digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,479
- 23,294
East or West home is best!!!There's no better place than home

Sasa asitumie tena hizo hela huko, azifanye nauli ya kurudi Nyumbani kuanza moja.Swala la kufikia kwake halikuwa tatizo, Kuna Mahali yupo anaishi fresh ila ndio hivyo anatumia tu Hela za Bongo alizoenda nazo kujikimu
Mafala tuWachangiaji wengi hii hoja ni wanafiki na waongo wakubwa, hapa nchini fursa ni za connections tupu,kuna wengi humu wanalalama kuhusu ajira uchwara za afya na ualimu, welldone mkuu iliyetake risks na kwenda Dubai, maisha bila ya kutake risks, will die trying...asikate tamaa huko Dubai abakie huko huko apambane kiume na mwambie asahau kabisa msaada wa watanzania, akae nao mbali kabisa maana wengi ni washenzi tu.
Msamehe bure,huyo hajayajua Maisha ya mabaharia wanakoaanzia kua ni chini kabisa,na hata chakula chao kinaweza kua ni ukoko kutoka kwa mama lishe tena baada ya kumsaidia kazi ya kujaza Maji ya kupikia!!Huna lolote wazo lako ovyoo, mtu hana hata pesa ya kula unamwambia atafute vifaa used atavipataje bila kuwa na kazi
Ivi una endaje sehem tena nchi za watu ukiwa na plan A tu...yaan wabongo hapo ndo tunapo feliii...!!
Ngoja ni kupee idea ya kumsaidia huyo jamaa wakoo ikitik urudi hapa uje kunipa mrejesho maana mimi ni jobless.
Nampa pongezi za kufika huko dubai inaoneka jamaa kajitoa ..Ilaa anatakiwa afutee kabsa swala la kuajiriwa na atafute mpunga(hela) kidogo.
Dubai kama dubai mimi na chojua ni soko kubwa sana la vifaa vya electronic used kwa nchi zetu.
Sasa kwa sababu yuko eneo husika asikae kindeziii asome ramani zote mzigo unapo patikana na ikibidi achague yeye mwenye ile vile vifaa grade A yani vile vitu piruu.
Akisha vipata asome ramani ya kuvituma na jinsi ya kuvitoa bandarani kwa bei isaiyoo umiza lakin arudi Bongo kujakupambana sasa.
Angekua anaijua Zanzibar ninge mwambia aende kutafuta frem kule kwa MCHINA alafu afungue goli kulee alafu utakuja niambia.
Usijali,pesa ya Bongo ikiisha atajua nini la kufanya! Shida ni Mama wa Uvumbuzi siku zote, na Dubai kuna fursa zaidi Kama atatuliza kichwa vizuri!!!Swala la kufikia kwake halikuwa tatizo, Kuna Mahali yupo anaishi fresh ila ndio hivyo anatumia tu Hela za Bongo alizoenda nazo kujikimu
Achafuliwe hewa Kama baunsa tu.Wakuu naomba msaada kwa yeyote ambae anaishi Dubai, nina Rafiki yangu huko ana mwezi wa pili Sasa tangu ameenda ila Bado hajapata Kazi
Jamaa ni kama alijitoa muhanga sababu hakuwa na connection yeyote, alijiandalia kuanzia Passport, Visa hadi Ticket ya ndege mwenyewe, Sasa kafika huko anadai mambo magumu.
Kakutana na baadhi ya wabongo wenzake anadai kwamba ni Binafsi sana, wanamchora tu mshkaji, ni kama vile wanaotaka jamaa arudi Bongo. jamaa nimempa moyo aendelee kupambana huenda atatusua
Mimi imeniuma sana kusikia wabongo tunakunjiana hivyo, hivi kweli unamuangalia Mbongo mwenzako anavyotaabika kwenye ma nchi ya watu Wakati chance ya kumsaidia unayo
Wakuu nawaomba msaada kama Kuna yeyote humu yupo Dubai amshike mkono jamaa, at least hata kimiongozo afanyaje ili aingie katika system angalau apate ahueni ya maisha
Haitapendeza kabisa kama jamaa atarudi Bongo, atakuwa ame waste time na fare, ukizingatia nauli yenyewe jamaa kafanya kuchangiwa na Bi mkubwa. Bi mkubwa kajitoa mwanae akapambane halafu ndio arudi bila bila.....Tusaidiane Wakuu
Natanguliza Shukrani[emoji1545]
View attachment 2275923View attachment 2275925View attachment 2275926
Hiyo hela ya nauli,passport na gharama nyingine si bora tu angetegesha mahali hapahapa Bongo,angeweza hata kufungua carwash ya maana na angepiga hela ya kutosha,kuliko kuacha fursa hapa halafu unaenda kutafuta vibarua vya kuosha magari Dubai...Wakuu naomba msaada kwa yeyote ambae anaishi Dubai, nina Rafiki yangu huko ana mwezi wa pili Sasa tangu ameenda ila Bado hajapata Kazi
Jamaa ni kama alijitoa muhanga sababu hakuwa na connection yeyote, alijiandalia kuanzia Passport, Visa hadi Ticket ya ndege mwenyewe, Sasa kafika huko anadai mambo magumu.
Kakutana na baadhi ya wabongo wenzake anadai kwamba ni Binafsi sana, wanamchora tu mshkaji, ni kama vile wanaotaka jamaa arudi Bongo. jamaa nimempa moyo aendelee kupambana huenda atatusua
Mimi imeniuma sana kusikia wabongo tunakunjiana hivyo, hivi kweli unamuangalia Mbongo mwenzako anavyotaabika kwenye ma nchi ya watu Wakati chance ya kumsaidia unayo
Wakuu nawaomba msaada kama Kuna yeyote humu yupo Dubai amshike mkono jamaa, at least hata kimiongozo afanyaje ili aingie katika system angalau apate ahueni ya maisha
Haitapendeza kabisa kama jamaa atarudi Bongo, atakuwa ame waste time na fare, ukizingatia nauli yenyewe jamaa kafanya kuchangiwa na Bi mkubwa. Bi mkubwa kajitoa mwanae akapambane halafu ndio arudi bila bila.....Tusaidiane Wakuu
Natanguliza Shukrani[emoji1545]
View attachment 2275923View attachment 2275925View attachment 2275926
For cowards only.There's no better place than home
If you're a man then any place can be your home.....only cowards say home is best.East or West home is best!!!
,Wakuu naomba msaada kwa yeyote ambae anaishi Dubai, nina Rafiki yangu huko ana mwezi wa pili Sasa tangu ameenda ila Bado hajapata Kazi
Jamaa ni kama alijitoa muhanga sababu hakuwa na connection yeyote, alijiandalia kuanzia Passport, Visa hadi Ticket ya ndege mwenyewe, Sasa kafika huko anadai mambo magumu.
Kakutana na baadhi ya wabongo wenzake anadai kwamba ni Binafsi sana, wanamchora tu mshkaji, ni kama vile wanaotaka jamaa arudi Bongo. jamaa nimempa moyo aendelee kupambana huenda atatusua
Mimi imeniuma sana kusikia wabongo tunakunjiana hivyo, hivi kweli unamuangalia Mbongo mwenzako anavyotaabika kwenye ma nchi ya watu Wakati chance ya kumsaidia unayo
Wakuu nawaomba msaada kama Kuna yeyote humu yupo Dubai amshike mkono jamaa, at least hata kimiongozo afanyaje ili aingie katika system angalau apate ahueni ya maisha
Haitapendeza kabisa kama jamaa atarudi Bongo, atakuwa ame waste time na fare, ukizingatia nauli yenyewe jamaa kafanya kuchangiwa na Bi mkubwa. Bi mkubwa kajitoa mwanae akapambane halafu ndio arudi bila bila.....Tusaidiane Wakuu
Natanguliza Shukrani[emoji1545]
View attachment 2275923View attachment 2275925View attachment 2275926
Nisaidie kushangaa mkuuWachangiaji wengi hii hoja ni wanafiki na waongo wakubwa, hapa nchini fursa ni za connections tupu,kuna wengi humu wanalalama kuhusu ajira uchwara za afya na ualimu, welldone mkuu iliyetake risks na kwenda Dubai, maisha bila ya kutake risks, will die trying...asikate tamaa huko Dubai abakie huko huko apambane kiume na mwambie asahau kabisa msaada wa watanzania, akae nao mbali kabisa maana wengi ni washenzi tu.