Mhoja
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 207
- 24
hii ni hatari. sheka asituletee habari za miaka ya sabini, na hata mgombea urais wa ccm alisema "tusimhukumu mtu kwa mambo ya zamani" ye sheka aamue kupiga kura kwa maoni yake na siyo kuwaletea watu hadithi za zamani. namshauri afikirie zaidi maendeleo kuliko majungu kwenye facebook.