Mkuu kama yupo DEIRA mitaa ya UNION, GOLD SOUK, NAIF, BANIYAS, AL NOOR ( FRIJ MURAR) hatumii hata nauli anatembea tu ndani ya dakika 3 - 10 anakuwa amefika.Wacha nitamwambia akiingia online mkuu, hauna umbali sio
Ukisafiri nje utapata majibu Mkuu,Nje watu hawaishi hivyo kama ulivyotoa mifano yako huko tumepokelewa na watu baki na tuliishi kama ndugu na mpaka sasa tunawasiliana kama ndugu na wengine tuliowapokea ni hivyo hivyo ndio chain ya maisha ilivyo sema kujichanganya na kusaidia watu unapokua nje ya Nchi inategemea wewe ulifika vip ila sio kihivyo unavyosema...mtu anakupa pande la kazi nzuri tena kwa moyo mkunjufu na nauli anatoa..fumba macho alaf ufikirie na utoe jibu,fikiria ni jumapili tulivu umekaa home unacheza na watoto,mara anakufuata H.GIRL na kukwambia"baba kuna mgeni" unamwambia "mwambie aingie ndani"ile anaingia ana mizigo kama yote,sio ndugu yako,ila ni mwanakijiji mwezako huko bush kaja kutafuta kazi na ameona aje kuishi kwako tena bila taarifa.ukishapata jibu ndo unaweza kuwalaumu hao wa tanzania wa dubai,.......kumbuka huyo jamaa hana udugu wa damu na hao watanzania na alivoenda hakuwasiliana nao kabla,,,,tuache uswahili ndo una2ponza bhana...samahani kama nimekukwaza
,
Wacha nidownload picha nitumie jamaa na maelekezo.....Asante sana mkuuNi mitaa hii hapa nilipopigia hizi picha, ndipo Cruise ships hupaki jioni.View attachment 2276674
Amen [emoji1545]Namuombea kwa Mungu amfanikishe adhma yake, najua machungu na stress wanazopitia wapambanaji.View attachment 2276675
Kumbe wategemea ndugu bado mpo hai?[emoji848] nilijua mlishakufa masikini[emoji849]Kashindwa kusaidika nyumbani ambapo anandugu hadi wale wa darubini, iwe huko ughaibuni kisiko hata na ndugu wa kuchora...
Atabaki kulaumu watu ilihali kafeli yeye mwenyewe ku-plan
Kumbe wategemea ndugu bado mpo hai?[emoji848] nilijua mlishakufa masikini[emoji849]
Basi mwache ale maisha kumbe hana shida anatumia tuu hela alizienda nazo?Swala la kufikia kwake halikuwa tatizo, Kuna Mahali yupo anaishi fresh ila ndio hivyo anatumia tu Hela za Bongo alizoenda nazo kujikimu
Mtanzania Masikini jeuriHiii ndio akili halisi ya mtanzania[emoji848]
Home ccm wamepaharibu!There's no better place than home
Sawa endelea kusubiri connection hapo zinakuja!ktk vitu cwezi kufanya kutoka mahala kabla ya koneksheni.
Yaani kwa akili hizi za kusubiri umbea wa kina Mange na connection CCM watatutawala hadi mwaka 4500[emoji16]Sawa endelea kusubiri connection hapo zinakuja!
Msaidie sasa karu maji weweKwani shida nini? Aliomba msaada kwenye ukoo wenu?
Safi Mkuu, Mungu atamjalie kufanikiwa.Naomba nitoe shukrani kwa wale waliotoa miongozo, niseme tu Asanteni na iinafanyiwa kazi miongozo yenu, ushauri pamoja na maoni....jamaa namuelekeza vile mnaniambia hapa so naomba msichoke wakuu na Mimi nitawapa feedback kadri itakavyokuwa....
[emoji1545]View attachment 2276889View attachment 2276888View attachment 2276891View attachment 2276892View attachment 2276890