Mtanzania mwenzetu yupo Dubai anahitaji msaada

Je kama mifumo yao inabagua? Coz jamaa amedai ngozi nyeusi haiaminiki kabsa Yani Hadi uingie katika system connection ya maana inahitajika, Wahindi na Wafilipino mifumo ndio imewakubali....Sasa sijui ni mifumo kuwakubali au ni ujanja wao tu pamoja na kubebana wao kwa wao

Mkuu Wa Nigeria wamewaharibia sana fursa Ngozi nyeusi wenzao. Jamaa kila sehemu wanaharibu.
 
Mkuu Nampa pole sana jamaa kwa anayopitia, ILa nampa Hongera sana kwa uthubutu wa kupambana.

WaTZ ni watu ma sniches mno na hasawakiwa nje ya nchi, Kwa wabongo huko hawezi kufanikiwa lolote kwa kupitia mgongo wao. Hasa humo kwenye mageto kuna watu wana roho mbaya sana. Mageto ya Deira nayaelewa asijenge matarajo nayo kabisa. Kama akipata connection za Waganda na Wakenya wanaweza kumsaidia lakini si Wabongo. Nimeshuhudia live kabisa wabongo wakimkwepa mwenazao ambae alikuja kupewa mchongo na Wakenya.

Kwa haraka haraka la mwanzo aji control kwenye budget hela isije kumuishia. Ukiwa mgeni Dubai utatumia hela nyingi sana kwa kula mpaka mazingira uyazoee. Michango ya misosi ya mageto nayo ni miyayasho.

Kwa hapo Deira Kuna mskiti nyuma ya Naif Souk kila baada ya Sala ya usiku (Isha) hua wanagawa msosi.
Kuna na msikiti mwengine maeneo ya Karibu na Gold Souk njia ya Sabha kila baada ya Saala ya Isha huwa wanagawa Mikate.
Kuna mtaa wa upande wa pili wa Bunias kama unaelekea Union ambao unaishi wa Nigeria wengi sana, Kuna wanaigeria wengi hua wanauza mama ntilie kinyemela, Unakuta sana Ugali na wali.

Kuhusu Ajira ajaribu ya kuanzia, kwenye maduka na mikahawa hapo Deira, wanachukua sana watu weusi sikuhizi. ajaribu kuomba, Ili utoboe lazima aibu ueke pembeni.

Maeneo ya Bur Dubai huko upande wa pili akishavuka maji kuna ofisi za agency za ajira tofauti. Kuna mtu nimepoteza contect zake najaribu kumtafuta, ili aweze kunipa lead.

Na je jamaa kna ujuzi wowote alionao?
 
Nakuhakikishia kuwa hakuna nchi ambayo watu wanataka kutoka kwenda nje ya nchi kama Bongo. Ni wengi sana. Tatizo ni kuwa hawana connection. Na mbaya zaidi wanaona wivu sana wanaposikia mwenzao kaenda nje ya nchi. Hapa wote hawa wanaomkandia jamaa hakuna zaidi ya wivu. Na wengi wanaona wivu bila hata kujijua kuwa wanaona wivu. Ni kitu ambacho kimeshajijenga kwenye bongo zao hivyo kinafanya kazi bila kujijua, yaani subconciously. Na hili la watanzania kutotaka kusaidia wawapo nje nalo ni kweli. Hii pia ni tatizo la kukulia kwenye umaskini na kukosa exposure. watu wanakuwa na akili kama za mbwa koko i.e. hataki mbwa wengine wasogelee kwenye karamu. Boss Man mwambie jamaa asione aibu ya kuzungumza na watu. Atafanikiwa tu na asikate tamaa. Je, amejaribu kutumia internet, hasa google? Unaweza ku-search hata wewe na ukamtumia.
Sahii kabisa, exposure itabadili watu tunaenda mdogo mdogo
 
Mkuu Nampa pole sana jamaa kwa anayopitia, ILa nampa Hongera sana kwa uthubutu wa kupambana.

WaTZ ni watu ma sniches mno na hasawakiwa nje ya nchi, Kwa wabongo huko hawezi kufanikiwa lolote kwa kupitia mgongo wao. Hasa humo kwenye mageto kuna watu wana roho mbaya sana. Mageto ya Deira nayaelewa asijenge matarajo nayo kabisa. Kama akipata connection za Waganda na Wakenya wanaweza kumsaidia lakini si Wabongo. Nimeshuhudia live kabisa wabongo wakimkwepa mwenazao ambae alikuja kupewa mchongo na Wakenya.

Kwa haraka haraka la mwanzo aji control kwenye budget hela isije kumuishia. Ukiwa mgeni Dubai utatumia hela nyingi sana kwa kula mpaka mazingira uyazoee. Michango ya misosi ya mageto nayo ni miyayasho.

Kwa hapo Deira Kuna mskiti nyuma ya Naif Souk kila baada ya Sala ya usiku (Isha) hua wanagawa msosi.
Kuna na msikiti mwengine maeneo ya Karibu na Gold Souk njia ya Sabha kila baada ya Saala ya Isha huwa wanagawa Mikate.
Kuna mtaa wa upande wa pili wa Bunias kama unaelekea Union ambao unaishi wa Nigeria wengi sana, Kuna wanaigeria wengi hua wanauza mama ntilie kinyemela, Unakuta sana Ugali na wali.

Kuhusu Ajira ajaribu ya kuanzia, kwenye maduka na mikahawa hapo Deira, wanachukua sana watu weusi sikuhizi. ajaribu kuomba, Ili utoboe lazima aibu ueke pembeni.

Maeneo ya Bur Dubai huko upande wa pili akishavuka maji kuna ofisi za agency za ajira tofauti. Kuna mtu nimepoteza contect zake najaribu kumtafuta, ili aweze kunipa lead.

Na je jamaa kna ujuzi wowote alionao?
Very nice...!
 
Sema kosa la huyo jamaa yako ni kuanza kulaumu watanzania waishio Dubai ambao ki ukweli sio wao waliomwambia aende huko!,msaada huwa ni hiari na wala sio lazima,mwambie tu awe anasali sana akimwomba mwenyezi Mungu afanye njia pale pasipokuwa na njia nina imani milango itafunguka inshaallah!
 
Mkuu Nampa pole sana jamaa kwa anayopitia, ILa nampa Hongera sana kwa uthubutu wa kupambana.

WaTZ ni watu ma sniches mno na hasawakiwa nje ya nchi, Kwa wabongo huko hawezi kufanikiwa lolote kwa kupitia mgongo wao. Hasa humo kwenye mageto kuna watu wana roho mbaya sana. Mageto ya Deira nayaelewa asijenge matarajo nayo kabisa. Kama akipata connection za Waganda na Wakenya wanaweza kumsaidia lakini si Wabongo. Nimeshuhudia live kabisa wabongo wakimkwepa mwenazao ambae alikuja kupewa mchongo na Wakenya.

Kwa haraka haraka la mwanzo aji control kwenye budget hela isije kumuishia. Ukiwa mgeni Dubai utatumia hela nyingi sana kwa kula mpaka mazingira uyazoee. Michango ya misosi ya mageto nayo ni miyayasho.

Kwa hapo Deira Kuna mskiti nyuma ya Naif Souk kila baada ya Sala ya usiku (Isha) hua wanagawa msosi.
Kuna na msikiti mwengine maeneo ya Karibu na Gold Souk njia ya Sabha kila baada ya Saala ya Isha huwa wanagawa Mikate.
Kuna mtaa wa upande wa pili wa Bunias kama unaelekea Union ambao unaishi wa Nigeria wengi sana, Kuna wanaigeria wengi hua wanauza mama ntilie kinyemela, Unakuta sana Ugali na wali.

Kuhusu Ajira ajaribu ya kuanzia, kwenye maduka na mikahawa hapo Deira, wanachukua sana watu weusi sikuhizi. ajaribu kuomba, Ili utoboe lazima aibu ueke pembeni.

Maeneo ya Bur Dubai huko upande wa pili akishavuka maji kuna ofisi za agency za ajira tofauti. Kuna mtu nimepoteza contect zake najaribu kumtafuta, ili aweze kunipa lead.

Na je jamaa kna ujuzi wowote alionao?
Mkuu shukrani sana, & ujuzi aliokuwa nao jamaa ni Udereva
 
Ukisafiri nje utapata majibu Mkuu,Nje watu hawaishi hivyo kama ulivyotoa mifano yako huko tumepokelewa na watu baki na tuliishi kama ndugu na mpaka sasa tunawasiliana kama ndugu na wengine tuliowapokea ni hivyo hivyo ndio chain ya maisha ilivyo sema kujichanganya na kusaidia watu unapokua nje ya Nchi inategemea wewe ulifika vip ila sio kihivyo unavyosema...mtu anakupa pande la kazi nzuri tena kwa moyo mkunjufu na nauli anatoa..
sawa,but una bahati,ni risk sana kusafiri bila kuweka logistic,walifanya hivyo enzi za kale,pale YESU alipomwambia jamaa mmoja mfupi sana {simkumbuki jina} aliyekua amepanda juu ya mti ili amwone YESU,YESU akamwambia nenda nyumbani kanitayarishie chakula,leo nitakua mgeni wako,au MALAIKA walipomtembelea NUHU na kumpa habari ya mji kulipululiwa kwa moto kwa makosa yao ya USHOGA...bro.....'dunia ya leo kufanya kama alivofanya jamaa yako ni hatari sana,kubali au kataa!!"
 
Mkuu maisha yetu bila risk ni ngumu sana kufanikiwa ukiuliza taarifa humu hutapata msaada mimi niliwahi mtumia dada mmoja wa ET airline anaekatisha Tiketi siji kumsahau aniombee mfanyabiashara yeyote niongozane nae Hong Kong hela ninayo ila wao walikua wanasema ndogo ilikua usd elfu kumi kwenda kununua simu sikupata mtu yule dada akasema kwa kuwa umeaafiri safiri na Hong Kong huwa wana maswali mengi sana inaweza kukusaidia ikabidi anitafutie mtu anielekeze maswali ya pale airport nikapanda ndege mpaka Hong Kong maswali yalikuwepo ila wao wanaiona SA ni kama wao kumbe sio wakawa wananiuliza kwa nini nisiende SA nimekuja kwao swali jepesi nimekuja kuangalia bidhaa hapa nikawaonyesha card na hela tulikua tunabeba nikaenda kuchukua bus mpaka maeneo ya Hotel zinapopatikana kwetu hakuna hata mtu aliewahi kusafiri unategemea connection napataje bila mimi wa kwanza ku take risk..nilifanikiwa mpaka kesho huko mimi ni mwenyeji sana...
 
Pia kuhusu INTERNET mwambie asiwe ananunua airtime mwambie afanye mambo mawili, kwa kuwa yuko DEIRA aende aidha maeneo ya karibu na HYATT REGENCY HOTEL barabara ya kwenda AL HAMRIYA au aende BANIYAS SQUARE - MC DONALDS kuna free WIFI 24/7.

Kabisa mku, Bandle za lain za tourist zitamkwangura sana, Drh 50 wanakupa sana sana gb 2, hata wiki humalizi.
 
Mkuu maisha yetu bila risk ni ngumu sana kufanikiwa ukiuliza taarifa humu hutapata msaada mimi niliwahi mtumia dada mmoja wa ET airline anaekatisha Tiketi siji kumsahau aniombee mfanyabiashara yeyote niongozane nae Hong Kong hela ninayo ila wao walikua wanasema ndogo ilikua usd elfu kumi kwenda kununua simu sikupata mtu yule dada akasema kwa kuwa umeaafiri safiri na Hong Kong huwa wana maswali mengi sana inaweza kukusaidia ikabidi anitafutie mtu anielekeze maswali ya pale airport nikapanda ndege mpaka Hong Kong maswali yalikuwepo ila wao wanaiona SA ni kama wao kumbe sio wakawa wananiuliza kwa nini nisiende SA nimekuja kwao swali jepesi nimekuja kuangalia bidhaa hapa nikawaonyesha card na hela tulikua tunabeba nikaenda kuchukua bus mpaka maeneo ya Hotel zinapopatikana kwetu hakuna hata mtu aliewahi kusafiri unategemea connection napataje bila mimi wa kwanza ku take risk..nilifanikiwa mpaka kesho huko mimi ni mwenyeji sana...

Ilikuwa mwaka gani mkuu?
 
Tanzania ina fursa zaidi ya nchi yoyote ile

Tatizo sisi ni wabishi wavivu na hatutaki kutoka jasho
Mnavyojiongelesha humu kuwa bongo kuna fursa , hizo fursa mnazosema zingekuwepo sidhani kama watu wengi wangekuwa desperate hivyo kuikimbia hii nchi , Leo hii akitokea mtu akaitisha watu pale uwanja WA mkapa wanaotaka kwenda nje ya nchi ,ule uwanja utajaa mpaka vikongwe , msiwe mnarahisisha maisha kihivyo , huujui msoto WA kitaa wewe mtoto wa mama kaa tulia shukuru Kwa life ulilonalo Ila usijudge watu kindezi
 
Usiongee kitu usichokijua,kwanza Dubai wamejaa watu wa nje kuliko wenyeji,wenyeji unaweza hata usiwaone,nyie ndio hua mnakaririshwa vitu na kumeza tu,acha kupotosha kwa chuki za kipumbavu.
Wanakera Sana hawa maboya , jitu halina msaada wowote lina type upuuzi Tu hapa ,jitu halijawahi pitia msoto wala kuvuka hata nje ya mkoa linaoishi tangu lizaliwe .
Mi huwa napata hasira mtu anapoomva msaada halafu yanatokea mapumbav na kutype rubbish hapa
 
Huu ni upumbavu mwingine wa Tanzania diaspora, wapopo hawajuani ila wakishajua ni mpopo mwenzao they always help ndio maana remittance ya wapopo ni mara 100 ya kwetu,Kenya au Zimbabwe ni almost 1%ya GDP ya nchi nzima, unaongea upumbavu huu na ukifa unataka uzikwe na watanzania wote waliopo hapo wakati unaishi selfish life.
Wabongo wengi wanedumazwa na akili za kimasikini na kikapuku na hii mentality ndio IPO Hadi Kwa viongozi wao hao , ukitaka kuamini , pata tatizo nchi za nje huko halafu nenda katafute msaada ubalozi WA Tz ,ndio utajua hujui .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom