"Nikihesabu Waislamu katika hii Tume kwa kuzingatia majina naona zaidi ya theluthi mbili ni Wao. Wengine ni Wakristo au watu wasiokuwa na dini yoyote" HII NDIO KAULI YA BABU MTEI
jee nadni ya Chadema waislam wategemeee nini?
90 asilimia ya viongozi wakuu, wabunge na hata kamati zao ni wa dini ya kikiristo . jee mtei anakusudia nini?
Viongozi wakuu wa Chadema
Mwenyekiti: Mbowe (Mkiristo)
Katibu Mkuu: Dk slaa (Mkiristo)
Naibu katibu Mkuu: Zitto
Mweka hazina : Kom (Mkiristo)
Wabunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA ambao majina yao yamepitishwa na mikoa wanayotoka kwenye mabano ni pamoja na
Lucy Owenya (Kilimanjaro),
Esther Matiko (Mara) Mhonga Luhanywa (Kigoma), Anna Mallac (Katavi), Paulina Gekul (Manyara) na Conchesta Rwalumulaza (Kagera).
Wengine ni Suzan Kiwanga (Morogoro), Grace Kiwelu (Kilimanjaro), Suzan Lyimo (Kilimanjaro), Regia Mtema (Morogoro), Christowaja Mtinda (Singida), Anna Komu (Dar es Salaam), Mwanamrisho Abama (Zanzibar), Joyce Mukya (Arusha), Leticia Mageni Nyerere (Mwanza) na Naomi Kaihula (Dar es Salaam).
Majina mengine ya wateule hao ni Chiku Abwao (Iringa), Rose Kamili (Manyara), Christina Lissu (Singida), Raya Ibrahim Khamis (Zanzibar), Philipa Mturano ((Dar es Salaam), Mariam Msabaha (Zanzibar) na Rachel Mashishanga (Dar es Salaam).
Wabunge wa Majimbo
Wakiristo ni asilimia 96
Viongozi wa jumua zake zote chadema asiliamia 96 ni wakiristo. jee waislam waikatae chadema?
[TD="class: table2"][/TD]