Mtego huu balaa, ingekuwa wewe binti ungeuchomoa

Naongelea papuchi tu,kumbe tuna uchumi wa maana afu tumeukalia tu!!!

Inategemea na quality yako. Ujue kuna wadada wanalipwa $ 2,500- na zaidi per month, sasa huyu utamuonga shiling ngapi.
Wadada wengi wenu Mnalipwa madafu laki tatu mpaka laki nane kwa hiyo quality zenu ni ndogo, mkipewa laki mbili hata condom amuulizi.
 
kama angekuwa hutaki, ulienda kumuuliza rafk ya nin? Kwake ulifata nin tena usiku? Bei uliweka ya nin? Hahahaha...nahs kitu hapa
 
Hatari.

Kuna jamaa mmoja alisema kuwa yeye ni
Bosa sasa sekretari lazima ampitie
nadhani akija kusomA huu uzi atapata
cha kujifunza.
 
Salam kwa wana jamvi wote!

Napenda kutoa funzo moja hapa! Ila sio msimulizi mzuri sana lakini naamini nitaeleweka tuuu....
Mimi na rafiki yangu ambaye tumekuwa marafiki baada ya kuajiriwa siku moja hapa jijini!

Kwa kweli, bila hata kumaliza mwenzi mmoja the big boss akaanza kutupa mawe kwa rafiki yangu huyu ila hakuniambia kama boss anataka kungonoka! Ila binti akamtolea nje!!

Alipo ona yamashindikana kule si ndoo akaamua ahamie kwangu kujaribu bahati yake, mimi nisivyo na siri nikaona nimshirikishe huyu rafiki yangu si ndo akafunguka nami nikajua kuwa boss ana mchezo mchafu!!

Nikamwambia hakuna dinner atakayo nialika nikaenda ila mwenzangu vi dinner alikuwa havikosi!
Ila anavyo sema rafiki yangu hajawahi ku do naye!!!!!

Sasa wiki hii, boss kanivulia uvivu macho kodo kwangu kila wakati, mara ohooo leo umependeza sana ohoo you luk scorching gorgeous hajui mwenzie najua kuwa tabia yake ni hafu!

Sasa jana si akanipigia simu after work twende kwa coffe enening coloessum, kwa kuwa ilikuwa mapema nikasema kwa nini niwahi home hivi!

After those thoughts na maamuzi ya kwenda binti nikamwambia poa not a big deal, nikamtonya shosti yangu akaniambia usiogope nothing he shall do to you! Hao mpaka coloessum

After coffee akasema twende ukaone mahali ninapoishi nkamwambia poa............

Kufika hapo, akaanza can we spend a night together tomorrow?
Nikamwambia what will be the reward? huwezi nikunja usiku mzima for nothing atiiiii, cause i know hakuna love!!
Boss aka offer 500,000/ nikamwambia labda millioni tano!!!!!
Kapanda mpaka 3.5 mil nikasema 5 mil cash final + HIV test!
Akasema hapana that is too much! nIkamwambia then call it a day and take me home!!!!!!

Sasa this morning at work he texted me, the offer is granted come and pick your cash!!!!!!
Nimeenda kwa ofisi nikamwambia my mind has changed keep your dirty money with you!!!!!

He looked at me with a surprise usoni, I told him i thought few days after the incident will i be able to work again and a thought mapenzi ofisini ni upuuzi mtupu!!!!!

He said good thoughts, u re too emotional!

He ended we shall be always frends & anything you nid just tell me will be glad to help!!!

Nice day MMU crew!

5ml? You must be super hot and sexy lady.....Or else, your boss is just a moron who is full of lust and would pay anything to satisfy his sexual desires!
 
Five milion?!!for a one night stand?...ooh no way...is that pu*sy made of gold or what?..
 
Kwa mtoro hayo maneno tu weye...
haiwezekan kawaha ya buku 2 ikutoe udenda afu usichukue m5 hakunaga hiyo.
mi mwenyewe wa kike najua situation za hv mtu lazma uishie kugegedwa
 
makeup story...hakuna mwanaume employee anayeweza kutaka kuhonga 3.5Mil kwa kuzini tu. tena for a night. 3.5ml is an investment to a future wife to be not an office hooker

Kaka umeambiwa the boss is a foreigner. Na foreigners wengi wanalipwa mishahara kwa standards za kwao..Say mtu anaishi Bongo, kila kitu kimelipiwa na kampuni, kuanzia gari, nyumba, simu na wengine mpaka ada za watoto shule. Mshahara wake si chini ya USD 25,000 kwa mwezi....Atashindwa kulipa TZS 5m kwa demu anayemtaka?
 
kaka si foreigner wa siku hizi, foreigner wa siku hizi hawako hivyo,. kwa 'quickie' - one night stand!! hawezi kutoa USD 2000+ tena kwa office hooker????
 
Salam kwa wana jamvi wote!

Napenda kutoa funzo moja hapa! Ila sio msimulizi mzuri sana lakini naamini nitaeleweka tuuu....
Mimi na rafiki yangu ambaye tumekuwa marafiki baada ya kuajiriwa siku moja hapa jijini!

Kwa kweli, bila hata kumaliza mwenzi mmoja the big boss akaanza kutupa mawe kwa rafiki yangu huyu ila hakuniambia kama boss anataka kungonoka! Ila binti akamtolea nje!!

Alipo ona yamashindikana kule si ndoo akaamua ahamie kwangu kujaribu bahati yake, mimi nisivyo na siri nikaona nimshirikishe huyu rafiki yangu si ndo akafunguka nami nikajua kuwa boss ana mchezo mchafu!!

Nikamwambia hakuna dinner atakayo nialika nikaenda ila mwenzangu vi dinner alikuwa havikosi!
Ila anavyo sema rafiki yangu hajawahi ku do naye!!!!!

Sasa wiki hii, boss kanivulia uvivu macho kodo kwangu kila wakati, mara ohooo leo umependeza sana ohoo you luk scorching gorgeous hajui mwenzie najua kuwa tabia yake ni hafu!

Sasa jana si akanipigia simu after work twende kwa coffe enening coloessum, kwa kuwa ilikuwa mapema nikasema kwa nini niwahi home hivi!

After those thoughts na maamuzi ya kwenda binti nikamwambia poa not a big deal, nikamtonya shosti yangu akaniambia usiogope nothing he shall do to you! Hao mpaka coloessum

After coffee akasema twende ukaone mahali ninapoishi nkamwambia poa............

Kufika hapo, akaanza can we spend a night together tomorrow?
Nikamwambia what will be the reward? huwezi nikunja usiku mzima for nothing atiiiii, cause i know hakuna love!!
Boss aka offer 500,000/ nikamwambia labda millioni tano!!!!!
Kapanda mpaka 3.5 mil nikasema 5 mil cash final + HIV test!
Akasema hapana that is too much! nIkamwambia then call it a day and take me home!!!!!!

Sasa this morning at work he texted me, the offer is granted come and pick your cash!!!!!!
Nimeenda kwa ofisi nikamwambia my mind has changed keep your dirty money with you!!!!!

He looked at me with a surprise usoni, I told him i thought few days after the incident will i be able to work again and a thought mapenzi ofisini ni upuuzi mtupu!!!!!

He said good thoughts, u re too emotional!

He ended we shall be always frends & anything you nid just tell me will be glad to help!!!

Nice day MMU crew!
yaani kitendo cha wewe kuvuka kizingiti cha mlango...ningejisemea tu bismilahh...
kiukweli ungetenga tu............................................
 
Maboss mengine bhana ndio maana madingi yetu yalikuwa yanakataa mama zetu wasisome sana wala kuajiliwa.
 
Hujui income yake!!
mimi si shangai yeye kukubali!

Tena wanted 10mil kulalama na kusema namkomoa nikaropoka 5mil tzs mwisho!

Kama wewe huwezi pole, wenzio wanatoa mpaka majumba na magari!!!!!!!

Mantiki ya hiyo sentensi kwenye RED ni kinyume 100% cha maudhui ya maada iliyoletwa.
 
Ungevuta mkwanja halafu umrekodi halafu condoms kibao. Kuanzia hapo hau 'do' nae tena, we unamwambia tu nina video hapa nataka milioni 5 nyingine, halafu unamforwadia kipande kidogo. Hehehe ila angalia anaweza kukuaa.

NATANIA BIG TIMES. Ulichofanya ni sahihi kabisa. Usichana wako na utu wako haununuliwi kwa pesa. I'm so proud of you cataliya

Thank you, Tigga Mumba!
Tatizo watu hawaamini na hii kitu imetokea jana na lea asubuhi!!!
Siwezi tunga kitu kama hii!!!!!!!!!!
 
Sijui kwa nin inakataa kuniingia hii story......!

Back
Top Bottom