Mtanzania mwenzetu yupo Dubai anahitaji msaada

Huna lolote wazo lako ovyoo, mtu hana hata pesa ya kula unamwambia atafute vifaa used atavipataje bila kuwa na kazi
We nayeee ni kenge maji huna pointi....!! Bora unge nyamaza..!?
Ina maana huko dubai alienda na ki miujiza
Inaa maana alitoka huku akajua akienda dubai atakuta chakula cha buree...!?
Sikuizi maisha ayatafuti kama zamani enzi za kina nyerere..useme watu watakuonea huruama
Akilizako kichwani, timing... Na connection
Wekaaa kindeziiii
 
Kazi gani anatafuta kwanza.
Kazi yoyote tu mkuu, atachagua akishakuwa na maisha ,...kwasasa jamaa anataka kazi ya kuingiza kipato ili maisha yaendelee mambo yakikaa sawa jamaa Mpango wake nikutafuta Driving licence ya UAE angalie ramani za Udereva
 
Yaani kwa akili hizi za kusubiri umbea wa kina Mange na connection CCM watatutawala hadi mwaka 4500[emoji16]
Mataifa karibia yote walishaondokana na kujiabana kwenye mipaka yao wwatu wana hustle popote kwenye riziki, lakini kwa wabongo kuna mentality zakijinga walikaririshwa,

Unakumbuka zamani vijana ilikuwa kutoka kijijini kwenda Dar, kujitafutia ... ilikiwa ni mbinde wengine hadi wanatoroka kwao maana ruhusa hawapewi,

Unasikia mzazi analalamika mwanae katoroka kaenda Dar "muache akaharibikiwe huko, ule mji unamambo ya ajabu huko"

Ndio hiki kizazi sasa kilichojazwa uoga na ujinga, mtu yuko radhi apige majungu abaki kwao huko aridhi umasikini na matunguli...

Akisikia mwenzake katoka nje anaanza kuwa na inferiority Complex , roho inamuuma akisika mwezie kagika Dubai, sasa ili ajipooze nafsi anachofanya nikuombea tu aliyefika huko afeli kimaisha...!
 
Umepiga mle mle wanakuja hapa na misemo ya kishamba eti GO EAST GO WEST HOME IS THE BEST, wakati huo anamlipa dada wa kazi TSH 30K na mateso juu,hali ya kuwa dada wa kazi kwenye hizo nchi wanazoogopa kwenda anapokea above Tsh 1M monthly, eti wanaofurahia maisha, kusalimiana na kuhudhuria misiba na michango ya 5K kuchangia harusi[emoji16][emoji16]
 
Hawa ndio West African wanajua kusaidiana na kubebana, Watz wamekalia UMBEA tu

Screenshot_20220629-224407_GBWhatsApp.jpg
 
Mkuu itapendeza ukitoa mawili matatu hata miongozo tu kwa kijana wetu, sababu Najua ww ni Born Town wa kitambo kwa mujibu wa Uzi niliouona unachangia mada
 
Mavuno gani? Yaani watu wa ina yako Mbeleeni lazima uwe mchawi tu
Kabla ya kwenda alipaswa kujiandaa kwa kila kitu, pamoja na dharura,kwanini asirudi nyumbani?kama kuna matatizo Inaonekana amepanda mwenyewe
 
Mataifa karibia yote walishaondokana na kujiabana kwenye mipaka yao wwatu wana hustle popote kwenye riziki, lakini kwa wabongo kuna mentality zakijinga walikaririshwa,

Unakumbuka zamani vijana ilikuwa kutoka kijijini kwenda Dar, kujitafutia ... ilikiwa ni mbinde wengine hadi wanatoroka kwao maana ruhusa hawapewi,

Unasikia mzazi analalamika mwanae katoroka kaenda Dar "muache akaharibikiwe huko, ule mji unamambo ya ajabu huko"

Ndio hiki kizazi sasa kilichojazwa uoga na ujinga, mtu yuko radhi apige majungu abaki kwao huko aridhi umasikini na matunguli...

Akisikia mwenzake katoka nje anaanza kuwa na inferiority Complex , roho inamuuma akisika mwezie kagika Dubai, sasa ili ajipooze nafsi anachofanya nikuombea tu aliyefika huko afeli kimaisha...!
Nakuhakikishia kuwa hakuna nchi ambayo watu wanataka kutoka kwenda nje ya nchi kama Bongo. Ni wengi sana. Tatizo ni kuwa hawana connection. Na mbaya zaidi wanaona wivu sana wanaposikia mwenzao kaenda nje ya nchi. Hapa wote hawa wanaomkandia jamaa hakuna zaidi ya wivu. Na wengi wanaona wivu bila hata kujijua kuwa wanaona wivu. Ni kitu ambacho kimeshajijenga kwenye bongo zao hivyo kinafanya kazi bila kujijua, yaani subconciously. Na hili la watanzania kutotaka kusaidia wawapo nje nalo ni kweli. Hii pia ni tatizo la kukulia kwenye umaskini na kukosa exposure. watu wanakuwa na akili kama za mbwa koko i.e. hataki mbwa wengine wasogelee kwenye karamu. Boss Man mwambie jamaa asione aibu ya kuzungumza na watu. Atafanikiwa tu na asikate tamaa. Je, amejaribu kutumia internet, hasa google? Unaweza ku-search hata wewe na ukamtumia.
 
Yeah, internet kashatumia sana tu, ila ndio hivyo kama anavyosema kwamba sehemu nyingi ni connection haswa kwa mtu mweusi, hata hivyo Kuna member humu kaniunganisha na maagent ambao wapo kule, nishamtumia mawasiliano nasubiri tu feedback kutoka kwake
 
Dubai kama dubai mimi na chojua ni soko kubwa sana la vifaa vya electronic used kwa nchi zetu.

Sasa kwa sababu yuko eneo husika asikae kindeziii asome ramani zote mzigo unapo patikana na ikibidi achague yeye mwenye ile vile vifaa grade A yani vile vitu piruu.

Akisha vipata asome ramani ya kuvituma na jinsi ya kuvitoa bandarani kwa bei isaiyoo umiza lakin arudi Bongo kujakupambana sasa.

Angekua anaijua Zanzibar ninge mwambia aende kutafuta frem kule kwa MCHINA alafu afungue goli kulee alafu utakuja niambia.

Hili ni Bonge la Idea, Hatojuta.
 
Kazi bongo zimeisha,, hao waarabu siwaelewi kabisa .. siwezi kwenda nchi yoyote kwa ujira wowote hata kama kuosha gari moja nilipwe dola 20..sikuzaliwa kwa ajili hio thamani yangu ni kubwa sana ..bora nibaki bongo

Chuki za kibaguzi zinakutesa ndugu
 
Sawa nitamwambia maana jamaa amedai yuko sehemu inaitwa Deira

Deira ni Town area, Yapo mageto kadhaa ya Kibongo Ila Deira hakuna fursa kuna michongo. Kwa maana ikiwa michongo imebuma basi afanye kama alivyoshauri mdau hapo juu atemebee maeneo ya fursa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom