Mtego huu balaa, ingekuwa wewe binti ungeuchomoa

Mtego huu balaa, ingekuwa wewe binti ungeuchomoa

JF bwana! kumbe hata stori za sungura na fisi zinalipa humu eeeee! Ngoja nikafungue daftari langu la Mama na mwana niwachagulie ya wekend!
 
Salam kwa wana jamvi wote!

Napenda kutoa funzo moja hapa! Ila sio msimulizi mzuri sana lakini naamini nitaeleweka tuuu....
Mimi na rafiki yangu ambaye tumekuwa marafiki baada ya kuajiriwa siku moja hapa jijini!

Kwa kweli, bila hata kumaliza mwenzi mmoja the big boss akaanza kutupa mawe kwa rafiki yangu huyu ila hakuniambia kama boss anataka kungonoka! Ila binti akamtolea nje!!

Alipo ona yamashindikana kule si ndoo akaamua ahamie kwangu kujaribu bahati yake, mimi nisivyo na siri nikaona nimshirikishe huyu rafiki yangu si ndo akafunguka nami nikajua kuwa boss ana mchezo mchafu!!

Nikamwambia hakuna dinner atakayo nialika nikaenda ila mwenzangu vi dinner alikuwa havikosi!
Ila anavyo sema rafiki yangu hajawahi ku do naye!!!!!

Sasa wiki hii, boss kanivulia uvivu macho kodo kwangu kila wakati, mara ohooo leo umependeza sana ohoo you luk scorching gorgeous hajui mwenzie najua kuwa tabia yake ni hafu!

Sasa jana si akanipigia simu after work twende kwa coffe enening coloessum, kwa kuwa ilikuwa mapema nikasema kwa nini niwahi home hivi!

After those thoughts na maamuzi ya kwenda binti nikamwambia poa not a big deal, nikamtonya shosti yangu akaniambia usiogope nothing he shall do to you! Hao mpaka coloessum

After coffee akasema twende ukaone mahali ninapoishi nkamwambia poa............

Kufika hapo, akaanza can we spend a night together tomorrow?
Nikamwambia what will be the reward? huwezi nikunja usiku mzima for nothing atiiiii, cause i know hakuna love!!
Boss aka offer 500,000/ nikamwambia labda millioni tano!!!!!
Kapanda mpaka 3.5 mil nikasema 5 mil cash final + HIV test!
Akasema hapana that is too much! nIkamwambia then call it a day and take me home!!!!!!

Sasa this morning at work he texted me, the offer is granted come and pick your cash!!!!!!
Nimeenda kwa ofisi nikamwambia my mind has changed keep your dirty money with you!!!!!

He looked at me with a surprise usoni, I told him i thought few days after the incident will i be able to work again and a thought mapenzi ofisini ni upuuzi mtupu!!!!!

He said good thoughts, u re too emotional!

He ended we shall be always frends & anything you nid just tell me will be glad to help!!!

Nice day MMU crew!

Aisee...umekataa 5M....... wewe kweli chuma.........alafu ulipotoka hapo ulimwomba akakushushe nyumbani....huta hata VITZ...hapo ndio kidogo nakua mgumu kukubali....wadada wa mji huu mnavyopenda magari uache 5m kweli....... hapo ukiongeza 1m unatembea umekaa..... haya bwana...... uendelee kubarikiwa na ugumu huohuo.
 
Papuchi zinapanda bei kila siku mweh!
boss kafika had 5mil???
Mapato ayafanani Evelyn. Kuna watu kwa siku wanatengeneza profit zaidi ya milioni mia tano.
Sasa what is milioni tano bhana.
 
Umeniangusha rafiki yangu....siku zote huwa naamini wewe ni binti mwerevu.

Wala usiichukulie vibaya!!!!
Wanted experience kidogo!!

Thought we were joking!!!!!!!
 
Whos the looser?.is ur boss seek fonication related to ur job....or ur beau attracted him ?,what induced?. Ur à looser....
 
Maybe mleta maada na boss wake walikuwa kwenye frequency tofauti; boss anatoa offer ya dola za Mugabe wakati mleta maada anadhani ni Shilingi ya Bongo!

Hujui income yake!!
mimi si shangai yeye kukubali!

Tena wanted 10mil kulalama na kusema namkomoa nikaropoka 5mil tzs mwisho!

Kama wewe huwezi pole, wenzio wanatoa mpaka majumba na magari!!!!!!!
 
Next time usije kuthubutu kufanya hivyo tena...ungeweza hata kubakwa na kesi isingelikuwepo...haukuwa uamuzi wa hekima.

Hata wewe watu8!
It is true sema siwezi taja kampuni utamjua alaf nifukuzwe kazi!!!!

That is the truth and he is a foreigner!!!!!!!!
 
Mapato ayafanani Evelyn. Kuna watu kwa siku wanatengeneza profit zaidi ya milioni mia tano.
Sasa what is milioni tano bhana.

Asante kwamtoro!!!

He earns more than 50,000 usd a day!!!!!
owner of the company!!!!!!!
 
Next time usije kuthubutu kufanya hivyo tena...ungeweza hata kubakwa na kesi isingelikuwepo...haukuwa uamuzi wa hekima.

He told me kwa house alikuwa na mdada, a galfrend of his partner in business!
Ndo maana nikapata ujasiri wa kwenda!
Warned watu8, mistake will not be repeated
 
Tena hawa ma boss ndio kazi yao kuna moja alikuwa kila siku ananipa vijihela nikimuliza vyanini anasema posho sikumoja akataka mpango nikamwambia sawa lakini mimi na hiv akawa ananiogopa kweli ningekubali najua siku yapili tu ningekuwa sina kazi coz ukitembea na boss lazima akufukuze coz atakuwa anataka kutembea na mwengine wewe utakuwa kauzibe tafakari
 
Simba mla nyama huwa hataniwi...kitu pekee mtu afanyacho ni kukimbia.

Siku zote kukataa huwa hakuna formula..hakuna kujibaraguza...kama nia yako ni HAPANA basi matendo yaoneshe HAPANA.pia...

Hii ni mara ya pili unafanya kosa lile lile...I do still remember ile incidence ya Bwagamoyo...kuwa muangalifu best yangu!

Wala usiichukulie vibaya!!!!
Wanted experience kidogo!!

Thought we were joking!!!!!!!
 
JF bwana! kumbe hata stori za sungura na fisi zinalipa humu eeeee! Ngoja nikafungue daftari langu la Mama na mwana niwachagulie ya wekend!

Poleeee Happiness win, hujapata experience hiyooooo
Hapa ni jijini na kuna mchanganyiko wa watu tofauti kote duniani!
 
Huna lolote uongo tu...niPM unipe namba yake nimwambie wife wangu akalale huko watu tukunje mavumba...mie ntalala na JD na housegal wangu sina shobo...
 
Simba mla nyama huwa hataniwi...kitu pekee mtu afanyacho ni kukimbia.

Siku zote kukataa huwa hakuna formula..hakuna kujibaraguza...kama nia yako ni HAPANA basi matendo yaoneshe HAPANA.pia...

Hii ni mara ya pili unafanya kosa lile lile...I do still remember ile incidence ya Bwagamoyo...kuwa muangalifu best yangu!

Ile ya bagamoyo, alikuja mwenyewe na kila mtu akaondoka kivyake!!!!
Was with my galfrends kupush wikend iende poa
 
Tena hawa ma boss ndio kazi yao kuna moja alikuwa kila siku ananipa vijihela nikimuliza vyanini anasema posho sikumoja akataka mpango nikamwambia sawa lakini mimi na hiv akawa ananiogopa kweli ningekubali najua siku yapili tu ningekuwa sina kazi coz ukitembea na boss lazima akufukuze coz atakuwa anataka kutembea na mwengine wewe utakuwa kauzibe tafakari

good trick japo yataka uwe na kumbukumbu ya kutosha unapodanganya looh
 
ulikuwa tayari wewe sema tu akili ilijichanga baada ya kurudi,na ninaamini hata hizo 3.5ml uliondoka huku ukiziwaza mara mbili mbili.
what if jamaa ungesema 5ml alafu pale pale akakuhesabia si angejipakulia tena kwa kuchagua ama aende beijing ama aende tokyo.
AFU ungeanza kumwambia"sema chochote unachotaka mpenzi"
Akisema beijing twende kazi,akisema tokyo twende kazi na hapo no HIV test.
DON'T EVER TRY IT.
"watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
 
Back
Top Bottom