Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 7,696
- 15,984
Akomae apambane atapata kazi.
Bila shaka uwo ndio ukweli mwenyewe. Ni vyema mtu aufahamu ukweli iliakija fanya maamuzi basi awe na facts zote.Sikutaka kuleta feedback kwasababu niliona nitawakatisha tamaa vijana wengine humu
Duu kwavile yuko dubai ana fursa nzuri ya kupiga hela aende DPWORLD ajipige picha aongee mazuri ya DPWORLD kwa kujitoa ufahamu atapiga bingo, DPWORLD ndiyo habari ya mjiniWakuu naomba msaada kwa yeyote ambae anaishi Dubai, nina Rafiki yangu huko ana mwezi wa pili Sasa tangu ameenda ila Bado hajapata Kazi
Jamaa ni kama alijitoa muhanga sababu hakuwa na connection yeyote, alijiandalia kuanzia Passport, Visa hadi Ticket ya ndege mwenyewe, Sasa kafika huko anadai mambo magumu.
Kakutana na baadhi ya wabongo wenzake anadai kwamba ni Binafsi sana, wanamchora tu mshkaji, ni kama vile wanaotaka jamaa arudi Bongo. jamaa nimempa moyo aendelee kupambana huenda atatusua
Mimi imeniuma sana kusikia wabongo tunakunjiana hivyo, hivi kweli unamuangalia Mbongo mwenzako anavyotaabika kwenye ma nchi ya watu Wakati chance ya kumsaidia unayo
Wakuu nawaomba msaada kama Kuna yeyote humu yupo Dubai amshike mkono jamaa, at least hata kimiongozo afanyaje ili aingie katika system angalau apate ahueni ya maisha
Haitapendeza kabisa kama jamaa atarudi Bongo, atakuwa ame waste time na fare, ukizingatia nauli yenyewe jamaa kafanya kuchangiwa na Bi mkubwa. Bi mkubwa kajitoa mwanae akapambane halafu ndio arudi bila bila.....Tusaidiane Wakuu
Natanguliza Shukrani[emoji1545]
View attachment 2275923View attachment 2275925View attachment 2275926
Ni kweli wa India na wa philipino wanakubalika lakini ziko sababu ni kwanini, kwa sababu wanaaminika na ni ukweli mahodari sasa kusema kuna ubaguzi sio kweli sababu kuna wa Kenya wengi sana wanafanya kazi ni sababu wameweza kujijengea jina la uaminifu na wana mawakala wa kazi Kenya sababu mara nyingi wanatafuta skills labour. Tanzania sifa zetu katika ajira sio nzuri hata umkute mtanzania ana kampuni anaona amani kuwa na wafanyakazi mataifa mengine sio wa bongo. Hapa tu Tz kuajiri wa bongo shughuli yake tunaijuwa lazima wakupige ndio maana wanaleta sana wahindi katika position muhimu kwa ufupi hatuaminiki.Je kama mifumo yao inabagua? Coz jamaa amedai ngozi nyeusi haiaminiki kabsa Yani Hadi uingie katika system connection ya maana inahitajika, Wahindi na Wafilipino mifumo ndio imewakubali....Sasa sijui ni mifumo kuwakubali au ni ujanja wao tu pamoja na kubebana wao kwa wao
🙂 wa bongo hatari sana hapa wakijaa wa Kenya tu tunaanza kelele wamejaa nchi za watu wamejaza wageni hawana hesabu na kazi zimejaa.Usiongee kitu usichokijua,kwanza Dubai wamejaa watu wa nje kuliko wenyeji,wenyeji unaweza hata usiwaone,nyie ndio hua mnakaririshwa vitu na kumeza tu,acha kupotosha kwa chuki za kipumbavu.
Have a Change of Scene hata wewe sehemu zikizingua toka hapo badilisha mazingira...Ivi una endaje sehem tena nchi za watu ukiwa na plan A tu...yaan wabongo hapo ndo tunapo feliii...!!
Ngoja ni kupee idea ya kumsaidia huyo jamaa wakoo ikitik urudi hapa uje kunipa mrejesho maana mimi ni jobless.
Nampa pongezi za kufika huko dubai inaoneka jamaa kajitoa ..Ilaa anatakiwa afutee kabsa swala la kuajiriwa na atafute mpunga(hela) kidogo.
Dubai kama dubai mimi na chojua ni soko kubwa sana la vifaa vya electronic used kwa nchi zetu.
Sasa kwa sababu yuko eneo husika asikae kindeziii asome ramani zote mzigo unapo patikana na ikibidi achague yeye mwenye ile vile vifaa grade A yani vile vitu piruu.
Akisha vipata asome ramani ya kuvituma na jinsi ya kuvitoa bandarani kwa bei isaiyoo umiza lakin arudi Bongo kujakupambana sasa.
Angekua anaijua Zanzibar ninge mwambia aende kutafuta frem kule kwa MCHINA alafu afungue goli kulee alafu utakuja niambia.