Mtazamo binafsi

Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Messages
6,295
Points
2,000
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2017
6,295 2,000
Hivi kwani mada imesemaje!??
Mada haijasema tutume picha.

Brother wanawake hawaingii kwenye mahisiano ili mradi tu.
Hao wenye 30 sio Kama wameshindwa kuengage ila tu hawajaamua.
Wanajua nn wanafanya.

Kwa hiyo msije mkadhani wanaumia
ha ha ha ha
 
DiasporaJay

DiasporaJay

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Messages
13,562
Points
2,000
DiasporaJay

DiasporaJay

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2016
13,562 2,000
Kitamaduni wanaume wa Afrika walikuwa wanaoa mke zaidi ya mmoja. Walipokuja wamisionari wakaleta taratibu mpya ya kuoa mke mmoja. Leo watu kama wewe wakion mwanaume anazingatia tamaduni ya kiafrika ya kuoa wake wengi unasema ni umalaya.

Kwa hiyo niliposema umalaya ni subjective nilimaanisha kwamba polygamy inaweza kutafsiriwa kama umalaya au kinyume chake kutegemea na viewpoint yako.
 
Marianah

Marianah

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2019
Messages
3,405
Points
2,000
Marianah

Marianah

JF-Expert Member
Joined May 20, 2019
3,405 2,000
Basi ndo uhamie kwenye hizo dini na tamaduni pendelezi kwa wanaume na kandamizi kwa wanawake ila siyo kulazimisha na dini na tamaduni nyingine ziwe kama hivyo
Nimesema neno ndoa za polygamy u Malaya unatoka wapi hapo hujui kuna dini na tamaduni wanaruhusu hii kitu?
 
Marianah

Marianah

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2019
Messages
3,405
Points
2,000
Marianah

Marianah

JF-Expert Member
Joined May 20, 2019
3,405 2,000
Unaamini kama Mungu yupo na wewe ni kama Kiranga?
Kitamaduni wanaume wa Afrika walikuwa wanaoa mke zaidi ya mmoja. Walipokuja wamisionari wakaleta taratibu mpya ya kuoa mke mmoja. Leo watu kama wewe wakion mwanaume anazingatia tamaduni ya kiafrika ya kuoa wake wengi unasema ni umalaya.

Kwa hiyo niliposema umalaya ni subjective nilimaanisha kwamba polygamy inaweza kutafsiriwa kama umalaya au kinyume chake kutegemea na viewpoint yako.
 
DiasporaJay

DiasporaJay

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Messages
13,562
Points
2,000
DiasporaJay

DiasporaJay

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2016
13,562 2,000
Unaamini kama Mungu yupo na wewe ni kama Kiranga?
Naamini Mungu yupo.
Tena
Mungu wa Abraham baba wa Imani
Mungu Isaka
na Mungu wa Jacob /Israeli baba wa wana wa israeli.
 
Marianah

Marianah

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2019
Messages
3,405
Points
2,000
Marianah

Marianah

JF-Expert Member
Joined May 20, 2019
3,405 2,000
Naamini Mungu yupo.
Tena
Mungu wa Abraham baba wa Imani
Mungu Isaka
na Mungu wa Jacob /Israeli baba wa wana wa israeli.
Sawa basi huyo Mungu hata awe Mungu wa nani hajaruhusu mwanaume kusaliti ndoa wala kuoa mke zaidi ya mmoja nipe andiko hata moja linaloruhusu mfanye hivyo na mimi nitakupa maandiko hata matatu yanayokataza mfanye hivyo naomba usinitolee mifano ya kina Abraham wala Jacob wala Solomon wala David maana najua ndiyo reference yenu wanaume wengi

Bila kujua kwamba kuwa nabii au mtume hakumzuii mtu kufanya dhambi maana hakuna binadamu mkamilifu hao wote pamoja na kusaliti ndoa au kuoa mke zaidi ya mmoja kila mmoja yalimpata ya kumpata na walipozeeka walikuja kutubu kwahiyo usinitolee mifano ya hao nipe andiko lilisimama kama sheria linaloruhusu mwanaume kusaliti ndoa au kuoa mke zaidi ya mmoja nasubiri
 
DiasporaJay

DiasporaJay

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Messages
13,562
Points
2,000
DiasporaJay

DiasporaJay

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2016
13,562 2,000
Sawa basi huyo Mungu hata awe Mungu wa nani hajaruhusu mwanaume kusaliti ndoa wala kuoa mke zaidi ya mmoja nipe andiko hata moja linaloruhusu mfanye hivyo na mimi nitakupa maandiko hata matatu yanayokataza mfanye hivyo naomba usinitolee mifano ya kina Abraham wala Jacob wala Solomon wala David maana najua ndiyo reference yenu wanaume wengi

Bila kujua kwamba kuwa nabii au mtume hakumzuii mtu kufanya dhambi maana hakuna binadamu mkamilifu hao wote pamoja na kusaliti ndoa au kuoa mke zaidi ya mmoja kila mmoja yalimpata ya kumpata na walipozeeka walikuja kutubu kwahiyo usinitolee mifano ya hao nipe andiko lilisimama kama sheria linaloruhusu mwanaume kusaliti ndoa au kuoa mke zaidi ya mmoja nasubiri
Sitafanya kazi ya kukupa vifungu vya biblia vyenye ku advocate polygamy ila nachoweza kukwambia ni kwamba polygamy is a kin to African culture hutaki nenda Ulaya.
 
Marianah

Marianah

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2019
Messages
3,405
Points
2,000
Marianah

Marianah

JF-Expert Member
Joined May 20, 2019
3,405 2,000
Sitafanya kazi ya kukupa vifungu vya biblia vyenye ku advocate polygamy ila nachoweza kukwambia ni kwamba polygamy is a kin to African culture hutaki nenda Ulaya.
Kwahiyo tamaduni za mababu ndo zina mamlaka kuliko sheria za Mungu?
 
S

spleen

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Messages
1,634
Points
2,000
S

spleen

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2013
1,634 2,000
Hakuna mwanamke aliye singo labda atake yeye, lakini sio kusema hakuna wanaume .
Wapo wengi miziwa mikubwa,pango kubwa,umekakamaaa,minyama minyama akutake nani?
 
DiasporaJay

DiasporaJay

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Messages
13,562
Points
2,000
DiasporaJay

DiasporaJay

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2016
13,562 2,000
Kwahiyo tamaduni za mababu ndo zina mamlaka kuliko sheria za Mungu?
Katika amri za Mungu aliye hai hakuna amri inayosema tunatakiwa kuoa mke mmoja.

Utaratibu wa kuoa mke mmoja umeletwa na wamisionari
 
R Mbuna

R Mbuna

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Messages
1,831
Points
2,000
R Mbuna

R Mbuna

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2015
1,831 2,000
Mbona hili suala la wadada walio single linawaumiza watu wengine kuliko wahusika wenyewe?
Wahusika wanaumia sana mkuu.

Last week i found one lady who has two kids but still anaishi kwao though anafanya kazi na sio kuwa anaishi kwao eti hajiwezi kiuchumi la anaweza ila nakataa uhuru uliopitiliza kwa sababu wanaume wakigundu tu kuwa ana watoto wanasepa wengine wanakubali mwanzo ila wakishakula papuchi tu wanasepa mmoja wapo mimi .

Aliniambia kuwa sasa hvi atakuwa yeye na tango/ndizi damu damu kwa sababu anaumia sana hali ya upweke na anajua kabisa kuwa kila mwanaume anataka tu kuonja kipochi manyoya chake.
 
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
38,461
Points
2,000
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
38,461 2,000
Wahusika wanaumia sana mkuu.

Last week i found one lady who has two kids but still anaishi kwao though anafanya kazi na sio kuwa anaishi kwao eti hajiwezi kiuchumi la anaweza ila nakataa uhuru uliopitiliza kwa sababu wanaume wakigundu tu kuwa ana watoto wanasepa wengine wanakubali mwanzo ila wakishakula papuchi tu wanasepa mmoja wapo mimi .

Aliniambia kuwa sasa hvi atakuwa yeye na tango/ndizi damu damu kwa sababu anaumia sana hali ya upweke na anajua kabisa kuwa kila mwanaume anataka tu kuonja kipochi manyoya chake.
Kwa hiyo kama huyo anaumia ni kila mtu?
 
Forum statistics

Threads 1,316,115
Members 505,494
Posts 31,879,495
Top