Mtei amefilisika kimawazo - Zitto

Mtei amefilisika kimawazo - Zitto

We ni muongo tena wa kupindukia!
Lipumba amekemea tena live kwenye mkutano kule UNGUJA na amesema anayetaka kuwagawa watanzania kwa misingi ya kimaeneo na kikanda ALAANIWE.
Kuhusu Zitto ana haki kufanya hivyo maana mzee MTEI anawakilisha chama na kumuacha bila kumjibu ni kukiharibu chama.
UMEELEWA?
Nenda mzalendo.net utakuta hiyo hotuba yote.
 
This is what I always talk about.
Tunahitaji serikali mpya kufanya haya. Ila sio CCM.
 
kauli ya mtei inataka kuibatiza chadema iwe ya kikristo!viongozi wa cdm wamemkana live
 
Zitto ni mafiki huyooo, wengi naona hamjui nani walimtuma kuingia Chadema, fuatilia uhusiano wake na kile kikundi chao wakiwa chuo kikuu. Kundi lao lilikuwa limeandaaliwa, wenzake woote wako na position nzuri tuu kwenye kila chama cha upinzani, naona wengi hapa hamjui kilichoko chumbani pale TISS.

Zittooo, muislamu mwenzako jusaa a.k.a JUha amaetoa kauli ngapi TATA za kidini na kibaguzi, Je uliwahi kupinga jauli hizo hadharani? Wewe ni mdini nakujua vizuri, siku ile tupo kigoma wakati wa kampeni nilikuona unavopeperusha bendera yako ya udini maji yalipozidi shingoni. Huna jipya wewe ni mdini na jk wako.

Mkuu,
Kumbukumbu zinaonesha kwamba Zitto amejiunga na CHADEMA wakati hata ndoto za kuingia UDSM hazijawepo....tangia sekondari.....kama sikosei O-Level!

Tukirudi kwa Jussa, wana-CHADEMA mmeshindwa kumwelewa Zitto.....alichofanya Zitto ni kukisafisha chama chake...kama ni kweli ametamka basi alichofanya yeye ni kupita ilimopita Taarifa ya CHADEMA! Ni bahati mbaya sana, ametumia maneno makali.....lakini ukiangalia taarifa ya CHADEMA kuhusu kauli ya Mtei ni kwavile anaheshimika tu Mzee yule, vinginevyo, wangetoa taarifa kali kuliko ile! Hivyo basi, ili mradi Zitto alikusudia kukisafisha chama, then hana sababu ya kuyaingilia ya Jussa! Ya Jussa na chama chake....ungemshangaa Profesa Lipumba kukaa kutokan na kauli za Jussa, hapo ningekuelewa kwa 100%!
 
Zitto ana uhuru wake wa kutoa maoni lakini uhuru bila mipaka ni ukosefu wa nidhamu. Ndio tunajua Mtei ametoa maoni yake kama Zitto alivyotoa yawe (mazuri au mabaya) lakini yalikuwa yamejitegemea tofauti na ya Zitto, maoni ya Zitto yamemlenga Mzee Mtei wakati ya Mtei hayakumlenga Zitto personally labda kama ni maslahi. Zitto angeweza kabisa kusema 'Hayo ni mawazo ya Mtei' nasi kusema Mzee Mtei kafilisika kimawazo. Hii inaonyesha ni dharau kwa kiasi fulani, mfano kwa heshima ya kawaida huwezi kumrudishia baba yako tusi alilokutukana. Unaweza kusema mzee si vizuri kusema hivyo lakini ukisema baba umefilika kimawazo haipendezi.

Kichama, malumbano haya hayana afya njema hata kama tukiyaita ni mawazo binafsi. Unajua ukisifiwa kuwa wewe ni muwazi basi si kila kitu ukiweke wazi. Zitto angejaribu kuangalia je malumbano haya yanakijenga chama? yanamjenga au yanambomoa. Naomba afanye tathimini yake pasipo kuangalia wapenzi wake wanamsifia kiasi gani, maana isijekuwa wanamwambia mfalme umevaa. Nasema hivyo kwa sababu whatever the case Mtei atabaki kuwa mwasisi chama na ataendelea kuheshimika, kwa hiyo kwa vyovyote vile achana na uzee wake ukiwaweka yeye na Zitto uzito utaelekea kwake.
 
Kama hali ya udini ndiyo iko hivi kama tunavyoshuhudia hapa JF tutegemee nini huko mtaani? Ningependa tujadili wajumbe wa hii tume based on intellectual capacity and not otherwise.

Mkuu Ben, Salaam!!
Amini usiamini, huku mtaani udini wa kipuuzi kama huu wa JF mtaani haupo na kama ungekuwepo basi nchi hii isingekalika! Udini Tanzania upo miongoni mwa wasomi lakini si watu wa kawaida!! Kama udini mitaani upo basi ni mitaa ile ile ya class ilibarikiwa....mitaa ya wasomi na wenye neema! Huku uswahilini, ni ngumu sana kukuta suala la udini kama huu wa JF!!
 
Tume ya Katiba binti barakshia!

Lipumba alikanusha au kupinga wapi ***** wa ruhani juha bin jussa?

Unaendeshwa na mapepo ya dini yako, hata kufikiria unashindwa.
 
Tume ya Katiba binti barakshia!

Lipumba alikanusha au kupinga wapi ungese wa ruhani juha bin jussa?

Unaendeshwa na mapepo ya dini yako, hata kufikiria unashindwa.
 
Mkuu Ben, Salaam!!
Amini usiamini, huku mtaani udini wa kipuuzi kama huu wa JF mtaani haupo na kama ungekuwepo basi nchi hii isingekalika! Udini Tanzania upo miongoni mwa wasomi lakini si watu wa kawaida!! Kama udini mitaani upo basi ni mitaa ile ile ya class ilibarikiwa....mitaa ya wasomi na wenye neema! Huku uswahilini, ni ngumu sana kukuta suala la udini kama huu wa JF!!

Hasa wanachuo kama UDSM, IFM etc wanaongoza katika maeneo yao ya kazi kwa udini..

Lakini watu mitaa wanafahamu udini upo na wanajua kabisa wakristo wanapewa zaidi kupitia MoU..pesa umma..

Awareness ni kubwa sana..do not underestimate..
 
Zitto Katoa mawazo yake kama mtanzania wa kawaida pamoja na kuwa yeye ni naibu katibu mkuu, ila tuwe makini ktk hili mbona panapo tokea swala la ukristo na uislamu kuna kuwa na shida hapo?. mbona hakuna watu wanao jadili wapagani? Ina maana ndani ya nchi kuna ombwe la uongozi kwani hakuna mwenye hekima anae kemea hilo, Mbona kule igunga watu tuliutumia udini kufanya kampeni? je ina maana akinyata kinyonga sawa ila kanyata kicheche ananyatia kuku? Mh Zitto weka sawa hapo.
 
Komredi Ngosha:
Humjui zitto wewe, Zitto ni zao la TISS, amini usiamini, najua mpango mzima alivyoandaliwa na wenzake kuingia TISS. Leo nakuweka hadharani wewe kibaraka wa TISS. Heheheheheh.
 
Mtei si kiongozi wa chadema kwa sasa ni mwanachama tu. Ushauri kwa mzee mtei achana na siasa maana unaweza ukaanza kuharibu chama kutokana na kauli zako.Chama umekiasisi ila kwa sasa pumzika.Kula uzee wako na wajukuu wako kubali hilo kwa sasa.UDINI Tz hauna maana achani hayo.
 
. "Mfano wa pili ni kwamba, licha ya kwamba Tanzania siyo nchi inayozingatia dini katika maamuzi yake ya kisiasa, ni lazima tukubali kuwa madhehebu ya dini yana influence katika mchakato na hatimaye maamuzi. Nikihesabu Waislamu katika hii Tume kwa kuzingatia majina naona zaidi ya theluthi mbili ni Wao. Wengine ni Wakristo au watu wasiokuwa na dini yoyote.

HII NDIO KAULI YA BABU MTEI
MTEI NI SAWA NA MWALIMU NYERERE KATIKA CCM. NDIO WAASISI WA VYAMA HIVI 2.

jee nadni ya Chadema waislam wategemeee nini?
90 asilimia ya viongozi wakuu, wabunge na hata kamati zao ni wa dini ya kikiristo . jee mtei anakusudia nini?

Viongozi wakuu wa Chadema
Mwenyekiti: Mbowe (Mkiristo)
Katibu Mkuu: Dk slaa (Mkiristo)
Naibu katibu Mkuu: Zitto
Mweka hazina : Kom (Mkiristo)


Wabunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA ambao majina yao yamepitishwa na mikoa wanayotoka kwenye mabano ni pamoja na Lucy Owenya (Kilimanjaro), Esther Matiko (Mara) Mhonga Luhanywa (Kigoma), Anna Mallac (Katavi), Paulina Gekul (Manyara) na Conchesta Rwalumulaza (Kagera).

Wengine ni Suzan Kiwanga (Morogoro), Grace Kiwelu (Kilimanjaro), Suzan Lyimo (Kilimanjaro), Regia Mtema (Morogoro), Christowaja Mtinda (Singida), Anna Komu (Dar es Salaam), Mwanamrisho Abama (Zanzibar), Joyce Mukya (Arusha), Leticia Mageni Nyerere (Mwanza) na Naomi Kaihula (Dar es Salaam).

Majina mengine ya wateule hao ni Chiku Abwao (Iringa), Rose Kamili (Manyara), Christina Lissu (Singida), Raya Ibrahim Khamis (Zanzibar), Philipa Mturano ((Dar es Salaam), Mariam Msabaha (Zanzibar) na Rachel Mashishanga (Dar es Salaam).


Wabunge wa Majimbo
Wakiristo ni asilimia 96
Viongozi wa jumua zake zote chadema asiliamia 96 ni wakiristo. jee waislam waikatae chadema?


[TD="class: table2"][/TD]
 
Jamani kuhusu hili jamaa bishi(zitto) mi nilishachoka hata kubishana nae kwani hata kabila lake 2 linamdifine the way alivyo mbishi.
URAIS 2015 KUPITIA CDM ASAHAU KWANI NI BORA CDM TUMSIMAMISHE WASIRA JAPOKUWA SIO CDM KULIKO HILI JAMAA LENYE MOYO WA MUGABE.
 
Mkuu,
Kama kweli unawapenda Wakristo wenzako basi usiangalie jinsi ambavyo seminari za Kikristo zinavyofaulisha! Likewise, usiangalie idadi ya Wakristo waliopo vyuo vikuu.....angalia ni asilimia ngapi ya Wakristo wanaopata nafasi kwenye hizo shule za seminari na wale wanaopkosa! Angalia ni asilimia ngapi ya wakristo wanapata bahati ya kujiunga na university na wangapi wanaokosa!! Hapo tengeneza uwiano!! Hilo, likikushinda....basi usiende mbali, rudi tu kwenye familia yako (african extended familia). Angalia elimu za hawa wafuatao.....:
1. Babu na Bibi zako wa pande zote mbili,
2.Wazazi wako wote wawili
3. Ndugu zako (akina kaka+dada) wote kwa upande wa wazazi wako pamoja na watoto wo
4.Mama zako wakubwa, mama zako wadogo, wajiomba zako, shangazi zako pamoja na watoto wao wote!
5.Familia za watoto wa hapo juu ( 4 above)

Anzia hapo tu kisha tengeneza uwiano ya wasomi na akina sie na kisha ndipo uje hapa ukijitapa kwamba nyie kweli ni wasomi!!!
Binafsi, naumia....angalau ,mwenyewe nimejitahidi kufuta umande, lakini nyuma yangu kuna malaki kwa malaki ya Watanzania ambao ni waislamu na wakristo wasiojua kusoma wala kuandika!!

Mkuu kuna kundi kutoka dini fulani hujitapa kwamba wao wameipiga sana shule na wamestaarabika,lakini ukifuatilia kwa makini michango yao utagundua hiyo shule yao haijawasaidia kitu.Kama mtu unajidai umesoma na bado unafikiri kijingajinga basi hizo seminary zinazoongoza matokeo zinawalakini mkubwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom