Mtei amefilisika kimawazo - Zitto

Mtei amefilisika kimawazo - Zitto

Kama kweli Mtei katoa pumba hizo ni lazima aombe radhi. Mimi ni Mkristo, lakini ujinga wa wazee kama Mtei hautufai. Afute kauli yake haraka!

acha unafiki wewe ni mkristo wa jina tu, maana huwezi kuunga mkono tume kuwa na waislamu wengi, kama wewe ni mkristo halisi. kumbuka waislam kili wanachofanya wanatanguliza uislamu kuliko utanzania, subiri uone wakati wa mahakama ya kadhi na oic.
 
acha unafiki wewe ni mkristo wa jina tu, maana huwezi kuunga mkono tume kuwa na waislamu wengi, kama wewe ni mkristo halisi. kumbuka waislam kili wanachofanya wanatanguliza uislamu kuliko utanzania, subiri uone wakati wa mahakama ya kadhi na oic.

Sikutarajia kwamba nchi yetu inadidimia kiasi hiki....yaani hapa picha ninayopata ni kwamba, endapo wewe ukipewa nafasi ya kufanya maamuzi basi maamuzi yako yatakuwa ni ku-favor ukristo! omg; god forbid!
 
Kawaida Raisi anakuwa na majina yake machache mengine analetewa na anachagua kutoka hayo , inawezekana majina aliyotelewa ya wote kutoka zanzibar wenye sifa hizo ni waislamu ukizingatia asimilimia kubwa ni waislamu chances za wote kuwa waislamu ni kubwa sana, isitoshe kama wakristo wako wachache na hawana sifa za kuwa kwenye tume , je awachague tuu shauri wakristo ?
 
mna chuki ya asili,watu wabaya sana nyie,mungu atawachapa viboko kwa chuki zenu na hamtakaa mfanikiwe milele.mkiambiwa chama cha kanisa mnabisha ona sasa.

labda unasema kinyume chake, nani asiyejua kuwa waislam wanafundishwa chuki hata wakiwa wadogo yaani madrasa, waislam wakipata nafasi kiutawala hutaka dini yao tu ndo ieshimiwe, mf boko haram, muslim brotherhood na vikundi vingine vingi tu. sasa chuki iko wapi hapa.
 
Imekuwakuwaje waislamu wawe wengi kuliko wakristo kwenye hiyo tume? Ingekuwa wao wachache kuliko wakristo tume ingepita hiyo? Haki sawa bin sawa mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu!
 
Unamheshim sawa, hata akiongea pumba? Akikuambia kula mavi utakula? Mtei hawezi liona hilo leo. Wakat yuko madarakani alifanya nini kuzuia udini. Tume ni ya kukusanya maon ya watz (c waislam). Kuh znz usiwasemee. Mathematically: 2% of znz christians x 15 apointees = 0.3persons. Ni theluthi ya mtu na c mtu kamili, Labda kibabu chako hicho. Nenda zako!
Kama hujui analysis unaacha kuonyesha ujuha kwenye mahesabu.
 
Hivi udini ni upi kati ya kuteua watu wengi wa dini moja na kusema kuwa walioteuliwa wengi ni watu wa dini moja?

Nasubiri jibu hapa, otherwise nitauliza hili swali over and over again hadi nipate jibu.

Mkuu jmushi1, heshima yako!!
Assume mtu ameteua watu 20, na wote hao ni wa dini moja lakini wakati unafanya uteuzi huo hukusukumwa japo na chembe ndogo kwamba unafanya hivyo ili kuwapendelea hao wenye dini husika...then, katu huo sio udini!!

Kinyume chake. Assume wewe ni Mwislamu unayeishi huku bara na umepewa jukumu la kuteua hao wajumbe 20! Lakini Kila ukipitia mafali, unashindwa kabisa kupata waisalmu wenye sifa wa kumwemo kwenye tume! Unaona haiwezekani, unatumia extra energy...unaanza hata kuulizia watu unaowafamu kama kuna waislamu wenye hizo sifa....hatimae unapata 3 out of 20! Hata kama waislamu hao ni wachache, huo ni udini UNLESS kama sheria ilikuwa inatakamka kwamba lazima wawakilishi wa dini zote mbili wawepo!

Kusema kuwa walioteuliwa wengi ni watu wa dini moja hakuna justification! Purely, huo ni udini! Binafsi, ilipotolewa orodha ile...niliangalia idadi kila upande. Nikakuta ZNZ ni 15 na Bara ni 15! Kiukweli nilishngaa kwavile sikuona mantiki ya kuwa na watu sawa kila upande wakati ZNZ ni wachache! Lakini baada ya kufikiria sana, nikahisi labda wakati mwingine watakuwa wanashindwa kukubaliana mambo fulani fulani yatakayowalazimisha kupata muafaka kwa kupiga kura! Nika-conclude kwamba, endapo scenario ya aina hiyo inaweza kutokea basi ni busara kuwa na idadi sawa ili pasije pakatokea kura za ubara na uzanzibari!
Lakini unapofikia kusema kwamba dini fulani ni wengi, ni kwamba si tu ulihesabu....bali ulikuwa unahesabu huku ukisema "Mkristo!", "Mkristo!", "Mkristo!", "Mwislamu", "Mwislamu","Mkristo!",.............!" Sasa hadi unafika kote huko, unatafuta nini?! Huo ni purely udini!!
 
labda unasema kinyume chake, nani asiyejua kuwa waislam wanafundishwa chuki hata wakiwa wadogo yaani madrasa, waislam wakipata nafasi kiutawala hutaka dini yao tu ndo ieshimiwe, mf boko haram, muslim brotherhood na vikundi vingine vingi tu. sasa chuki iko wapi hapa.

Toa aya moja ya Kuran inayofundisha chuki!
 
Zitto ni mafiki huyooo, wengi naona hamjui nani walimtuma kuingia Chadema, fuatilia uhusiano wake na kile kikundi chao wakiwa chuo kikuu. Kundi lao lilikuwa limeandaaliwa, wenzake woote wako na position nzuri tuu kwenye kila chama cha upinzani, naona wengi hapa hamjui kilichoko chumbani pale TISS.

Zittooo, muislamu mwenzako jusaa a.k.a JUha amaetoa kauli ngapi TATA za kidini na kibaguzi, Je uliwahi kupinga jauli hizo hadharani? Wewe ni mdini nakujua vizuri, siku ile tupo kigoma wakati wa kampeni nilikuona unavopeperusha bendera yako ya udini maji yalipozidi shingoni. Huna jipya wewe ni mdini na jk wako.
 
Zitto anaivuruga CDM, au chadema inamvuruga zitto?? Zitto anapanbana na maadui zake ndani ya chadema wasiotaka kuona chama kinatoka minoni mwa wenye malengo maalum!! Mtoeni zitto ili chama chenu kife ili tanzania iendelee kuwa na amani

Ushabiki wako uko kwenye damu iliyojaa hira. Zitto ndio CHADEMA?
 
KAMA KUNA MTU NDANI HUMU ANAMUUNGA MKONO MZEE MTEI KWA HOJA YAKE BASI HAFIKIRII SAWASAWA...................
Hivi ni nani anaeweza kusema kua Kikwete ni mdini? na vp Mzee Mkapa wakati wa utawala wake? vp mzee nyerere? kama kigezo cha udini ni kua na waislamu wengi katika idara fulani basi huko ni kukosea kukubwa sana! Milemo hakuna hatari yoyote ya kumwambia muasisi kama amekosea maana mzee mtei amekosea na amekosea pakubwa sana na lazima akubali kukosolewa huko ni kuligawa taifa!
NINAKOSA IMANI NA CHADEMA KAMA WAZEE WAASISI WAKE TUNAOTEGEMEA WATUPE DIRA YA UELEKEO WA CHAMA CHAO LEO NDO WANAKUA WA KWANZA KUBEBA BANGO LA UDINI................NI KICHEFUCHEFU
Mzee Mtei hajakosea lolote. Si kweli kwamba tume ina idadi kubwa ya Waislamu? Si kweli kwamba kuna minong'ono ya udini na upendeleo kwa Waislamu chini ya utawala wa Kikwete? Mtei kaweka tu hadharani yale yanayoongelewa faraghani. What is wrong with that?
 
Majibishano haya yanazidi ku-prove kuwa umri wa kuwa rais uendelee kubaki miaka 40.
 
Pongezi kwa kuona kibanzi kwenye jicho la mzee MTEI.

Lakini ukiwa kama kinara wa kupinga ubaguzi wa kidini na kikanda ndani ya nchi ya kusadikika Tanzania, nipe jibu la swali hili Ndugu.

J.u.ha a.k.a jussA, ametoa kauli ngapi za ubaguzi dhidi ya wakristo na ubaguzi zidi ya Watanganyika, kwnaini hujawahi hata siku moja kutamka hadharani kupiga kauli hizo? Ndugu yako lipumba kwanini hakupinga kauli hizo? muumini mwenzako jk mbona hakupinga kauli hizo? Leo kaongea Mtei,mkristu, nini kimekusukuma kupinga hadharani?

Wewe umeenda shule zitto, nani mdini kati ya aliyeteua tume na aliyesema ukweli juu ya hiyo tume?

Jibu hoja zitto, ukiwa kama raisi wetu mtarajiwa. hehehehe
 
Pongezi kwa kuona kibanzi kwenye jicho la mzee MTEI.

Lakini ukiwa kama kinara wa kupinga ubaguzi wa kidini na kikanda ndani ya nchi ya kusadikika Tanzania, nipe jibu la swali hili Ndugu.

J.u.ha a.k.a jussA, ametoa kauli ngapi za ubaguzi dhidi ya wakristo na ubaguzi zidi ya Watanganyika, kwnaini hujawahi hata siku moja kutamka hadharani kupiga kauli hizo? Ndugu yako lipumba kwanini hakupinga kauli hizo? muumini mwenzako jk mbona hakupinga kauli hizo? Leo kaongea Mtei,mkristu, nini kimekusukuma kupinga hadharani?

Wewe umeenda shule zitto, nani mdini kati ya aliyeteua tume na aliyesema ukweli juu ya hiyo tume?

Jibu hoja zitto, ukiwa kama raisi wetu mtarajiwa. hehehehe

wataihamisha sasa hivi.

we xubiri tu.
 
Yapata miaka mingi sana nilikuwa nafikiria kwa nini Tanzania tumekuwa masikini ingawa inajulikana kuwa ni nchi ya 3 duniani kwa kuwa na raslimali nyingi. Nikakumbuka jinsi sera zetu zinavyotekelezwa na serikali zetu hasa zote za Kiafrika. Utakuta rais wa nchi anakubali kuendesha nchi kisiasa badala ya kisayansi.

Matokeo yake rais wa namna hii anajikuta hanaheshima mbele ya wenzake. Ili nchi iheshimike lazima iwe na uwezo kisayansi siyo kama Tanzania tunaoongeza marupurupu kwa wabunge na maafisa wengine serikalini badala ya kuongeza uwekezaji katika vifaa vya kisayansi katika maabara za vyuo vyetu kama DIT, UDSM, MIST, Mandela, SUA, Muhimbili na vingine ili wataalam wetu waweze kufanya kazi za taafiti zenye tija.

Angalia KOREA KASN, leo wanarusha rockets angani kwa sababu wamewekeza katika wataalam wao na leo wanapambana na Marekani na nchi nyingine za Ulaya.

Tujifunze kwa Irani, Korea Kasn, China, Brazil, na S. Afrika jinsi Sayansi inavyowapa heshima.
 
Toa aya moja ya Kuran inayofundisha chuki!

kwenye haya umeenda mbali sana, tabia ya mtu hudhihiridhwa na matendo, kwanini wewe hujafundishwa kuwa kwa mujibu wa uislam wakristo ni makafiri, ni maadui wa haki nk. unajifanya hujui eee....
 
nimeangalia matokeo ya form 4 na form 6 shule binafsi na serikali. Kisha nimeangalia kati ya seminary za kiislamu na kikristo zipi zinafaulisha. Nikaja vyuo vikuu hapa nchini nimeona idadi ya waislamu ni ndogo sana ukilinganisha na wenzao wakristo.

Mkuu,
Kama kweli unawapenda Wakristo wenzako basi usiangalie jinsi ambavyo seminari za Kikristo zinavyofaulisha! Likewise, usiangalie idadi ya Wakristo waliopo vyuo vikuu.....angalia ni asilimia ngapi ya Wakristo wanaopata nafasi kwenye hizo shule za seminari na wale wanaopkosa! Angalia ni asilimia ngapi ya wakristo wanapata bahati ya kujiunga na university na wangapi wanaokosa!! Hapo tengeneza uwiano!! Hilo, likikushinda....basi usiende mbali, rudi tu kwenye familia yako (african extended familia). Angalia elimu za hawa wafuatao.....:
1. Babu na Bibi zako wa pande zote mbili,
2.Wazazi wako wote wawili
3. Ndugu zako (akina kaka+dada) wote kwa upande wa wazazi wako pamoja na watoto wo
4.Mama zako wakubwa, mama zako wadogo, wajiomba zako, shangazi zako pamoja na watoto wao wote!
5.Familia za watoto wa hapo juu ( 4 above)

Anzia hapo tu kisha tengeneza uwiano ya wasomi na akina sie na kisha ndipo uje hapa ukijitapa kwamba nyie kweli ni wasomi!!!
Binafsi, naumia....angalau ,mwenyewe nimejitahidi kufuta umande, lakini nyuma yangu kuna malaki kwa malaki ya Watanzania ambao ni waislamu na wakristo wasiojua kusoma wala kuandika!!
 
Majibishano haya yanazidi ku-prove kuwa umri wa kuwa rais uendelee kubaki miaka 40.

Hata ikiwa 40 utamchelewesha tu zitto ila atakuwa rais hata 2020, Zitto anatisha na ameonyesha ujasiri wa aina yake.Anapaswa kupongezwa sana kwa kumkosoa mzee wenu. tena LIVE BILA CHENGA.
 
kwenye haya umeenda mbali sana, tabia ya mtu hudhihiridhwa na matendo, kwanini wewe hujafundishwa kuwa kwa mujibu wa uislam wakristo ni makafiri, ni maadui wa haki nk. unajifanya hujui eee....

Sasa kama hayo unayajua , kinachokushinda kunukuu aya nini mkuu wangu?! Au umeyatoa kicjwani?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom