Mtei awashauri viongozi CCJ wahamie CHADEMA

Je tofuauti yao ya ki-Itikadi na mfumo na CCM ni ipi?

It is 2010, mambo yanabidi kwenda kisayansi na si kienyeji enyeji.
Rev. Kishoka

Kwa nchi kama Tanzania kuanza kufikilia mifumo ya kisayansi ni vigumu sana, mifumo ya kisayansi inatengemea mipango ya nchi na mipango inategemea uchumi na uchumi unategemea discipline kwenye ukusanyaji wa kodi. Kama huna discipline kwenye kodi ni ndoto kufikilia mifumo ya kisayansi.

Nchi zilizoendelea kama Canada uliko wamefanikiwa kwa sababu discipline ya kodi ni ya hali ya juu mtu huwezi kukwepa kulipa kodi, nilibahatika kufanya kazi kwenye Borough Council moja ya nchi zilizoendelea utaona ni jinsi gani watu wanavyokimbilia kulipa kodi na ukimchelewesha mlipa kodi ana haki ya kukushitaki watu wote wamejengewa tabia hivyo.

Tukirudi kwetu leo ukiwauliza TRA projection ya mapato ya mwaka ujao ikoje utakuwa unawaonea bure, kwa sababu hawajui wana vyanzo gani vya mapato vyenye uhakika, kwa hiyo nchi haiwezi kuwa na mipango scientific au mradi mkubwa bila kuwa na uhakika wa mapato zaidi ya kutegemea wahisani.

Leo ukimuuliza waziri wa elimu dropouts ya wanafunzi mwaka kesho ni ngapi atakuambia hajui maana yake nini mbali ya kutojua dropouts hana hata mpango wa kuwasaidia.

Tukija kwenye vyama vya siasa ukisema vijiendeshe kisayansi itakuwa ngumu sana ndugu yangu Rev. ukiwauliza hata hao CCM watafanya nini siku 100 za mwanzo zaidi ya kukuambia watatekeleza ilani ya chama watakuambia hata wao hawajui kwa sababu hilo fungu na hayo mapato ya kutekeleza hawayajui sembuse Chadema au CUF ambao nafikiri kwenye hizo siku 100 za mwanzo watakuwa bado wanagombania vyeo na wizara.

Naweza kusema kuwa mawazo yako ni mazuri lakini kwa tanzania ya leo itakuwa vigumu sana kutekelezeka, Tanzania haijawa na mfumo endelevu unaoeleweka hata hao CCM hawana mfumo unaojulikana, kwa hiyo kutaka vyama vingine kwanza viunde mifumo yao ndipo vipewe ridhaa ya kuongoza utakuwa unavionea bure, viache viingie kwenye system ndipo vitakapopata fulsa ya kujenga na kuendeleza mifumo wanayoitaka.
 
Vitu basic at whose expense? Big government, small government, free market, controlled market, freedom of speech and press, controlled democracy or what? All those fall under ideology.

Needs are met through proper identification of what a party stands for. Leo CHADEMA watadai wataleta maendeleo, lakini wao ni big spenders kama CCM, how can they deliver the promises?

Ideology is not a luxury, kama ingekuwa Luxury, usingeamini kwenye Utatu mtakatifu ungekimbilia kung'angania sermon on the mountains and beatitudes.

ITIKADI ni mawazo ya kikundi au taifa juu ya njisi ya kuendesha kitu fulani siyo lazima nchi. Ni rahisi sana kusema sisi tuna itikadi lakini siku zote the devil is on details na ndiyo itakayo toa direction ya itikadi yenu. Kinachoshangaza sana ni ile dhana ya watu kuwa itikadi basi lazima kukopi USA au UK yaani left and right (east na west why not north and south) huu ni uupuuzi. Inawezekana Mnaweza wote mkawa wote ni socialist lakini mkawa mna itikadi tofauti kabisa kama unakubariana na definition yangu hapo juu.

Niliposema vitu Basic nilikuwa namaana kuwa sisi itikadi yetu iwe ni kuirudisha nchi kwenye mising mikuu ya uendeshaji wa Serikali (basics) yaani ni Good Governance, Maana yangu ilikuwa ni kuwa hatuna luxury ya kuanza utekelezaji itikadi divisive mfano mambo ya mashoga na abortion bali kuhakikisha kuwa tuna good governance ambayo ni
  • Consensus Oriented
  • Participatory
  • following the Rule of Law
  • Effective and Efficient
  • Accountable
  • Transparent
  • Responsive
  • Equitable and Inclusive
Sasa vitu hivyo hapo juu ndiyo tatizo la taifa letu tena kubwa tena sana. Sasa sitashangaa sana vyama vyote vikiliona hiyo na kulipa kipaumbele.

Soma manifesto za Chadema kama hautaona in details njisi wa avyotaka kuleta good governance nchi kama ni first priority yao
 
Luteni.. nyinyi sijui kwanini hamtaki kunisoma.. nimeshauliza huko nyuma mara nyingi.

a. Waungane kiwe nini?
b. Muungano uwe kwa msingi gani?
c. Baada ya kuungana kinakuwa nini?

Tumeimba mara nyingi.. 'wapinzani waungane' sijui "muungano wa upinzani' mara "waungane kuwa na nguvu bungeni" lakini hakuna anayejibu maswali hayo. Wanasema waungane ili "waiangushe CCM" nikiwauliza ili 'kiwe nini' wanasema "i don't care, tunataka CCM ing'oke".. huu siyo muungano.

Navyojua mimi unapoamua kuungana lazima uwe na kusudi kuu ( Key objective) ambayo ipo wazi kwamba kuingoa CCM madarakani na kuunda dola, dola itakayowatumikia na itakayowatetea wananchi wa taifa letu. so what next after that?? - lazima kunakuwa na details nyingi tu ndani ambazo mtakuwa mmekubaliana kabla ya muungano kama sera, mfumo wa dola nk

MM, haya maswali yako yanajibika na ni mepesi sana na wala hayashindikani kama watu makini mkakaa meza moja na kuyajadili, mimi sioni haya ndiyo yanakufanya wewe binafsi uwe na wasiwasi na wito wa mzee Mtei kuwaita CCJ waunganinshe nguvu unless kama una jingine Mkuu. sisi wananchi (hasa mimi) napenda sana muungano wa vyama, nashauri CCJ wakae na CHADEMA huu unaweza kuwa mwanzo mzuri wa tumaini jipya.
 
Blah blah blah and CCM will continue to rule.

Mfano CCM is about big government, big spending abd seeking donor aid, what Identity does CUF, CHADEMA, TLP, CCJ, NCCR and other have contrary to CCM's?
SOma hotuba ya DR slaa aliyoitoa kama Shadow prime Minister bajeti iliyopita imekujibu swali lako hili vizuri. Pia utajua ni kwa nini TBC walikata matangazo ili tusiisike lakini uki search kwenye hansard utaipata. Tatizo ni kwamba nyie mpo nje na vitu vingine mnajiropokea tu.

Na pia nadhani Hotuba ya waziri wa fedha kivuri ya mwaka jana pia. tatizo nyie CCJ Kusema ni rahisi sana kama haunakiliwi sehemu yoyote
 
basi nyinyi mlio ndani ndio peke yenu wenye haki ya kujua kila kitu na kutolea maoni taifa letu! haya ni matusi na mtego ule ule wa CCM kuona kuwa kwa vile Mtanzania akiwa ndani ya nchi basi ndio anastahili kujua zaidi na wale walio nje hawatakiwi hata kujua au kutolea maoni nchi yao. Hii haki ya kujiona ni Watanzania zaidi na mnajua zaidi kwa vile mko "on the ground" au "ndani" hamna.
 
Hapana MKJJ, Shalom aliposema nyie mpo nje hakuwa na maana kuwa hamna haki ya kuelewa mambo yanayotendeka ndani alichomaanisha ni kuwa ni vigumu wewe uliye mbali say Washington DC kuelewa kwa undani yanayotendeka kwenye ground level Dodoma au Mpanda ukilinganisha na mtu wa Sumbawanga.

Pamoja na kuwa technologia imekuwa ya hali ya juu katika media lakini tukubaliane linalotokea Dodoma mtu aliye pale anaweza akasimlia vizuri zaidi ya unayetegemea hizo media. Mfano siku ya uhakikiwa wa CCJ Mwembeyanga watu waliokuwa pale waliona emotions za Mwenyekiti wa Ccj kutaka kuvamia meza ya Tendwa lakini ilipolipotiwa wewe uliendelea kubisha kuwa haiwezekani.
 
Nimesema vitu vingine sijasema kila kitu na pengine ningeongeza neno wengine. Kuna eneo ambalo huwa mnafanya makosa sana na hii ni sawa hata mimi huwa nafanya makosa huwa kuna wakati nafikiria kuwa nyie mlioko huko mnakura raha tu kumbe kuna wengine ni choka mbaya kuliko hata mimi
 
this is where you are wrong; mnataka kutufanya tuamini tumezaliwa na kukulia Marekani au huko nje na kuwa Tanzania imebadilika sana kiasi kwamba ukiondoka mwezi, mwaka au hata miaka michache inamaana huwezi kujua kinachoendelea. Ni hii arrogance ya kuwa "tuko kwenye ground" ndio inanisumbua. Hivi hao ndugu zetu na familia zetu ziko zote ulaya kiasi kwamba hatujui kinachotokea? na hata watu wanapopata nafasi ya kuja likizo hata si mara kwa mara na kukaa na kuona ina maana hawawezi kujua kinachotokea au hadi mtu ahamishe maskani kabisa? Ni sawasawa na kusema kuwa watu wanaotoka Bongo kuja nje na kutolea maoni siasa za Marekani au maisha ya Marekani hawazijui ati kwa sababu hawaishi hapa. Binafsi siwezi kusema hivyo kwa mtu yeyote. NI kujidanganya kudhania kuwa kwa vile mtu yuko on the ground basi ina maana anaona vizuri zaidi wakati mwingine kuwa mbali na kitu kinakupa a wider view than to be close to it!

Pamoja na kuwa technologia imekuwa ya hali ya juu katika media lakini tukubaliane linalotokea Dodoma mtu aliye pale anaweza akasimlia vizuri zaidi ya unayetegemea hizo media. Mfano siku ya uhakikiwa wa CCJ Mwembeyanga watu waliokuwa pale waliona emotions za Mwenyekiti wa Ccj kutaka kuvamia meza ya Tendwa lakini ilipolipotiwa wewe uliendelea kubisha kuwa haiwezekani.

Once again.. unaweka maneno ambayo sikuyasema. Nachagua maneno yangu vizuri. Na si kweli kuwa mtu akiwa karibu ndio anaona vizuri au atatolea maoni vizuri zaidi. Hata walio karibu wanaweza kutofautiana na wakati mwingine kutofautiana kwa kiasi kikubwa mno. KUwa karibu na kitu hakikupi upeo mkubwa hivyo wakatimwingine yaweza kuwa ni kikwazo kwani unaangalia with prejudice.
 
Nimesema vitu vingine sijasema kila kitu na pengine ningeongeza neno wengine. Kuna eneo ambalo huwa mnafanya makosa sana na hii ni sawa hata mimi huwa nafanya makosa huwa kuna wakati nafikiria kuwa nyie mlioko huko mnakura raha tu kumbe kuna wengine ni choka mbaya kuliko hata mimi

hili ni kweli kabisa na ni kwa sababu hiyo wakati mwingine unaweza kufikiria kuwa kila anayeishi Tanzania ni maskini wa kutupwa! Mtu kuwa choka au kuwa ahueni ni irrelevant.
 
Niliposema vitu Basic nilikuwa namaana kuwa sisi itikadi yetu iwe ni kuirudisha nchi kwenye mising mikuu ya uendeshaji wa Serikali (basics) yaani ni Good Governance, Maana yangu ilikuwa ni kuwa hatuna luxury ya kuanza utekelezaji itikadi divisive mfano mambo ya mashoga na abortion bali kuhakikisha kuwa tuna good governance ambayo ni
  • Consensus Oriented
  • Participatory
  • following the Rule of Law
  • Effective and Efficient
  • Accountable
  • Transparent
  • Responsive
  • Equitable and Inclusive
Sasa vitu hivyo hapo juu ndiyo tatizo la taifa letu tena kubwa tena sana. Sasa sitashangaa sana vyama vyote vikiliona hiyo na kulipa kipaumbele.

Soma manifesto za Chadema kama hautaona in details njisi wa avyotaka kuleta good governance nchi kama ni first priority yao
Shalom

You are hitting the point hizi ndizo discussion ninazozitaka, watanzania tunahitaji vitu basics kwanza kama ulivyovitaja, priority yetu iwe kukusanya kodi, rule of law, accountability, effectiveness and efficiency ktk kazi nk nk, kukimbilia eti itikadi milengo ya kushoto mara kati mara ya pembeni haitatusaidia kitu, tukiwa na uwezo wa utawala bora ndipo tuwaze milengo, sasa utawala bora zero, kodi zero hiyo milengo tutakula.

sms.jpg
 
UPDP yawakaribisha wafuasi CCJ

Tuesday, 08 June 2010 05:36

Na Rabia Bakari

CHAMA cha Siasa cha UPDP kimewataka wafuasi na viongozi wa Chama cha Jamii kujiunga na chama hicho ili waweze kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 31, mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini jana, Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Bw. Fahmi Dovutwa alisema kuwa kukosa usajili kwa mara ya kwanza ni jambo la kawaida hapa nchini, hasa kutokana na kukosa uzoefu au kukutana na matapeli wa kisiasa.

"Kama tujuavyo CCJ ni chama chenye wanachama na viongozi ambao wanaweza kufanya kazi katika vyama vingine, hali inavyoendelea sisi ndani ya UPDP tumeona tunawahitaji watu wote waliomo ndani ya CCJ, kwa hali hiyo tunawashauri wazingatie matumaini ya wanachama wao wawapatie chama mbadala wafanye siasa," alisema Bw. Dovutwa.
Aliongeza kuwa CCJ waachane na lawama dhidi ya CCM kwani mtindo huo ni wa kizamani, kwa kuwa mpinzani hapaswi kuilalamikia CCM bali kutafuta mbinu za kushinda changamoto za ushindani.
"CCJ imeshindwa kutokana na kujiamini kwamba wao ndio peke yao wanaweza bila msaada wa vyama vingine vya siasa, hilo ndilo kosa lao kubwa lililowafikisha hapo walipo sasa, viongozi wa CCJ walipaswa kuwasiliana na vyama vyenye uzoefu wa mikiki ya usajili.
"Kosa hilo lilitosha kuwapiga mweleka CCJ. Kwa kuwa tambo za awali kuwa CCJ kuna vigogo kutoka CCM walanguzi wa siasa walikivamia chama hicho kwa dhamira ya kujipatia pesa sio mapenzi ya CCJ," alidai.
Alisema kutokana na ukweli huo, ndio maana muda mfupi ikatangazwa kuna wanachama 20,000 wameingia CCJ, hatimaye wamekitia aibu chama hicho mbele ya jamii.

Source Majira
 
CHAMA Cha Jamii (CCJ) members in Dar es Salaam Region are planning to stage what they called a peaceful demonstration to the office of the Registrar of Political Parties, Mr John Tendwa, to demand fresh membership verification.

Without mentioning the planned date for the demo, the CCJ Publicity Secretary, Mr Constantine Akitanda told a news conference in Dar es Salaam today that the re-verification would enable the registrar to identify and record the correct number of eligible CCJ members in the region.

“All CCJ members, who are over 200 in Dar es Salaam, will hold a peaceful demonstration to the registrar's office carrying our cards so that we can be verified,” he said.

Mr Akitanda said that if the registrar would prove that the party had only 13 members in Dar es Salaam, then they would not demand for fresh verification.

“And if Mr Tendwa will refuse to carry out a fresh verification of our members in Dar es Salaam, we will mobilise our members to stage countrywide demonstration to put pressure on the registrar to give us our rights,” said Mr Akitanda.

The party also claimed to have plans to take the registrar to court to suspend the on-going party's membership verification.

“We are also in the process of filing the case to the High Court to be given our rights,” he added.

Earlier, the CCJ leaders had claimed that the registrar was out to sabotage the party, when he declared that only 13 members had qualified in Dar es Salaam. The verification of the party membership started last Thursday in Dar es Salaam, where 13 eligible members were recorded instead of the required 200.

The CCJ leaders wrote a letter to the registrar asking him to suspend the verification exercise and go for negotiations to address some shortfalls. According to the Registrar, the verification of the membership is expected to be completed today in Zanzibar. It started in Dar es Salaam, Coast and Morogoro regions.

The registrar had also said that the exercise cannot be stopped following the party's pressure since it was agreed by both sides before being conducted. He had also said the exercise cannot be done by anybody else other than the registrar, according to the law and that verification would not be repeated.
 
Afande Luteni na Kijana Shalom,

Lets be real; without a formation of a radical party that has radical ideas, ideology and doctrine, it will be a miracle to dethrone CCM!

CCM knows this and it enjoys the absence of radical ideology from all the oposition parties that have enjoyed the benefit of being registered.

I am not a CCJ fan and I have not read its manifesto, however I will tell you this, the little that I have heard of these folks that is leading to CCM and Tendwa to play hanky panky tells me that CCM is scared of what CCJ may become contrary to CHADEMA, CUF or NCCR.

Lets go back to 1992-1995, then, Mrema na d Mtikila had the most radical ideas, and they were a threat to CCM and all its tentacles that had spread within the political system of Tanzania.

It was Nyerere manouvering and the infiltration of CCM agents into opposition camps and dirty tricks against Mrema and Mtikila that resulted to their demise.

CHADEMA is too soft and too CCMish, from its structure, its ideology and how it operates. CUF was militant, its fault was basing its strength on Zanzibar and they made a tragic mistake of ridding Mapalala who could have helped them to capture the whole Lake area (Sukuma land and vicinity), however the Old CUF is gone, we have a silky soft touch CUF that has gone in bed with CCM!

NCCR is basically a joke of political parties and so is TLP. THey should simply declare openly they are opposition wings of CCM!

As I have stated before when I wrote about Operation Sangara, CHADEMA must reform and Focus 2010, there is an need for Tanzania to have a radical party that can be distinguished by the people from CCM.

Having an Ideology that is different from CCM is the key to success, my dear friends! What Tanzanians see from parties that have been here almost 20 years is the Watu hawa hawa ni wale wale waliokuwa CCM and they offer nothing different than just wanting to Tawala.

Do not get me wrong, I would like to see CCM removed from power, but I have to be realistic and recognize that if the pace of the political parties and political moveent in Tanzania will continue as it is, today withot fundamental transformation and not simply a desire to see CCM go, with no back up plan, Watanzania will resort to Heri Zimwi likujualo mentality and I can assure you all that if this will continue to be the trend, consider CCM enjoying the helms of reign for the next 15-25 years, unles there is a revolution or a terrible calamity that will force Watanzania to react.

No wonder everyone now is a champion of Mgombea Huru, simply because they can not find a party that they can trully identify themselves with. People are playing love hate politics by staying to their parties not because of choice, but simply because hey have no alternative.

My prediction this October is CCM taking the Parliament again with at least 2/3 of voting power and the President winning by 60%, then the party will go through a transformation era for the next 5 years to assure its dominance on elections October 2015.

Now that is the reality and it is scary! No one gives a fudge about talk of Ufisadi, Mwembeyanga list, or whatever great speech that was made be it by Lipumba, Zitto, Sefu, Mrema, Mtei, or my dear Shalom! Without change of tactics and shifting the stance to a radical wave, all efforts to dethrone CCM are useless!
 
ITIKADI ni mawazo ya kikundi au taifa juu ya njisi ya kuendesha kitu fulani siyo lazima nchi. Ni rahisi sana kusema sisi tuna itikadi lakini siku zote the devil is on details na ndiyo itakayo toa direction ya itikadi yenu. Kinachoshangaza sana ni ile dhana ya watu kuwa itikadi basi lazima kukopi USA au UK yaani left and right (east na west why not north and south) huu ni uupuuzi. Inawezekana Mnaweza wote mkawa wote ni socialist lakini mkawa mna itikadi tofauti kabisa kama unakubariana na definition yangu hapo juu.

Niliposema vitu Basic nilikuwa namaana kuwa sisi itikadi yetu iwe ni kuirudisha nchi kwenye mising mikuu ya uendeshaji wa Serikali (basics) yaani ni Good Governance, Maana yangu ilikuwa ni kuwa hatuna luxury ya kuanza utekelezaji itikadi divisive mfano mambo ya mashoga na abortion bali kuhakikisha kuwa tuna good governance ambayo ni
  • Consensus Oriented
  • Participatory
  • following the Rule of Law
  • Effective and Efficient
  • Accountable
  • Transparent
  • Responsive
  • Equitable and Inclusive
Sasa vitu hivyo hapo juu ndiyo tatizo la taifa letu tena kubwa tena sana. Sasa sitashangaa sana vyama vyote vikiliona hiyo na kulipa kipaumbele.

Soma manifesto za Chadema kama hautaona in details njisi wa avyotaka kuleta good governance nchi kama ni first priority yao

Shalom,

How many seats will CHADEMA win this October? if with the Manifesto, Waraka, OS, Orodha ya Mafisadi and whatever mahubiri CHADEMA failed to gain at least 10% of TAMISEMI 2009, how can you tell me that your party is effective?

Kwanza ukiondoa viti maalum, CHADEMA leo hii ina viti vingapi Bungeni?

Lets shift to your bullet points for a minute. Todate, Mramba, Yona, Liyumba and Chenge are being accused of misuse of power. I have not heard a single cry from the party even through parliamentary committe that denounces this mockery of enacting "effective and efficient rule of law"

Today, the Government is borrowing from a commercial bank to supplement the budget, Mkulo showed up at the Kamati ya Bunge and you never heard a single outburst from opposition about it!

Workers of Tanzania have been denied salary increase and the President bullyed everyone by parading the mighty millitary power of Tanzania, no one has stood up continuosly to vent, demonstrate or even demandig Kapuyas neck!

So the question becomes, how can you become effective if your voice is in silence? Do you have enough Political Capital to take such risk of being radical?

Just like you stated before Watanzania hawajali Itikadi, and so is Watanzania hawajali hadithi kuhusu Ufisadi, ets call it a tie!
 
Rev. Kishoka

What you are talking is just means of removing CCM from power and not reasons as you have being preaching, we have seen many radical politicians like Mtikila, Seif, Marando, Lwamwai, Mrema you name it but where are these people what have they done. Instead of them being called heroes by the people, people see them as an arrogant people who want to bleach peace to course blood shed in a country.

So Chadema is taking a different course, instead of being radical from outside to coursing unnecessary controversial with police and government, Chadema is trying to be radical from inside the government's organs, attacking the CCM and government from inside like Bunge, Mahakama, NEC etc which is a good move i think.
 
Rev Kishoka ( Nakuonea huruma sana kama hiyo nick name yako ni ku mock wachungaji ezek: 22)

Tanzania ya leo haina tofauti kabisa na Urusi. Tofauti iliyopo ni kwamba mambo mengi ya Urusi yanakuwa documented na Tanzania yanakwenda kimya kimya. Najua unajua tu watu wengi ambao wanapotea na wataendela kupotea nchi hii. Unapoopertae katika nchi hii ni tofauti sana na unapooparate marekani na canada. Pia najua unajua watu kadhaa ambao wamefirisiwa na kuwa maskini kwa ajiri ya kusimama against CCM kama unataka naweza kukutajia wako wengi tu. Je unamjua mmiliki wa starlight hotel? je unajua kwa nini leo hataki siasa hata kuisikia? Lamwai je unadhani ni mwehu? hapana ila nadhani alifuata ushauri wa watu kama nyie ambao mko nje ya nchi na mnataka watu waende kichwa kichwa. Je una habari kuwa dodoma watu hata kununua maji ya kunywa tu haiwezekani? sumu everywere hilo unalijua?

Hiyo radical views unayoitaka wewe ni ipi. Nakupa home work utuletee kwa kifupi tu mambo matatu tu ambayo wewe unayaona ni radical views ambayo wapinzani wote hapa nchini hawajawahi kuyasema. walahi nitajua CCJ kweli ilikuja na jambo jipya nipe matatu tu kwa ufupi.

Chadema is too soft, kweli hata mimi ningependa wafanye zaidi ya hayo wanayofanya kwa sasa kwa kweli lakini tofauti yetu mimi na wewe ni kwamba. Mimi juzi walikuja majambazi sehemu ninayo kaa nakuua majirani wangu wawili na mchezo umeshakwisha hamna anaye zungumzia in two weeks lakini ingekuwa uliko wewe hii ingekuwa ipo kwenye news mpaka leo na coverage kwa kila hatua ya uchunguzi. tafakari!

Yaaa kweli ni soft na ni rahisi sana kusema kuwa ni soft. Marekani ukiwa radical in good sense unazawadiwa, tanzania ukiwa the same unaanza kuonywa na kila mtu kuanzia mama, baba, majirani, mchungaji, mwajiri na community. huwezi kuwa na radical party bila kuwa na radical people.

Nimeitwa mkutanoni nitaeendelea........................

Afande Luteni na Kijana Shalom,

Lets be real; without a formation of a radical party that has radical ideas, ideology and doctrine, it will be a miracle to dethrone CCM!

Have you read CCM manifesto? I can tell you they are radical too and it’s recently when CCM chairman told voters that they can not implement those radical ideas (I think it include kadhi court). I love common sense approach

CCM knows this and it enjoys the absence of radical ideology from all the opposition parties that have enjoyed the benefit of being registered.

Give me three things which are radical in your sense which ccm in past 40 years they have not said. What they lack is common sense approach not radical ideology and we are offering that to voters

I am not a CCJ fan and I have not read its manifesto, however I will tell you this, the little that I have heard of these folks that is leading to CCM and Tendwa to play hanky panky tells me that CCM is scared of what CCJ may become contrary to CHADEMA, CUF or NCCR.

Not real CCM are good at drama and they can dramatize very well. They done in the past and nothing will stop them to do now

Lets go back to 1992-1995, then, Mrema na d Mtikila had the most radical ideas, and they were a threat to CCM and all its tentacles that had spread within the political system of Tanzania.

Mrema Yes was threat to ccm once but he was not near to what Chadema are offering to day to voters, Mtikila real fit to what you wanted Chadema to do but sorry! We are not going that way. You have a choice to go to other parties including CCJ

It was Nyerere manouvering and the infiltration of CCM agents into opposition camps and dirty tricks against Mrema and Mtikila that resulted to their demise.

Well, They don’t have Mwalimu now and they have adopted evils means to do the same

CHADEMA is too soft and too CCMish, from its structure, its ideology and how it operates.

We could have been getting votes close to them

CUF was militant, its fault was basing its strength on Zanzibar and they made a tragic mistake of ridding Mapalala who could have helped them to capture the whole Lake area (Sukuma land and vicinity), however the Old CUF is gone, we have a silky soft touch CUF that has gone in bed with CCM!

Not my baby

NCCR is basically a joke of political parties and so is TLP. THey should simply declare openly they are opposition wings of CCM!

We ask CCJ to prove if it is not in this category

As I have stated before when I wrote about Operation Sangara, CHADEMA must reform and Focus 2010, there is an need for Tanzania to have a radical party that can be distinguished by the people from CCM.

I will prefer common sense approach, just me!

Having an Ideology that is different from CCM is the key to success, my dear friends! What Tanzanians see from parties that have been here almost 20 years is the Watu hawa hawa ni wale wale waliokuwa CCM and they offer nothing different than just wanting to Tawala.

I have already told that you will struggle to come with Ideology which CCM has not come out with in the past 40 years. You can differ with them by only showing that you are serious with what you are saying.

Do not get me wrong, I would like to see CCM removed from power, but I have to be realistic and recognize that if the pace of the political parties and political moveent in Tanzania will continue as it is, today withot fundamental transformation and not simply a desire to see CCM go, with no back up plan, Watanzania will resort to Heri Zimwi likujualo mentality and I can assure you all that if this will continue to be the trend, consider CCM enjoying the helms of reign for the next 15-25 years, unles there is a revolution or a terrible calamity that will force Watanzania to react.

One part in Japan rules for 75 years what matter is well being of the people

No wonder everyone now is a champion of Mgombea Huru, simply because they can not find a party that they can trully identify themselves with. People are playing love hate politics by staying to their parties not because of choice, but simply because hey have no alternative.

It’s our culture here my friends. Just open a new Bar and you will start to count as one millionaire only to see after another new bar open they no longer come to your bar. The same apply to CCJ they did not even come to show up for verification

My prediction this October is CCM taking the Parliament again with at least 2/3 of voting power and the President winning by 60%, then the party will go through a transformation era for the next 5 years to assure its dominance on elections October 2015.

It will not surprise anyone but the opposite will

Now that is the reality and it is scary! No one gives fudge about talk of Ufisadi, Mwembeyanga list, or whatever great speech that was made be it by Lipumba, Zitto, Sefu, Mrema, Mtei, or my dear Shalom! Without change of tactics and shifting the stance to a radical wave, all efforts to dethrone CCM are useless!

And you will stay in exile forever!
 
Shalom,

How many seats will CHADEMA win this October? if with the Manifesto, Waraka, OS, Orodha ya Mafisadi and whatever mahubiri CHADEMA failed to gain at least 10% of TAMISEMI 2009, how can you tell me that your party is effective?

Kwanza ukiondoa viti maalum, CHADEMA leo hii ina viti vingapi Bungeni?

Lets shift to your bullet points for a minute. Todate, Mramba, Yona, Liyumba and Chenge are being accused of misuse of power. I have not heard a single cry from the party even through parliamentary committe that denounces this mockery of enacting "effective and efficient rule of law"

Today, the Government is borrowing from a commercial bank to supplement the budget, Mkulo showed up at the Kamati ya Bunge and you never heard a single outburst from opposition about it!

Workers of Tanzania have been denied salary increase and the President bullyed everyone by parading the mighty millitary power of Tanzania, no one has stood up continuosly to vent, demonstrate or even demandig Kapuyas neck!

So the question becomes, how can you become effective if your voice is in silence? Do you have enough Political Capital to take such risk of being radical?

Just like you stated before Watanzania hawajali Itikadi, and so is Watanzania hawajali hadithi kuhusu Ufisadi, ets call it a tie!

Shalom,

How many seats will CHADEMA win this October?

Probably 70

if with the Manifesto, Waraka, OS, Orodha ya Mafisadi and whatever mahubiri CHADEMA failed to gain at least 10% of TAMISEMI 2009, how can you tell me that your party is effective?

Ask CCM why they did not want to combine this TAMISEMI 2009 with general election as many countries do? (Very cost effective but ……….)

Kwanza ukiondoa viti maalum, CHADEMA leo hii ina viti vingapi Bungeni?

6

Lets shift to your bullet points for a minute. Todate, Mramba, Yona, Liyumba and Chenge are being accused of misuse of power. I have not heard a single cry from the party even through parliamentary committee that denounces this mockery of enacting "effective and efficient rule of law"

Only in this country were thieves are cheered and seen as hero. Is this a CHADEMA problem?

Today, the Government is borrowing from a commercial bank to supplement the budget, Mkulo showed up at the Kamati ya Bunge and you never heard a single outburst from opposition about it!

We have been saying and lay out the alternative to Tanzanian for four years now through parliament, news and open meetings how we are were going not only increase tax collection but double it. They have choice and if they don't want their Gov to be borrowing from private sector they will reject them in October and pick another party. You have to understand that once a part has mandate from the people to govern it will do its on way (as it is on its manifesto) unless people want to make changes (Democracy). This is not Chadema problem; this is what Tanzanian wanted our job will be to persuade them to change this time

Workers of Tanzania have been denied salary increase and the President bullied everyone by parading the mighty military power of Tanzania, no one has stood up continuously to vent, demonstrate or even demanding Kapuyas neck!

CHADEMA is not a civil Society organization, it is a political part and it has already give workers and Tanzanian people alternative to what CCM offer them even before all this happens. Do you want Chadema to go to court? Or demonstrate on behalf of the workers?

So the question becomes, how can you become effective if your voice is in silence? Do you have enough Political Capital to take such risk of being radical?

May be we do not do enough but we are the vocal party here than any part at the moment, one thing fore sure I guarantee we can not do is paying air time in CNN?

Just like you stated before Watanzania hawajali Itikadi, and so is Watanzania hawajali hadithi kuhusu Ufisadi, ets call it a tie!
.

Itikadi zitakuwa ni bure kama basic governance haiko. Na ufisadi utatokomea pale wananchi watakapo amua kuukataa. Ni jukumu letu kuwapa habari ili wauelewe na kufanya maamuzi.
 
ITIKADI ni mawazo ya kikundi au taifa juu ya njisi ya kuendesha kitu fulani siyo lazima nchi. Ni rahisi sana kusema sisi tuna itikadi lakini siku zote the devil is on details na ndiyo itakayo toa direction ya itikadi yenu. Kinachoshangaza sana ni ile dhana ya watu kuwa itikadi basi lazima kukopi USA au UK yaani left and right (east na west why not north and south) huu ni uupuuzi. Inawezekana Mnaweza wote mkawa wote ni socialist lakini mkawa mna itikadi tofauti kabisa kama unakubariana na definition yangu hapo juu.

Niliposema vitu Basic nilikuwa namaana kuwa sisi itikadi yetu iwe ni kuirudisha nchi kwenye mising mikuu ya uendeshaji wa Serikali (basics) yaani ni Good Governance, Maana yangu ilikuwa ni kuwa hatuna luxury ya kuanza utekelezaji itikadi divisive mfano mambo ya mashoga na abortion bali kuhakikisha kuwa tuna good governance ambayo ni

  • [*]Consensus Oriented
    [*]Participatory
    [*]following the Rule of Law
    [*]Effective and Efficient
    [*]Accountable
    [*]Transparent
    [*]Responsive
    [*]Equitable and Inclusive
Sasa vitu hivyo hapo juu ndiyo tatizo la taifa letu tena kubwa tena sana. Sasa sitashangaa sana vyama vyote vikiliona hiyo na kulipa kipaumbele.

Soma manifesto za Chadema kama hautaona in details njisi wa avyotaka kuleta good governance nchi kama ni first priority yao

My dear Brother Shalom,

What happened to the bullet point items during CHADEMA elections last year or during Chacha Wangwe saga? If tiy advocate to be a Saint, then you should live, talk and walk like a Saint.

What happened to CHADEMA during Chacha Wangwe saga and later on the elections between Zitto, Wazee wa Chadema and even the youth wing with Kafulila is a joke and it sshows Watanzania that you (CHADEMA) are one and same with CCM!
 
Rev. Kishoka

What you are talking is just means of removing CCM from power and not reasons as you have being preaching, we have seen many radical politicians like Mtikila, Seif, Marando, Lwamwai, Mrema you name it but where are these people what have they done. Instead of them being called heroes by the people, people see them as an arrogant people who want to bleach peace to course blood shed in a country.

So Chadema is taking a different course, instead of being radical from outside to coursing unnecessary controversial with police and government, Chadema is trying to be radical from inside the government's organs, attacking the CCM and government from inside like Bunge, Mahakama, NEC etc which is a good move i think.

Yeah 20 years and marginal progress! If ChADEMA as intellectual as it appears was that great, how come the intellectuals and urbanites of Tanzania are not falling in love wit it and assure its supremacy? If at the intellect level and academic (CHADEMA believes it is a Scientific and organized party) level it can not persued the Urbanites , how can it conquer the ruralites?
 
Sidhani kama Mtei alikuwa na nia mbaya aliposema jamaa wa CCJ waende CHADEMA. Anajaribu kupata mawazo mapya kutoka kwa hawa jamaa na pia kwakuwa wana kamvuto fulani inaweza kuwa chachu ya kuongeza hata viti bungeni. Maana focus ya upinzani ni kuwa na viti vingi bungeni ili waweze kuwabeat wasotea matumbo.

Kwenye muungano lazima kuwa na malengo ya muungano, kwanini mnaungana? Nikiangalia khali ilivyo muungano huu ni kuiondoa CCM ili kuleta vitu vipya japo vitu vipya hivyo vingeweza kuletwa hata bila kuitoa CCM kwa kuongeza awareness kwa wanachi then hao wananchi wafanye kazi inavyotakiwa CCM itapigwa chini.

Hivyo sioni kibaya hata kidogo hiyo nayo ni njia kuelekea bustani ya eden.
 
Back
Top Bottom