Mtego huu balaa, ingekuwa wewe binti ungeuchomoa

Mtego huu balaa, ingekuwa wewe binti ungeuchomoa

usituzingue hata wewe wakukataa M 3.5 na utamu juu??na vyeo kibao job?per DM

Kuna procedures kwa office!!!
Lengo ni kuondoa conflict of interest kama hizi!!!

Ni protocol and beaucracy kwa hii private company!!!!
 
umeenda mpaka nyumbani kwake


Halafu hajakuhonga?

Huyo bosi wako ni rijali kweli?

Mmmmmh
 
Ungevuta mkwanja halafu umrekodi halafu condoms kibao. Kuanzia hapo hau 'do' nae tena, we unamwambia tu nina video hapa nataka milioni 5 nyingine, halafu unamforwadia kipande kidogo. Hehehe ila angalia anaweza kukuaa.

NATANIA BIG TIMES. Ulichofanya ni sahihi kabisa. Usichana wako na utu wako haununuliwi kwa pesa. I'm so proud of you cataliya
 
Last edited by a moderator:
kama mwisho wa hii story umechakachuliwa coz hata wale waoishia kuduu huwa hawasemi.......................
 
Papuchi zinapanda bei kila siku mweh!
boss kafika had 5mil???

Siyo bure huyo bosi ni mgonjwa! Kwa mtindo huu hii kitu inatakiwa iingie kwenye soko la hisa (DSA). Watakaonunua hizo hisa hawatajutia kwa sababu biashara yenyewe ni stable unless makampuni makubwa kama breweries yalete fitna za kibiashara!
 
Salam kwa wana jamvi wote!

Napenda kutoa funzo moja hapa! Ila sio msimulizi mzuri sana lakini naamini nitaeleweka tuuu....
Mimi na rafiki yangu ambaye tumekuwa marafiki baada ya kuajiriwa siku moja hapa jijini!

Kwa kweli, bila hata kumaliza mwenzi mmoja the big boss akaanza kutupa mawe kwa rafiki yangu huyu ila hakuniambia kama boss anataka kungonoka! Ila binti akamtolea nje!!

Alipo ona yamashindikana kule si ndoo akaamua ahamie kwangu kujaribu bahati yake, mimi nisivyo na siri nikaona nimshirikishe huyu rafiki yangu si ndo akafunguka nami nikajua kuwa boss ana mchezo mchafu!!

Nikamwambia hakuna dinner atakayo nialika nikaenda ila mwenzangu vi dinner alikuwa havikosi!
Ila anavyo sema rafiki yangu hajawahi ku do naye!!!!!

Sasa wiki hii, boss kanivulia uvivu macho kodo kwangu kila wakati, mara ohooo leo umependeza sana ohoo you luk scorching gorgeous hajui mwenzie najua kuwa tabia yake ni hafu!

Sasa jana si akanipigia simu after work twende kwa coffe enening coloessum, kwa kuwa ilikuwa mapema nikasema kwa nini niwahi home hivi!

After those thoughts na maamuzi ya kwenda binti nikamwambia poa not a big deal, nikamtonya shosti yangu akaniambia usiogope nothing he shall do to you! Hao mpaka coloessum

After coffee akasema twende ukaone mahali ninapoishi nkamwambia poa............

Kufika hapo, akaanza can we spend a night together tomorrow?
Nikamwambia what will be the reward? huwezi nikunja usiku mzima for nothing atiiiii, cause i know hakuna love!!
Boss aka offer 500,000/ nikamwambia labda millioni tano!!!!!
Kapanda mpaka 3.5 mil nikasema 5 mil cash final + HIV test!
Akasema hapana that is too much! nIkamwambia then call it a day and take me home!!!!!!

Sasa this morning at work he texted me, the offer is granted come and pick your cash!!!!!!
Nimeenda kwa ofisi nikamwambia my mind has changed keep your dirty money with you!!!!!

He looked at me with a surprise usoni, I told him i thought few days after the incident will i be able to work again and a thought mapenzi ofisini ni upuuzi mtupu!!!!!

He said good thoughts, u re too emotional!

He ended we shall be always frends & anything you nid just tell me will be glad to help!!!

Nice day MMU crew!


kabila lako please? hupati mtu hapa jamii... punguza digit moja basi? 50,000 and you wanted laki 5? wanawake bwana? basi tu ndo Mama zetu...
 
Papuchi zinapanda bei kila siku mweh!
boss kafika had 5mil???

story ya kutunga hii.............

ila kuna ya ukweli moja Mh. mmoja aliwahi kumuandikia check ya Millioni 70 Marehemu Amina chifupa hapo hapo kisa alikuwa anatolewa nje muda mrefu na marehemu...............

ukiwa na hela wakati mwingine ni rahisi to make a woman wet.
 
Catalya my dear usifanye kosa hilo hata siku moja i.e. kwenda kwa mwanaume anayekutaka ki-mapenzi, utakuja kubakwa bure na huo mpunga usiuone. No means no. Wanaume sisi hatusikii maneno tunaangalia vitendo. Ukimkatalia mwanaume lakini bado unapanda gari yake, unaenda nae Colosseum for coffee, worse yet unaenda nae mpaka kwenye mjengo wake! Jamaa ataona you are just playing hard to get. And don't ever think eti utamkomoa au kumpa fundisho mwanaume kwenye suala la papuchi, hakuna kitu kama hicho. If anything you embolden his determination. Kuna siku utahitaji hiyo 5m utamfuata mwenyewe na atakukamua. Wanaume hatuachi, tunaweka viporo tu. Mtarimbo unasimama any time any where - mambo ya in case of emergency break open glass. Ha ha ha. Take care.
 
Lengo ni kumkatisha tamaa na topic ya mapenzi ife!!!
He took it serious

Okay sasa, na kutoka out kwa ajili ya coffee lengo ilikuwa ni nini?
u cnt be serious bana yan utoke out kwa ajili ya dinna ambayo haizidi laki af ukakatae m5 chumbani?mi hainiingii
 
Hapo ndipo wasichana hukoseaaa! Eti twende ukapaone kwangu nawewe unajipeleka loh unajiamini nini? Cdhani kama huyo ni mwanaume wa kibongo ama mstaarabu tu la sivyo angekukula mzimamzima hata story yako usingetuletea hapa! Next time DO NOT REPEAT IT!
 
bado cjaitolea papuchi mil.5 lol!!! ........... ni ya Adroid? adi niitolee mil.5

Kwi kwi kwi Fashist kuna watu wana mpunga wa kuchezea sana. Hivi all these beautiful easy women, mwanaume utoe 5mil for a simple nut! a simple ***! Dumb niggaz pay for puntang. I'd rather buy her expensive gifts and all but never dish out 5G's for punani. Heck no.
 
Back
Top Bottom