hivi waislam hawana subira? kama hawana subira nadhani pale NACTA na ofisi nyengine nyingi kungalikuwa hakutoshi sasa
Kunguru Mweusi,
..nakubaliana na wewe kwamba Waislamu ni watu wenye staha na subira.
..Topical ukimsoma mabandiko yake yamejaa ubaguzi na udini tu.
..mimi naamini angeweza kabisa kuwasilisha madai yake bila kujitumbukiza kwenye ubaguzi wa waziwazi.