.. unaweza kurudi na kusoma nilichosema please.
Hujajibu swali kwanini hatuungani na mfano wako ni irrelevant, kukwana kwa gari inawezekana ni uzembe wa dereva kaambia hiyo sehemu inatitia akakaidi, kutotoka si lazima uwe uzembe wa dereva.
lakini kuwa gari limekwama is self evident..