Nimeahidiwa Kazi sasa kanipiga block maana mwezi 11 umefika

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,891
Nilikuwa nahitaji mahali pakujisitiri sio kula na kukaa mahali but ni kazi tu ili nisitegemee madanga so huyu mtu alidai atanisitiri mwanzoni ilikuwa mwezi wa sita akadai anaumwa kapata shida fulani nikaona sawa.

Ilivyofikia october inaenda ile november aliyoahidi atanipatia kazi saivi ameniblock whtsupp karibia na november alioahidi.

Ni hivi wewe mtu unayecheza na akili yangu mie mtu mzima sina shida ya kupata pesa ujue . Namipango yangu mipya hata mimi acha kujiona unaweza tatua shida za watu. Utakuja kuumbuka moe nimeongea fairly nasihitaji ugomvi maneno kutoka kwako na timu yako . Mie nataka kukuambia kitu . Kama huna uwakika wausaidizi kwa mtu acha kujiona unaweza kusaidia watu imeenda hiyo.

Sijapenda unamkalisha mtu miezi mingi bila kufanya yale uliomuahidi. Au ulihitaji penzi.

Kwangu kumvulia bossy penzi ni out of my mind my site .

Acha kuahidi uongo maana kwa huo umri sio vizuri unaelekea uzeeni ukiwa tapeli tapeli tena unatapeli wadada . Huu uzi siitaji simu yako ukijielezea na usijielezee hapa maana mie nikichafukwa nasema kilichopo moyoni mwangu. Kuba badhii ya watu wapo kama huyu kaka ni waongo wanaahidi kazi, au vitu kwa watu mwisho wasiku wanasepa .

Kama kuna mtu aliniambia natala usimamie duka languo nataka ulifungue hapo Arusha , kuhangaika kote anarudi kuomba elfu 30 sasa hiki nini acheni kucheza na muda wawatu . Kama huwezi kuwa agood friend .

Nimemaliza acha kuwaweka watu hai hai na hujui kama unaweza fanya kitu . Umenikeraa
 
Pole dada yangu. Na kitu hiki nimekigusia kwenye uzi wangu leo hii.
 
We unataka upewe kazi, wewe kutoa kazi hutaki?
 
Kama akiona ujumbe huu ,tunaomba akupatie kazi tafadhali au kuna lingine analihitaji ????
 
Back
Top Bottom