Mtei awashauri viongozi CCJ wahamie CHADEMA

Mtei awashauri viongozi CCJ wahamie CHADEMA

tupiganie tupate usajili wa kudumu kwanza..
Mlishasema mgombea wenu ni maarufu kuliko Kikwete sasa mnaanza kugeuka tena eti hadi mpate usajili wa kudumu inaonekana karibu mambo yenu yote ni ya uongo uongo.
 
Humu ndani I can smell "uroho wa madaraka" au pacha wake "kununuliwa".
Nilikwishaisikia hii kutoka kwenye grapevine sikuamini.... lakini inawezekana nilikosea!!
 
Humu ndani I can smell "uroho wa madaraka" au pacha wake "kununuliwa".
Nilikwishaisikia hii kutoka kwenye grapevine sikuamini.... lakini inawezekana nilikosea!!
Mkuu una maana gani sijakuelewa, uroho wa madaraka JF au wapi....
 
Mkuu una maana gani sijakuelewa, uroho wa madaraka JF au wapi....
Afande, the otherwise good course ya kuleta mabadiliko ya kweli humu nchini, to put it mildly, sasa naona imeingiliwa na "funza".
 
I mean "funza" wa humuhumu JF!
Sasa nimekuelewa, lakini kwa uzoefu wangu humu JF si rahisi watu kurubuniwa, kama hutakuwa consistent wakiona unataka kuwachanganya watakuvumilia kwa siku moja kesho yake utajikuta umebaki mwenyewe utafikiri wanasupport kumbe wana ku enjoy, lakini kama unaongelea nje ya JF say huko vijijini ni rahisi kuwa affected na huyo funza.
 
tumeona haya watu walipozungumza dhidi ya CCM wakaaitwa wao ni Chadema, wanapozungumza dhidi ya Chadema wanaitwa wao ni hivi au vile. Maswali ya msingi yanaogopwa kujibiwa. Tunatakiwa kupanga mstari na kujiunga nyuma ya Chadema... tukiuliza ili kiwe nini tunaambiwa "alimradi CCM iondoke madarakani". Tunasema "sawa" halafu ikiondoka madarakani "then what".. hatujibiwi tunaambiwa hilo si tatizo "tuwaondoe kwanza CCM madarakani then tutajua cha kufanya".

Tukisema hiyo si falsafa nzuri tunaambiwa tumefulia kwa sababu ati hatutaki "CCM iondolewe madarakani!".
Naibu Katiba Mkuu wa CCJ Dickson Ng'hily, alitangaza hilo kwa kutaka Watanzania kuunga mkono Chadema kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba kwani lengo la kuanzishwa chama hicho ni kuiondoa CCM madarakani.
Nakuomba Mwanakijiji ukanushe kauli ya Naibu katibu mkuu wako yeye kasema lengo kuu ni kuiondoa CCM madarakani wewe unasema lengo si kuiondoa CCM madarakani tumuamini nani.
 
Nakuomba Mwanakijiji ukanushe kauli ya Naibu katibu mkuu wako yeye kasema lengo kuu ni kuiondoa CCM madarakani wewe unasema lengo si kuiondoa CCM madarakani tumuamini nani.

Mzee Mwanakijiji anachokiamini ni tofauti na Wanachohubiri CCJ, yeye anataka kuwahubiria ITIKADI watu wasio hata nini maana ya Elimu ya Uraia unategemea nini sasa
 
Mzee Mwanakijiji anachokiamini ni tofauti na Wanachohubiri CCJ, yeye anataka kuwahubiria ITIKADI watu wasio hata nini maana ya Elimu ya Uraia unategemea nini sasa
Mwanakijiji ni conservative lakini hajijui tatizo alikimbilia kukwea mpapai upepo mdogo tu umeng'oa hadi mizizi.
 
Mwanakijiji ni conservative lakini hajijui tatizo alikimbilia kukwea mpapai upepo mdogo tu umeng'oa hadi mizizi.

Unajua Mzee Luteni Mimi naitizama Itikadi as Software Development Language, kwamba Client anakufuata umtengezee Software yeye hatojali wewe umetumia which language kutengeneza Softaware whether Umetumia Java, C++, umetumia PHP, umetumia MySQL umetuima Oracle yeye hajali, anachojali yeye ni output, je Softaware inakidhi matakwa yake? Kama inakidhi matakwa yake yeye hatojali which language is executed in the background

Wananchi wanataka Mabadiliko full Stop! Yameletwa na Mrengo wa Kulia, wa Kushoto, wa Kati, Uhafidhina hilo mpiga kura wa Kawaida hatambui na kuendela kumhubiria ni sawa na kumpigia Mbuzi gitaa acheze
 
Mwanakijiji ni conservative lakini hajijui tatizo alikimbilia kukwea mpapai upepo mdogo tu umeng'oa hadi mizizi.
Mwanakijiji knows exactly what he's doing. Mission nearing accomplishment. Refer my earlier contribution(s).
 
Nitakuhakikishia kuwa baada ya mwaka mmoja; hakuna kesi yoyote ya ufisadi au jambo la ufisadi lililozungumzwa tangu mkapa litabakia midomoni mwa Watanzania.... huu ni mfano mmoja tu.. na hili ndilo tishio la CCJ.. they know what we want to do... hatutaki kuiondoa CCM ili iondoke halafu ndio tujue tunataka kufanya nini..

Kwa hiyo quote yako

CCJ = CHADEMA
 
Wananchi wanataka Mabadiliko full Stop! Yameletwa na Mrengo wa Kulia, wa Kushoto, wa Kati, Uhafidhina hilo mpiga kura wa Kawaida hatambui na kuendela kumhubiria ni sawa na kumpigia Mbuzi gitaa acheze
It is true wananchi wengine hawajui hata sera ni nini hata humu JF kuna wengi tu hawajui tofauti ya sera, itikadi na ilani itakuwa mkulima anayekesha kondeni kupalilia mafenesi na michunga, wao wanachotaka waone ni maendeleo yawe yameletwa kwa mapinduzi sawa kwa kura sawa yameletwa na dikteta kama Kagame na Mseveni sawa, ideology za MKJJ za 'ili iweje' hazitasaidia kwa siasa zetu za kiafrika hasa Tanzania hizo hutumika kwa nchi zilizoendelea Marekani , UK etc ambao wana long plan, si kama sisi kila waziri anayeingia anataka kujionyesha yeye ni nani anabadili mipango yote anayoikuta na kuweka ya kwake.
 
Mwanakijiji knows exactly what he's doing. Mission nearing accomplishment. Refer my earlier contribution(s).

Bwana eeh! kama una cha kusema ongea kama kama hauna kaa kimya. naona sasa na wewe unataka kuanzisha umbea ili watu wakubembeleze. Kama ana yake kuna mtu asiye na yake hapa sema tu yametofasutiana. Mimi nachukia sana watu mnaokuja na habari nusu nusu hamjui watu tunatumi muda kuja humu jamvini au mnadhani wote ni jobless.

Kuna watu wangapi wanatumika na ccm na wako kimya tu? Tupingane bila ya kupigana!
 
ooh no...
Tukiliuliza swali hilo tuaambiwa "it doesn't matter.. tutoe kwanza CCM madarakani then tutajua cha kufanya" hili si jibu la watu makini.

Unajua ni sawa ni wakat ule tulipopata Uhuru. tulisema tunataka tumtoe Mkoloni kwanza ili tujitawale. Tulipokwisha mtimua Mkoloni, tukajikuta hatuna uwezo wa kutosha, tuna migongano ndani yetu (kundi la kina Kambona, Babu, Nyerere) ya kiitikadi, kutokuaminiana na utemi na undava ukatumika tukawa na Chama kimoja tukitaka kujenga Taifa.

Mpaka leo hii hatujielewe kwa nini tulipata Uhuru na maana yake ni nini na ni kwa nini tunaishi bila kuwa huru!

Same will happen with huu mkorogo wa tuue nyoka kwa fimbo mmoja tukiwa wote tumeishikilia, guess what, kila mtu ana muscles tofuauti, anafikiria tofauti na ana reaction tofauti. As a result, nyoka anateleza na kutokomea sisi tunabaki kung'angania fimbbo ya umoja kumuua nyoka huku tumesahau kila mmoja alikuwa na uwezo wa kuwa na fimbo, mawe hata kukanyaga kwa kisigino.
 
Hawa watu wana matatizo.. basi waanze kusema vitu kwa fikara.. "kuungana kuimarisha upinzani Bungeni" ndio nini hasa?
Mdau Mwanakijiji, nadhani unataka kuibua hoja hapo,upo sawa...however, navyodhani mimi, huyu mzee anazo fikara nzuri tu....hapa ameona kwamba bado hata wao CHADEMA hawawezi kuingia ikulu this year,therefore the better option ni kukamata majimbo mengi kadri wawezavyo...kama kweli CCJ si chaka, waliopo na wanaotaraji kujiondoa CCM (kama wapo), si vibaya wakienda CHADEMA coz inaelekea CCJ hawatapata usajili...na kumbuka,its undisputed kwamba wao CHADEMA ndio chama kinachotoa upinzani wa dhati kwa CCM so far, in Tz mainland..
 
Hvi ni Wananchi wangapi hata wanafahamu maana ya Itikadi, au uhusiano kati ya Itikadi fulani na Maendeleo yao? Leo hii hata ukienda UDSM wanafunzi wachache sana wataelewa hili somo la Itikadi sijuki ya Mrengo wa Kulia, sijui kushoto blah blah k

Blah blah blah and CCM will continue to rule.

Hivi CUF, CHADEMA, TLP, NCCR ni vyama vya mfumo gani wa kisiasa ulioambatana na mfumo wa Uchumi? NI Mabepari, Makabaila, Watwana, Wajamaa, Wajima, Wakomunisti au ni Utanzania tuu?

Je tofuauti yao ya ki-Itikadi na mfumo na CCM ni ipi?

It is 2010, mambo yanabidi kwenda kisayansi na si kienyeji enyeji.

Leo hii CCJ watadai tunalenga kuboresha maisha ya Mtanzania ni kwa mfumo gani na njia gani? Has anyone ever ask kwa nini ni muhimu kuwa na mirengo na mifumo inayoeleweka?

Mfano CCM is about big government, big spending abd seeking donor aid, what Identity does CUF, CHADEMA, TLP, CCJ, NCCR and other have contrary to CCM's?

UNadai hata huko Chuo UDASA watu hawalielewi, ni utashi au wamelazimika kuwa vipofu kutokana na mfumo butu wa kisiasa?
 
Nilishasema huko nyuma na ninaendelea kusema katika nchi hii Itikadi ni luxury, nchi hii inahitaji vit basics kwanza ambavyo itikadi zote zinataka, kama utawala wa sheria, haki za binadamu, kuheshimu mali za uma, watu kujifunza kufanya kazi, uzalendo na vit vinginevya aina hii.

Sasa ukianza kuleta itikadi hapa ambapo hata vitu basics hakuna wapi na wapi. Wengine kama sisi itikadi yetu hatutaki kuona viwanda avya abortion hapa nchini (maria stops na wenzao) na ushoga tutapiga marufuku na kufunga watu hapa. Inabidi tuweke hii kando na na tujiunge na chama kinachotaka kuweka hizi basics halafu kweli tukivuka huko wengi mtatuona na tutaachana kwa kupishana itikadi.

Nchi hii kwa sasa haitaki itikadi inatakiwa kurudi kwenye basics ambazo itakadi zote zinataka kuweza kuoperate na Chadema inataka kureta hayo

Vitu basic at whose expense? Big government, small government, free market, controlled market, freedom of speech and press, controlled democracy or what? All those fall under ideology.

Needs are met through proper identification of what a party stands for. Leo CHADEMA watadai wataleta maendeleo, lakini wao ni big spenders kama CCM, how can they deliver the promises?

Ideology is not a luxury, kama ingekuwa Luxury, usingeamini kwenye Utatu mtakatifu ungekimbilia kung'angania sermon on the mountains and beatitudes.
 
Code:
Hawa watu wana matatizo.. basi waanze kusema vitu kwa fikara.. "kuungana kuimarisha upinzani Bungeni" ndio nini hasa?
Code:

Mwanakijiji..kuna mtu ameaccess password yako nini? Mbona unaandika vitu tusivyovitegemea kuandikwa na wewe?
 
Blah blah blah and CCM will continue to rule.

Hivi CUF, CHADEMA, TLP, NCCR ni vyama vya mfumo gani wa kisiasa ulioambatana na mfumo wa Uchumi? NI Mabepari, Makabaila, Watwana, Wajamaa, Wajima, Wakomunisti au ni Utanzania tuu?

Je tofuauti yao ya ki-Itikadi na mfumo na CCM ni ipi?

It is 2010, mambo yanabidi kwenda kisayansi na si kienyeji enyeji.

Leo hii CCJ watadai tunalenga kuboresha maisha ya Mtanzania ni kwa mfumo gani na njia gani? Has anyone ever ask kwa nini ni muhimu kuwa na mirengo na mifumo inayoeleweka?

Mfano CCM is about big government, big spending abd seeking donor aid, what Identity does CUF, CHADEMA, TLP, CCJ, NCCR and other have contrary to CCM's?

UNadai hata huko Chuo UDASA watu hawalielewi, ni utashi au wamelazimika kuwa vipofu kutokana na mfumo butu wa kisiasa?
Rev. Kishoka

Hivi ni itikadi gani unazokazania uzielewe, sasa ukizielewa then what next, huwezi ukaelezwa kila kitu humu JF, kama unataka vitu deep nenda kwenye tovuti zao. Mkulima wa magimbi kule Mwanakwelekwe hajui hata neno itikadi wala sera wala ilani kwa vile hayamsaidii ni wewe na mimi tu tunaong'ang'ania hayo mambo.

Afterall wananchi wa vijijini hawahitaji hizo blah blah za itikadi kama alivyosema Naibu katibu wa CCJ wao wanataka CCM iondoke period, ukipinga hilo tamko naomba utueleze wazi kama una support hiyo itikadi ya CCJ au umegeuka vingenevyo utakuwa unaleta ubishi usio na maana.
 
Back
Top Bottom