MTEGO wa DR.ULIMBOKA uko tayari...

MTEGO wa DR.ULIMBOKA uko tayari...

Serikali imeshakamilisha mtego wa kumzima kabisa Dr.Ulimboka. Mtego huo umeratibiwa na Usalama wa Taifa na Polisi kupitia kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Eliezer Feleshi. Mtego huo ni upi? Ni hivi:kuna 'Jambazi' la kikenya lililofikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kumteka na kumtesa Dr.Ulimboka. Kesi iko Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Sasa,kuna taarifa kuwa Dr.Ulimboka anaendelea kupata nafuu na ameshaanza kufanya mazoezi mepesi. Ni habari ya kutia moyo. Lakini,Dr.Ulimboka atakaporudi nchini,atatamani akutane na Waandishi wa Habari na kuzungumzia sakata lake. Hilo hatafanikiwa kulifanya.Na akilifanya atashtakiwa kwa kuidharau Mahakama. Kivipi?

Serikali kupitia Jeshi la Polisi litamuwahi kwa kumwambia kuwa suala analotaka kulizungumzia liko Mahakamani. Dalili za kusimamia mtego huo zimeshaanza kuonekana Bungeni.Ni juzi tu Bajeti ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni ya Mambo ya Ndani ilizuiwa(baadhi ya kurasa zake) kwa kisingizio hichohicho. Swali litakalobaki ni je,mambo hayo ndio yataishia kwa 'Jambazi' la Kikenya?

hakuna mtego hapa ndugu yangu. Kwenye hii kesi, Uli ndiye atakuwa shahidi namba moja. Akiitwa mahakamani atakana kumjua huyu mkenya, na hapo hapo atawaanika waliomteka, na kuitaka mahakama iwalete mahakamani. Kwishney...

Labda wazuie vyombo vya habari kuripoti kesi...
 
Aliyeleta huu uzi atakuwa katoka usingizini hivyo hapa anaelezea ndoto zake alizoota kazi kweli kweli
 
hakuna haja ya kungoja kuja Tz. Azungumze huko huko na vyombo vya hapa kwetu vinukuu tu yale yaliyosemwa. Video clip iwekwe katika mtandao kazi ya kuisambaza itakuwa imekamilika.

Kwa kuwa jambazi linatokea Kenya na linashtakiwa Tz namshauri akaongee na waandishi wa habari wa TZ akiwa Kenya kama Mwananchi lilivyoenda kumhoji Joyce Banda akiwa Malawi na kumfanyia 'coverage' ya kutosha.
 
Jamani hivi kamanda Uli ni mwanachama/mshabiki wa chama gani?
Si mwanachama wa chama chochote, isipokuwa kipindi cha nyuma kila mtu alikuwa CCM, labda kama aliukana huo uanachana. Mi bado sijaukana ila sitaki tena kuwa mwanachama.
 
uli.JPG
 
Serikali imeshakamilisha mtego wa kumzima kabisa Dr.Ulimboka. Mtego huo umeratibiwa na Usalama wa Taifa na Polisi kupitia kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Eliezer Feleshi. Mtego huo ni upi? Ni hivi:kuna 'Jambazi' la kikenya lililofikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kumteka na kumtesa Dr.Ulimboka. Kesi iko Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Sasa,kuna taarifa kuwa Dr.Ulimboka anaendelea kupata nafuu na ameshaanza kufanya mazoezi mepesi. Ni habari ya kutia moyo. Lakini,Dr.Ulimboka atakaporudi nchini,atatamani akutane na Waandishi wa Habari na kuzungumzia sakata lake. Hilo hatafanikiwa kulifanya.Na akilifanya atashtakiwa kwa kuidharau Mahakama. Kivipi?

Serikali kupitia Jeshi la Polisi litamuwahi kwa kumwambia kuwa suala analotaka kulizungumzia liko Mahakamani. Dalili za kusimamia mtego huo zimeshaanza kuonekana Bungeni.Ni juzi tu Bajeti ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni ya Mambo ya Ndani ilizuiwa(baadhi ya kurasa zake) kwa kisingizio hichohicho. Swali litakalobaki ni je,mambo hayo ndio yataishia kwa 'Jambazi' la Kikenya?

Kwakuwa Ulimboka ni mgonjwa na tufanye hatujui alipopelekwa, basi yeye huko huko aliko atoe taarifa yote ya yaliyotokea.... naamini sheria za huko aliko hazimzuii kufanya hivyo aongee irekodiwe.. iandikwe kwenye mitandao yote na magazeti yatachapisha, hakuna haja ya kuita waandishi hapa Tanzania.
 
Dr Uli atazuiwa kama nani? yeye ni muhimili gani katika hii mihimili mitatu? Mbona kesi ya Kombe magazeti na watu walikua wanizungumzia na wakati ipo mahakamani?

Hata ile ya Zombe ya kuwaua wale innocent miners na dereva teksi ilizungumziwa sana hadi nakumbuka siku Zombe akiwa ndani ya karandinga aliropokea waandishi eti kwa nini mnaniandika sana na blaaa blaaaa nyingi. Acheni utani na roho na damu za watu. Zitawaumiza watoto na vizazi vyenu hadi kizazi cha nne. Hayo ni maandiko yanasema kuwa kila kibaya unachomtendea mwenzako siku moja kitakurudia, na kama hakitakurudia basi hesabu kizazi chako cha kwanza hadi cha nne ni lazima kitakubebea adhabu hiyo. Watch out my fellows out there!!! Tusishangae yanayowapata watoto wetu!!! Kuna kisa hiki kuwa kuna mwanaume mmoja alikuwa anazaa na wanawake na kuwaacha, ikatokea kuwa amezaa na binti wa watu akamwacha na akalaanika!!!! Hadi leo watoto wake hadi wajukuu wa kike wanazalia nyumbani hakuna aliyeolewa, na yule aliyeolewa (ni wawili) walikufa!!! Hadi leo kila mjukuu anazaa tena na waume za watu!!!!
 
Anaweza akaitupia story yote humu jamvini au aka malizia mchezo huko aliko wao wakaendelea na kesi yao ;hata akija anaweza akenda mahakamani kama shahidi akaeleza yote huko.........ndani kwa ndani ..........kwa hili TISS,GAMBA NA POLISI HAWATOKI
 
Hii serikali imesomea ujinga wapi...anaweza akaongelea huko huko akawaacha na kesi yao,anaweza aka toa uzi hata humu jamvini au akaja kumwaga radhi ndani ya mahakama kama shahidi................this time hawatoki
 
Aliyeleta huu uzi atakuwa katoka usingizini hivyo hapa anaelezea ndoto zake alizoota kazi kweli kweli

Mkuu, mbona hii picha iko peupe mno, ni nini unachoshindwa kuelewa ??
Unashindwa kuelewa kuwa "Mkenya feki yupo mahakamani" ??? au
Unashindwa kuelewa kuwa serikali ina mkono wake kwa Dr. Ulimboka ??
au Unashindwa kuelewa kuwa Dr. ulimboka kama mtu aliyetaka kuthuriwa atakuwa shahidi muhimu katika kesi hii ya kichina????

Swali la msingi; Serikali kupitia kwa Polisi na Tiss ndio watuhumiwa wa kwanza, Je ndo watakoahusika pia kumhoji Dr. Ulimboka????
 
Hii serikali imesomea ujinga wapi...anaweza akaongelea huko huko akawaacha na kesi yao,anaweza aka toa uzi hata humu jamvini au akaja kumwaga radhi ndani ya mahakama kama shahidi................this time hawatoki
 
Waandishi wa habari wamfuate huko huko ,kama wale waandishi wa Kimataifa wanaweza kuifanya kazi hiyo ,au hata madaktari wanaweza kumfanyia mazungumzo na kuhusisha masuali mazito kwake ,kama anawafahamu waliomteka ,kuwataja majina kiasi ya kuelezea kisa kizima kwa yale anayoyakumbuka na kuwa yenye usaili wa kideo sio audio.
Mkuu Mwiba NAKUUNGA MKONO MIA KWA MIA huyo Dr afutwe hukohuko kwani hakuna waandishi wa habari huko aliko?? Let the Drs organize a press conference wherever he might be and be joined by our local reporters and every thing bang!!!! out of the secrecy of the Dar Zonal Commander Kova and team!!!

We nani kakuambia Ulimboka ana mpango wa kurudi Tanzania kwa sasa kabla usalama wake haujahakikishwa?! Ulimboka ni mkimbizi kwa sasa mpaka hali iatakaporuhusu kurudi nchini...meaning 'mtandao' wa serikali hii utakapotoka madarakani!
Dr Uli anaweza kwenda Canada kama mkimbizi sababu alizonazo za kukimbia ni genuine kabisa ili wasije wakammalima!!! Kurudi kwake angojee 2015 lakini hiyo haizuii kutoa taarifa za wazi kwa vyombo vya habari ninani walioshiriki kutaka kumuuwa????

Usalama wa Taifa ni maajenti wa kupanga Dili zote za kuangamiza Wananchi wa Tanzania hasa wale wanaodai haki na kusema ukweli kuhusiana na Serikali Dhurumati inayoongoza Tanzania.

Hivyo kwa kuwa ni maajenti lazima kwa taarifa kuwa Ulimboka anaendelea vizuri wanakuna vichwa namna ya kummaliza kwa njia yoyote endapo atarudi salama ili asiweke mambo hadharani.

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
Hakuna kurudi TZ hadi CCM na maajenti wake wamengoka madarakani period!!!!

Usalama wa Nyinyiem ni sawa na sikio la kufa, halisikii dawa.
 
Sioni ajabu mbinu kama hizo maana usalama walipewa jina la intelligence kwa kuamini wanatumia akili. Lakini hawa wa kwetu hakuna kitu. Akili ndogo. wengi waliingia baada ya kufeli mitihani. Wanachofundishwa ni kubinya watu sehemu za siri, kulawiti, kung'oa meno hivyo, nk.

Hata hiyo mbinu wanayopanga sasa siyo ajabu. Ni hiyo filamu ya Kova ambayo Mbunge Sugu alimuomba arudi studio kujipanga upya.

Muhimu Ulimboka akisharudi mara moja afungue mashitaka maana ndo mtendewa kosa. Wao waendelee na mkenya wao maana hatujui aliyefungua faili polisi ni nani na sasa huko Mahakamani sijui ni nani anashitaki maana muhusika yuko hai, ni Ulimboka.
 
Kama kuna madaktari ambao ni wanachama humu jf na wana acess na Dr ulimboka naomba wamfikishie maneno haya.

1. Dr Ully anatakiwa kuwa shujua wa kubadili taswira ya haki kwa nchi yetu hususani vyombo vya usalama kwa kuieleza dunia kilicho mtokea.
Anatakiwa kuanika ubaya wote aliotendewa bila kuficha au kumuogopa mtu yoyote maana tayari walio mtendea ubaya huo hawakutaka aishi bali rehma za mwenyezi Mungu ndio zimemuokoa. Hapa anatakiwa kuwa na ile dhana ya "akuanzae mmalize bila kumbakisha"

2. Anatakiwa kuhakikisha ulimwengu unajua kuwa amani na utulivu ulioko Tanzania huwa una vitendo vya kukiuka haki za binadamu tena vinavyo fanywa na vyombo vya kulinda usalama wa raia.

3. Aitishe mkutano na vyombo vya kimataifa kuanika njama alizofanyiwa za kutekwa na kuteswa akiwa nje ya nchi kabla ya kutua hapa Tanzania kuepusha ile dhana ya kuingilia uhuru wa mahakama.

4. Akirudi aende kanisani kwake afanye ibada maalumu na akabidhi rasmi maisha yake kwa Mungu wake.

Tamati.
 
Serikali imeshakamilisha mtego wa kumzima kabisa Dr.Ulimboka. Mtego huo umeratibiwa na Usalama wa Taifa na Polisi kupitia kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Eliezer Feleshi. Mtego huo ni upi? Ni hivi:kuna 'Jambazi' la kikenya lililofikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kumteka na kumtesa Dr.Ulimboka. Kesi iko Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Sasa,kuna taarifa kuwa Dr.Ulimboka anaendelea kupata nafuu na ameshaanza kufanya mazoezi mepesi. Ni habari ya kutia moyo. Lakini,Dr.Ulimboka atakaporudi nchini,atatamani akutane na Waandishi wa Habari na kuzungumzia sakata lake. Hilo hatafanikiwa kulifanya.Na akilifanya atashtakiwa kwa kuidharau Mahakama. Kivipi?

Serikali kupitia Jeshi la Polisi litamuwahi kwa kumwambia kuwa suala analotaka kulizungumzia liko Mahakamani. Dalili za kusimamia mtego huo zimeshaanza kuonekana Bungeni.Ni juzi tu Bajeti ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni ya Mambo ya Ndani ilizuiwa(baadhi ya kurasa zake) kwa kisingizio hichohicho. Swali litakalobaki ni je,mambo hayo ndio yataishia kwa 'Jambazi' la Kikenya?

Yeye amwage hapa jamvini tu.
 
Back
Top Bottom