Mtei alipotofautiana na Mwalimu Nyerere

Mtei alipotofautiana na Mwalimu Nyerere

..kuna kipindi JF ilikuwa na heshima sana.

..topic zilizokuwa zikianzishwa zilikuwa za maana, na zilizofanyiwa utafiti.

..wakati hali hiyo ikiendelea kuna jambo lilitokea kwa ghafla kama vile limepangwa.

..kuliibuka kundi la wachangiaji wengi waliokuwa wakitukana watu, na kuposti topic za hovyo hovyo.

..kwa bahati mbaya uongozi wa JF haukuchukua hatua kukabiliana na hali hiyo.

..matokeo ya kilichokuwa kikiendelea ni JF kupoteza ubora wa mijadala ktk jukwaa hili, na zaidi wachangiaji makini wakavunjika moyo na kuacha kushiriki mijadala.
 
Sababu ni nyingi sana!​
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom