Mtego huu balaa, ingekuwa wewe binti ungeuchomoa

Wangapi wanakuduu hawakupendi na hawakupi hata mie si bora huyo.
 
Ni Stori ya "Theory" nzuri..Lakini katika "Practical" ukichukulia umasikini, na jinsi mabint zetu walivyolelewa kwa sasa ni bint 1 kati ya 100 ambao wangeweza kukataa Million 5 lakini mabint 85 kati ya 100 wangekubali laki 3 au simu ya Samsung Galaxy S4..
 
Salam kwa wana jamvi wote!

Napenda kutoa funzo moja hapa! Ila sio msimulizi mzuri sana lakini naamini nitaeleweka tuuu....
Mimi na rafiki yangu ambaye tumekuwa marafiki baada ya kuajiriwa siku moja hapa jijini!

Kwa kweli, bila hata kumaliza mwenzi mmoja the big boss akaanza kutupa mawe kwa rafiki yangu huyu ila hakuniambia kama boss anataka kungonoka! Ila binti akamtolea nje!!

Alipo ona yamashindikana kule si ndoo akaamua ahamie kwangu kujaribu bahati yake, mimi nisivyo na siri nikaona nimshirikishe huyu rafiki yangu si ndo akafunguka nami nikajua kuwa boss ana mchezo mchafu!!

Nikamwambia hakuna dinner atakayo nialika nikaenda ila mwenzangu vi dinner alikuwa havikosi!
Ila anavyo sema rafiki yangu hajawahi ku do naye!!!!!

Sasa wiki hii, boss kanivulia uvivu macho kodo kwangu kila wakati, mara ohooo leo umependeza sana ohoo you luk scorching gorgeous hajui mwenzie najua kuwa tabia yake ni hafu!

Sasa jana si akanipigia simu after work twende kwa coffe enening coloessum, kwa kuwa ilikuwa mapema nikasema kwa nini niwahi home hivi!

After those thoughts na maamuzi ya kwenda binti nikamwambia poa not a big deal, nikamtonya shosti yangu akaniambia usiogope nothing he shall do to you! Hao mpaka coloessum

After coffee akasema twende ukaone mahali ninapoishi nkamwambia poa............

Kufika hapo, akaanza can we spend a night together tomorrow?
Nikamwambia what will be the reward? huwezi nikunja usiku mzima for nothing atiiiii, cause i know hakuna love!!
Boss aka offer 500,000/ nikamwambia labda millioni tano!!!!!
Kapanda mpaka 3.5 mil nikasema 5 mil cash final + HIV test!
Akasema hapana that is too much! nIkamwambia then call it a day and take me home!!!!!!

Sasa this morning at work he texted me, the offer is granted come and pick your cash!!!!!!
Nimeenda kwa ofisi nikamwambia my mind has changed keep your dirty money with you!!!!!

He looked at me with a surprise usoni, I told him i thought few days after the incident will i be able to work again and a thought mapenzi ofisini ni upuuzi mtupu!!!!!

He said good thoughts, u re too emotional!

He ended we shall be always frends & anything you nid just tell me will be glad to help!!!

Nice day MMU crew!

Mh cataliya! Ina maana boss alikuwa anakujaribu tu au alikuwa amemaanisha? Suppose ungemvulia the day aliyoitaji angekataa kwakuwa amekujaribu? Ila hilo dau la 5m kama ni Madame B sidhani kama angeacha.
 
Last edited by a moderator:
Where is Erick Shigongo here now so that he can help develop this story to a book
 
Very naive young girl
nahisi uko in love na boss wako
ulichotaka ni bigger offer...
labda unataka a relationship....

Anyway hongera kwa kukataa kama kweli ulikataa
 
hapo ndio sina uhakika
 
Hujui income yake!!
mimi si shangai yeye kukubali!

Tena wanted 10mil kulalama na kusema namkomoa nikaropoka 5mil tzs mwisho!

Kama wewe huwezi pole, wenzio wanatoa mpaka majumba na magari!!!!!!!
What da hell u are saying lady Cataliya, what extra did u have for him to offer u 5 or 10 m for such ----ing sheet, this is a whole sheet and ----ing asshole story
 
Salam kwa wana jamvi wote!

Napenda kutoa funzo moja hapa! Ila sio msimulizi mzuri sana lakini naamini nitaeleweka tuuu....
Mimi na rafiki yangu ambaye tumekuwa marafiki baada ya kuajiriwa siku moja hapa jijini!

Kwa kweli, bila hata kumaliza mwenzi mmoja the big boss akaanza kutupa mawe kwa rafiki yangu huyu ila hakuniambia kama boss anataka kungonoka! Ila binti akamtolea nje!!

Alipo ona yamashindikana kule si ndoo akaamua ahamie kwangu kujaribu bahati yake, mimi nisivyo na siri nikaona nimshirikishe huyu rafiki yangu si ndo akafunguka nami nikajua kuwa boss ana mchezo mchafu!!

Nikamwambia hakuna dinner atakayo nialika nikaenda ila mwenzangu vi dinner alikuwa havikosi!
Ila anavyo sema rafiki yangu hajawahi ku do naye!!!!!

Sasa wiki hii, boss kanivulia uvivu macho kodo kwangu kila wakati, mara ohooo leo umependeza sana ohoo you luk scorching gorgeous hajui mwenzie najua kuwa tabia yake ni hafu!

Sasa jana si akanipigia simu after work twende kwa coffe enening coloessum, kwa kuwa ilikuwa mapema nikasema kwa nini niwahi home hivi!

After those thoughts na maamuzi ya kwenda binti nikamwambia poa not a big deal, nikamtonya shosti yangu akaniambia usiogope nothing he shall do to you! Hao mpaka coloessum

After coffee akasema twende ukaone mahali ninapoishi nkamwambia poa............

Kufika hapo, akaanza can we spend a night together tomorrow?
Nikamwambia what will be the reward? huwezi nikunja usiku mzima for nothing atiiiii, cause i know hakuna love!!
Boss aka offer 500,000/ nikamwambia labda millioni tano!!!!!
Kapanda mpaka 3.5 mil nikasema 5 mil cash final + HIV test!
Akasema hapana that is too much! nIkamwambia then call it a day and take me home!!!!!!

Sasa this morning at work he texted me, the offer is granted come and pick your cash!!!!!!
Nimeenda kwa ofisi nikamwambia my mind has changed keep your dirty money with you!!!!!

He looked at me with a surprise usoni, I told him i thought few days after the incident will i be able to work again and a thought mapenzi ofisini ni upuuzi mtupu!!!!!

He said good thoughts, u re too emotional!

He ended we shall be always frends & anything you nid just tell me will be glad to help!!!

Nice day MMU crew!
duh!!nyuchiii za garamaaaa....maraster kushney tutafanyiwa wake zetu mweeeeeeeeeeeeee
 
nimeipenda congrats kwa msimamo
 
Back
Top Bottom