Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,467
- 7,259
Mbunge
wa Kigoma Kaskazini-CDM amesema Mzee Edwin Mtei amefilisika kimawazo
kwa kauli yake kwamba tume ya Katiba ina Waislam wengi kuliko wakristo.
Source:JAMBO LEO.
Siamini kuwa Zitto anaweza kuwa hana akili kiasi hiki...!
Hilo gazeti haliaminiki.