Mtego huu balaa, ingekuwa wewe binti ungeuchomoa

Mtego huu balaa, ingekuwa wewe binti ungeuchomoa

We sema tu ushampa jamaaa kakamua ucku kucha saivi unajishaua tu ili kujisafisha kwa rafiki yako ulompoka mwanaume!!!!kastori kazuri sana, andika riwaya sasa!!
 
sioni funzo lolote mabinti wa sasa macho juu eti kaenda kwa boss kuona huku akijua nia yake mbaya muongo uzinzi tunaukimbia hatubagain mpaka 5m sema unafurahia hela hiyo ambayo hukuitegemea isitoshe ndo unaanza kazi pole sana a nagging ledy.hujaleta fundisho lolote hapa zambi ya uzinzi tunakimbia refer hata story za dini Daudi na mke wa mtu, samsoni na delila alafu wewe unasema story za kusadikika hapa
 
Dah dunia ina mambo mbona mie hua nagonga kila wakati mademu wakali bure.Hata senti hua hawaambulii.
 
kaka si foreigner wa siku hizi, foreigner wa siku hizi hawako hivyo,. kwa 'quickie' - one night stand!! hawezi kutoa USD 2000+ tena kwa office hooker????


Stop callings names kwa vitu usivyovijua!!!
Mapenzi hayalazimishwi bwana!!!!
Wengine got respect to women, cause wanawaona kama their mothers!
Alaf ina depend on how you were raised by your mother!

Nimevumilia nisikujibu lakini nimeona unanikera na calling me names without knowing me well!!
 
Mkuu ni kweli. Huyu na yule mwenzake lara 1 akili zao zinafanana.
Hivi wewe baba unanitafuta kitu gani haswaaaaaaaaaa? We endelea kunichokoza kama wewe mafinyo finyo mimi nitakufanyua finyua!!!!!!!!!
 
Stop callings names kwa vitu usivyovijua!!!
Mapenzi hayalazimishwi bwana!!!!
Wengine got respect to women, cause wanawaona kama their mothers!
Alaf ina depend on how you were raised by your mother!

Nimevumilia nisikujibu lakini nimeona unanikera na calling me names without knowing me well!!

i continue dreaming you are worthy kuhongwa 5ml for one night quickie hooker!!
 
Mantiki ya hiyo sentensi kwenye RED ni kinyume 100% cha maudhui ya maada iliyoletwa.

Nimemjibu mtu wala sikuangalia maudhui ya topic husika!!
It is an answer to the question asked!
 
Inavyoonesha uko price tagged kweli boss hajatingisha nyavu hizo???? me sielewi???!!!!
 
Lengo ilikuwa aione kubwa na apotezee kumbe alimaanisha!!!!!!!

Mbali sana kumwamini mwanaume aliyeonyesha kukutaka na mwenye tabia chafu kama ulivyomwelezea
Walibakwa na wanaowafaham kwa sababu ya lift,wewe kwenda anapoishi unashangaza sana

graduate wa juzi na akili yenyewe ndio hii!

umeshaishi nusu ya maisha yako kulingana na life span ya Tz,hekima haijaanza kukunyemelea

na wewe karibuni unategemewa kuwa mzazi,mlezi wa familia na mshauri wa jamii!,grow up kid sis
unavyoigiza kutopenda pesa ya wanaume humo humo unaji contradict,ulisoma seminary gani?ulifungiwa sana

kweli Sinza ya wajanja zamani
 
Dah dunia ina mambo mbona mie hua nagonga kila wakati mademu wakali bure.Hata senti hua hawaambulii.

huo si uanaume wa kujisifia !.......mwanaume kuhonga bwana !
ukikosa kabisa, basi maneno matamu na mashairi ya kumsifia uzuri wake.
 
Mil 5 ? ina video coach ndani?!
Ukiona demu anapanda dau kiasi hicho au anazungusha kutoa gemu ujue hapo kuna bonge la harufu ya panya aliyefiamo.
Anajua huwezi rudi ivo anafidia hasara ya kukosa ofa zingine baada ya kumtangaza, pia wewe mwenyewe kutokurudia kuulizia biashara.
 
Okay baba, am waiting for you advice!

Take care na watu 8, i used to visit my frnd she z jf member, na aliwah kuleta hot topic humu...u knw wat? Akanitoa macho kunambia aliwah meet na huyu jamaa! Xo i ddnt know the pupose ov thr meetng.
 
Back
Top Bottom