Unamuabudu kristo!?.. shetani hawezi kumfuata na kumpoteza mtu anayemuabudu binaadam (aliyezaliwa na mwanamke)..maana huyo kishapoteaShetani hawezi kujifitini yeye mwenyewe, Ila atafitini upande wa pili ili tunae muabudu yaani kristo aonekane si kitu,
Ukitaka kulinganisha basi linganisha kati biblia na matendo yetu sisi wakristo je yanaendana ,
Kama hayaendani mfano, hatuna upendo nk nk bas tuhubirie Tuwe na upendo Mimi mkristo sitakiwi kujilinganisha na muislam hata kidg ,
Natakiwa kujilinganisha na biblia then nijikosoe,
Kwa mfano
Kuna siku mtu m1 alileta mada kuhusu mgawanyo wa Mali kwa waislam akasema umekaa vizuri , akasema kwa wakristo mgawanyo wa Mali haujafafanulia,
Ni Kweli kwenye bible haujaelezwa direct lakini ,
mgawanyo wa Mali umefungwa kwenye kitu kinaitwa UPENDO ,
Kama ni Mimi nagawanya Mali na Nina upendo na Wanao gawiwa nao Wana umependo basi kila kitu kitaenda sawa, hakutakua na ugomvi Wala malumbano na hoja, kwa hiyo sisi bible imeandika kila kitu shida Kuna namna mbili za kusoma , unaweza ukasoma ili kukosoa au usome ili ujifunze yote yanawezekana,
Sasa kama sisi wakristo ni wanafiki , hatusaidiani , nk nk basi Kuna amri moja tumeivunja
Nayo ni hii
Yohana 13:34-35
[34]Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo.
[35]Hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi.
APO VERSE YA PILI ANASEMA HIVYO WATU WOTE WATAJUA KUWA SISI NI WANAFUNZ WA YESU,
LAKINI, KUNA SEHEM PIA KWENYE BIBLE INASEMA SIKU ZA MWISHO UPENDO WA WENGI UTAPOA , 2timoth 3:1-5
Shetani ana pambana na kanisa yaani wa kristo upendo upoe ili waonekane si kitu , avune kwa style anayo ona yeye inafaa,
All in all tumepokea somo lako na tutaomba Mungu atusaidie pale ambako tumepelea,
Asante kwa somo/post yako
Well said mkuu,akili kubwaShetani hawezi kujifitini yeye mwenyewe, Ila atafitini upande wa pili ili tunae muabudu yaani kristo aonekane si kitu,

Shetani hawezi kujifitini yeye mwenyewe, Ila atafitini upande wa pili ili tunae muabudu yaani kristo aonekane si kitu,

Well saidKwa sababu Ukristo umeruhusu Ukweli na Uongo kuchangamana.
Na aliyeruhusu hayo ni Kristo mwenyewe.
Ni ngumu kumuamini Mkristo hata kama ameshika dini Kwa sababu ya Kanuni hiyo hapo juu. Lakini ni rahisi kumuamini Muislam aliyeshika Dini. Kwa sababu uislam haujaruhusu ukweli na Uongo kukaa pamoja.
Kwa vile ni mtizamo wako pekoe,upo sahihi,ila hakuna uhahidi wa kisayansi kuthibitisha,Wasalaam JF,
Tafadhari niwape hio changamoto kila mmoja ajaribu kufuatilia urafiki baina ya vijana waislam, wadada waislam, wamama waislam, wababa waislam, na makundi hayo upande wa wakristo tena tujiangalie wenyewe.
Na hii haina nia mbaya bali naileta kama chagizo na changamoto Kwa pande zote, kuimarisha, kuboresha na kujikosoa ili tujenge jamii imara sana.
Binafsi nimefuatilia urafiki miongoni mwa wakristo umejaa unafiki na urafiki wa kweli hasa Kwa nyanja zote za shida na raha ni kitu adhimu sana.
Wanaweza kuchanga harusi, labda kidogo na misiba kinafiki, ila sio kuuguza, kumtoa mtu kwenye shida zingine mfano njaa, kusomesha kulipia ada, na matibabu.
Pia urafiki miongoni mwao umejaa usaliti, na usengenyaji.
Hata Siri miongoni mwa marafiki wakristo zinavuja sana tofauti na upande wa mashabiki wa kiarabu katika Imani, uwekezaji na uuzwaji.
Nitoe wito Kila mmoja wetu aichukue katika namna njema na chanya kujitafakari kila mmoja katika urafiki wake wa sasa na yeyote yule iwe baina ya watu wawili ama kikundi cha watu katika kulitizama hili.
Kupanga ni kuchagua na hapa sina maana urafiki wa kupekupe hapana bali urafiki wenye tija pande zote.
Ichukueni hii kama rejea ya kutafiti hasa watakaobisha go and research by yourselves.
Tusikokose kulipa Kodi na kudai risiti. TRA maeneo mengi sana wateja tunapewa bill kwenye vikaratasi bila EFD receipts hasa bar kubwa kubwa zote.
Unoko ni aina pia ya uzalendo.
Wabillah Tawfiq.
Wadiz.
Ni kawaida ya watu primitive urafiki wao unakuwa kama agano vile.Wasalaam JF,

Uislam ni dini ya haki,Wasalaam JF,

Kwa sababu Ukristo umeruhusu Ukweli na Uongo kuchangamana.
Na aliyeruhusu hayo ni Kristo mwenyewe.
Ni ngumu kumuamini Mkristo hata kama ameshika dini Kwa sababu ya Kanuni hiyo hapo juu. Lakini ni rahisi kumuamini Muislam aliyeshika Dini. Kwa sababu uislam haujaruhusu ukweli na Uongo kukaa pamoja.
Wanaojiitaga Wakristo wengi wao ni roho mbaya ndio maana Huwa wanavurunda kwenye Uraisi na kuharibu maisha ya watu.Wasalaam JF,