Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,420
- 40,398
- Thread starter
- #61
Wanahitaji kusaidiwa vitu vingi mkuusuluhisho wanalo ma-single mother wenyewe na sio vinginevyo!!
Wanahitaji kusaidiwa vitu vingi mkuusuluhisho wanalo ma-single mother wenyewe na sio vinginevyo!!
AhsanteNimeshakutumia
Ukweli upi!? Huu nnaousema ndio ukweli wenyeweHa ha ha ha najua ipo siku utasema ukweli
Ha ha ha kama ukweli ni 100% weka photo ili tuweze kuthibitisha unasema ukweliUkweli upi!? Huu nnaousema ndio ukweli wenyewe
Sitokubali ulalamikeKwani wapi tumelalamika usingle unatuumiza?
Picha ya nini,?Ha ha ha kama ukweli ni 100% weka photo ili tuweze kuthibitisha unasema ukweli
Kuthibitisha ukweli wa uyasemayoPicha ya nini,?
Nitaweka, ila kabla sijaweka..
Nipe uhusiano kati ya kuweka picha na mada
Mbona hili suala la wadada walio single linawaumiza watu wengine kuliko wahusika wenyewe?
Taratibu bibie mbona maneno makaliUnadhani linawaumiza? Hawana lolote uzinzi tu mbona hawaumizwi na masikini wasio na mali ila wanaumizwa na wanawake wasio na waume? Hakuna cha huruma wala msaada ni umalaya tu ndo unawasumbua.
Niambie binamuBinamu....
Taratibu bibie mbona maneno makali
Siku hizi wapo wengi wengine wanatia huruma kukosa mwanaume nadhani hizi ndoa za polygamy zingekuwa ni za lazima na za kisheria
Kama vile mfalme mswati alivyofanya huko Swaziland mke mmoja bila kuongeza unaenda jela yule jamaa ana akili anajua tulivyoumbwa na nature yetu sijui jiwe anakwama wapi hiyo sheria hajaileta nchini
Lazima niamie Swaziland
Kwamba hatuna shida,Kuthibitisha ukweli wa uyasemayo
ha ha ha haKwamba hatuna shida,
Sasa picha inathibitisha vipi boss?
Hujajibu swaliha ha ha ha
Macho yanayosema ukweli ujulikanaHujajibu swali
Ukinijibu vema nitaweka hiyo picha
Naomba unipende mpaka nikaweke picha yako kwa wallpaper ya simu ya dingiSitokubali ulalamike
Hivi kwani mada imesemaje!??Macho yanayosema ukweli ujulikana