Mtanzania ijue vizuri Escrow

THE DONN

Senior Member
Aug 13, 2014
112
195
MTANZANIA MWENZANGU IJUE VIZURI ( ESCROW)

Ndugu zangu watanzania napenda nichukue fursa hii niwakumbushe machache kuhusu hili sakata la Escrow maana tumedanganywa sana sasa tuseme inatosha maana ata vitabu vitakatifu vinaeleza bayana kwamba watu wangu wemeangamia kwa kukosa maarifa

Ndugu zangu ninavyojua bwana Rugemalira alikua mtanzania pekee aliyekua na haki katika fedha za Tegeta Escrow Kama mmiliki wa asilimia 30% za IPTL.

Akashawishiwa na serkali kumuuzia bwana Singa Singa kwa madai ya serkali ya awamu ya nne kwamba Singasinga ni mwekezaji mkubwa ataboresha mtambo, Rugemalira akakubali akamuuzia kwa makubaliano waliyofikia ya dola 75 million

Bwana Rugemalira akalipwa asilimia 10% na kuendelea kuisubiria asilimia yake 90% katika siku 60 kwa mjibu wa mkataba .

Cha ajabu sasa!!! Singasinga na washirika wake walikua hawana nia njema na Rugemalira na wala hawakua na mpango wa kumlipa hiyo asilimia 90% walichokua wanahitaji ni kumtumia Rugemalira kuzifikia pesa pale Bank kuu (B.O.T)

Kibaya zaidi Rugemalira anasubiria kulipwa pesa zake kumbe watu washabeba hizo pesa kutoka Bank kuu na kugawana wakiwa na mikokoteni, rumbesa na vifurushi pale STANBIC bank mimi nawewe tujiulize hii bank mbona watu hawaizungumzii na waliochukua pesa kwa mikokoteni, rumbesa n.k hawatajwi Zitto, Lissu na kafulila watwambie

Rugemalira kuona hivyo ndo akaamua kwenda mahakamani kushitaki nakumbuka aliwashitaki wafuatao:-
1. Gavana wa Bank kuu kwa kuruhusu kutoa pesa hizo
2.PAP
3.STANBIC kwa kupokea fedha hizo na
4.Bank moja ya wapakistani iliyopokea kiasi fulani Cha fedha hizo za Escrow

Hapa sasa ndugu zangu ndo kimbembe, fitini na paniki dhidi ya bwana Rugemalira kuona anaendelea kupambana kupata haki yake ndo zilianza, watu wakatengeneza chuki dhidi yake inasemekana walishirika wa singasinga walikataa kumlipa bwana Rugemalira na kupanga kumuondoa kwa njia nyingine wajuazo wao.

Lakini inasemekana Gavana wa benki akaogopa sana na kusema hawafikii popote na hiyo GRAND FRAUD kwa hiyo ni bora wakubaliane kumlipa Rugemalira haki yake ili mambo yaishie hapo.

Na ndo hivyo Rugemalira alivyolipwa fedha zake kwa amri ya mahakama ya tarehe 17/ 01/ 2014 ambayo hadi sasa imefichwa kwa siri kubwa je!! ?? Zitto kabwe na Lissu hawajui hili Mimi na wewe tujiulize na tutafakari kwa kina!!!??

Na katika hiyo furaha ya kupata fedha zake kutoka mikononi mwa wanyanganyi Rugemalira akaamua kutoa sadaka na mgao kwa watu mbali mbali wakiwemo viongozi wa serkali na dini akiwataka wafungue akauti benki ya mukombozi inayomilikiwa na kanisa katoliki je kuna kosa gani apo na pesa amepewa kwa amri ya mahakama kwa tafsiri nzuri hiyo pesa ni Mali yake.

Kibaya ni pale wanaoujua ukweli huu wanaamua kudanganya watanzania kwa kujipambanua na kusema waliopewe pesa na bwana Rugemalira ndio wezi kumbe waongo na wazandiki ukweli wanaujua na ndo maana Zitto alikataa kutia sahihi kwenye ripoti iliyowasilishwa bungeni na kamati sasa kwa nini asemi ukwelii!!! Mimi na wewe tujiulize!!??

Sasa hii ndo ngumu kumeza naomba Zitto na Lissu watutajie waliochukua fedha benki kuu na kugawana pale STANBIC wakibeba hizo pesa kwenye mikokoteni, rumbesa, vifurushi n.k ni akina nani hao tuwajue!!??

Vile vile niwape angalizo watanzania magazeti yasitupotoshe kazi kubwa kuandika waliopewa mgao na Rugemalira hii inaonesha watu waliohusika na kukwapua hizo pesa Bank kuu na kugawana pale STANBIC wanaendelea kujificha na kuhonga magazeti ili yaendelee kutupotosha watanzania alafu kwanini hii Bank ya STANBIC watu hawaizungumzii wakati hii benki ndo imehusika kutorosha pesa kutoka Bank kuu( B.O.T)

Mwisho nipende kumpogeza Raisi wetu kipenzi Cha watanzania hasa sisi maskini JPM kwa hizi hatua anazozichukua tunamshukru Mungu kwamba kupitia yeye tutayajua mengi na bahati nzuri JPM nimpenda haki sana na mwenye hofu na Mungu, Lissu anayejifanya kupinga kila kitu na kujiona yeye ndo mjuzi wa kila jambo mimi nasema kwa serkali hii tukufu atachelewa sana na unafiki wao ndo umefika mwisho hatudanyanyiki tena wanajifanya wanaguswa sana na hili swala kumbe nia yao ni kutupotosha watanzania

Mungu ibariki nchi yetu Tanzania
Mungu mbariki Raisi wetu JPM
Niwatakie siku njema
Magufuli Captain ( CCM mpya)
 
Tabby

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
10,380
2,000
Kitabu kitakatifu ni kimoja tu. Kingine hicho ni shetani kujigeuza na kuwa mfano wa malaika wa nuru ambayo ndivyo alivyo!.

Mungu aligeuze fimbo ya Musa ikawa nyoka, shetani naye akawatumia wachawi wake kugeuza fimbo zao kuwa nyoka. Hata hivyo nyoka wa Fimbo ya Musa, ulimeza nyoka wote wa wachawi.

Nakuja.
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
23,704

Nawe ni ndumila kuwili. Wala hueleweki
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
36,310

Nimesikitishwa!, Huzunishwa!, na Kufadhaishwa na Uongo wa Kamati ya PAC!-Escrow Sio Fedha za Umma !

Escrow: Tumuombee J.Rugemalila alindwe kwa nguvu na uweza wa Roho Mtakatifu!, Wema wake usimponze!

Paskali
 
njiwa

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
11,873
2,000
Mleta mada alishapata mgao .. Sishangai ukitetea .. Ulipata billion ngapi?
 
TRUVADA

JF-Expert Member
Jan 6, 2014
4,524
2,000
Mimi na swali ilikuwaje pesa iliyotumika kumlipa rugemalira ni pesa yake mwenye yaan pesa iliyokuwa kwenye escrow a/c ndo eti ilitumika kununua iptl na kuwalipa wanahisa badala ya wanahisa kugawana faida yao kuwanza ndo ndo seth atoe fedha zake kununua wanahisa , je singa singa alitoa sh ngap kuinunua iptl
 
Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,276
2,000
Mbona mie sijaielewa escrow maana yake nini?
Nimeona uchambuzi wa kipuuzi tu na utetezi usio na sifa na sifa za kijinga eti azidi kuwaongoza maskini ambao sijakua ni wa kipato au akili kama za kwako na pia kiwalaumu na kuwaponda waliothubutu angalao kukufichulia uliyokuwa huyajui.
Siku nyingine jifunze namna ya kujenga hoja yenye mashiko vinginevyo nawe umetumwa kumsafisha mmoja wao kwani miradi ya kusafishana ni dili hapa bongo. Umeahidiwa ngapi manake naona ccm nayo unainadi? Pathetic!
 
babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
6,539
2,000
upumbavu wa ajabu sana ndani ya utetezi huu,hiyo IPTL ni jipu la siku nyingi mno,hii escrow scandal ni km tu ilifungua macho.
China watu km rugemalila wangeshawekwa panapostahili siku nyingi.
hayo makesi yooooote ya umeme,sijui richmond,dowans,tanesco jamaa aliyapika na kucheza na hazina kisha benki kuu na watawala hela inavutwa wanagawana.
Bei ya umeme unit hapo ilipo mpaka sasa kuna watu km hawa wana mgao wao
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
10,787
2,000
MTANZANIA MWENZANGU IJUE VIZURI ( ESCROW)

...........................
Mwisho nipende kumpogeza Raisi wetu kipenzi Cha watanzania hasa sisi maskini JPM kwa hizi hatua anazozichukua tunamshukru Mungu kwamba kupitia yeye tutayajua mengi na bahati nzuri JPM nimpenda haki sana na mwenye hofu na Mungu, Lissu anayejifanya kupinga kila kitu na kujiona yeye ndo mjuzi wa kila jambo mimi nasema kwa serkali hii tukufu atachelewa sana na unafiki wao ndo umefika mwisho hatudanyanyiki tena wanajifanya wanaguswa sana na hili swala kumbe nia yao ni kutupotosha watanzania

Mungu ibariki nchi yetu Tanzania
Mungu mbariki Raisi wetu JPM
Niwatakie siku njema
Magufuli Captain ( CCM mpya)
mkuu, hapo kwenye nyekundu juu unanikumbusha ile miaka ya 1996-97 watu kama wewe walikuwa wakimuongelea mkuu BWM hivi hivi. kumbe mwenzetu alikuwa anawatia watu upofu tu - kilichofuata? kitu kinaitwa ANBEM Ltd kikashuka Magogoni!

mkuu, usikubali nawe kutiwa upofu. experience ni mwalimu mzuri kuliko hata maprofesa uwajuao!
 
korojani

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
201
250
MTANZANIA MWENZANGU IJUE VIZURI ( ESCROW)

Ndugu zangu watanzania napenda nichukue fursa hii niwakumbushe machache kuhusu hili sakata la Escrow maana tumedanganywa sana sasa tuseme inatosha maana ata vitabu vitakatifu vinaeleza bayana kwamba watu wangu wemeangamia kwa kukosa maarifa

Ndugu zangu ninavyojua bwana Rugemalira alikua mtanzania pekee aliyekua na haki katika fedha za Tegeta Escrow Kama mmiliki wa asilimia 30% za IPTL.

Akashawishiwa na serkali kumuuzia bwana Singa Singa kwa madai ya serkali ya awamu ya nne kwamba Singasinga ni mwekezaji mkubwa ataboresha mtambo, Rugemalira akakubali akamuuzia kwa makubaliano waliyofikia ya dola 75 million

Bwana Rugemalira akalipwa asilimia 10% na kuendelea kuisubiria asilimia yake 90% katika siku 60 kwa mjibu wa mkataba .

Cha ajabu sasa!!! Singasinga na washirika wake walikua hawana nia njema na Rugemalira na wala hawakua na mpango wa kumlipa hiyo asilimia 90% walichokua wanahitaji ni kumtumia Rugemalira kuzifikia pesa pale Bank kuu (B.O.T)

Kibaya zaidi Rugemalira anasubiria kulipwa pesa zake kumbe watu washabeba hizo pesa kutoka Bank kuu na kugawana wakiwa na mikokoteni, rumbesa na vifurushi pale STANBIC bank mimi nawewe tujiulize hii bank mbona watu hawaizungumzii na waliochukua pesa kwa mikokoteni, rumbesa n.k hawatajwi Zitto, Lissu na kafulila watwambie

Rugemalira kuona hivyo ndo akaamua kwenda mahakamani kushitaki nakumbuka aliwashitaki wafuatao:-
1. Gavana wa Bank kuu kwa kuruhusu kutoa pesa hizo
2.PAP
3.STANBIC kwa kupokea fedha hizo na
4.Bank moja ya wapakistani iliyopokea kiasi fulani Cha fedha hizo za Escrow

Hapa sasa ndugu zangu ndo kimbembe, fitini na paniki dhidi ya bwana Rugemalira kuona anaendelea kupambana kupata haki yake ndo zilianza, watu wakatengeneza chuki dhidi yake inasemekana walishirika wa singasinga walikataa kumlipa bwana Rugemalira na kupanga kumuondoa kwa njia nyingine wajuazo wao.

Lakini inasemekana Gavana wa benki akaogopa sana na kusema hawafikii popote na hiyo GRAND FRAUD kwa hiyo ni bora wakubaliane kumlipa Rugemalira haki yake ili mambo yaishie hapo.

Na ndo hivyo Rugemalira alivyolipwa fedha zake kwa amri ya mahakama ya tarehe 17/ 01/ 2014 ambayo hadi sasa imefichwa kwa siri kubwa je!! ?? Zitto kabwe na Lissu hawajui hili Mimi na wewe tujiulize na tutafakari kwa kina!!!??

Na katika hiyo furaha ya kupata fedha zake kutoka mikononi mwa wanyanganyi Rugemalira akaamua kutoa sadaka na mgao kwa watu mbali mbali wakiwemo viongozi wa serkali na dini akiwataka wafungue akauti benki ya mukombozi inayomilikiwa na kanisa katoliki je kuna kosa gani apo na pesa amepewa kwa amri ya mahakama kwa tafsiri nzuri hiyo pesa ni Mali yake.

Kibaya ni pale wanaoujua ukweli huu wanaamua kudanganya watanzania kwa kujipambanua na kusema waliopewe pesa na bwana Rugemalira ndio wezi kumbe waongo na wazandiki ukweli wanaujua na ndo maana Zitto alikataa kutia sahihi kwenye ripoti iliyowasilishwa bungeni na kamati sasa kwa nini asemi ukwelii!!! Mimi na wewe tujiulize!!??

Sasa hii ndo ngumu kumeza naomba Zitto na Lissu watutajie waliochukua fedha benki kuu na kugawana pale STANBIC wakibeba hizo pesa kwenye mikokoteni, rumbesa, vifurushi n.k ni akina nani hao tuwajue!!??

Vile vile niwape angalizo watanzania magazeti yasitupotoshe kazi kubwa kuandika waliopewa mgao na Rugemalira hii inaonesha watu waliohusika na kukwapua hizo pesa Bank kuu na kugawana pale STANBIC wanaendelea kujificha na kuhonga magazeti ili yaendelee kutupotosha watanzania alafu kwanini hii Bank ya STANBIC watu hawaizungumzii wakati hii benki ndo imehusika kutorosha pesa kutoka Bank kuu( B.O.T)

Mwisho nipende kumpogeza Raisi wetu kipenzi Cha watanzania hasa sisi maskini JPM kwa hizi hatua anazozichukua tunamshukru Mungu kwamba kupitia yeye tutayajua mengi na bahati nzuri JPM nimpenda haki sana na mwenye hofu na Mungu, Lissu anayejifanya kupinga kila kitu na kujiona yeye ndo mjuzi wa kila jambo mimi nasema kwa serkali hii tukufu atachelewa sana na unafiki wao ndo umefika mwisho hatudanyanyiki tena wanajifanya wanaguswa sana na hili swala kumbe nia yao ni kutupotosha watanzania

Mungu ibariki nchi yetu Tanzania
Mungu mbariki Raisi wetu JPM
Niwatakie siku njema
Magufuli Captain ( CCM mpya)
Kuna haja pia hii bank ya Stanbic kuchunguzwa kwa mapana, wale walioruhusu kutoa zaidi ya billion 1 kwa cash ilihali wakijua taratibu za kibank haziruhusu. Hasa department of operation, hapa kuna watu waliongeka tu. Na nasikia kuna baadhi ya watu waliacha kazi ili kuikimbilia sheria.
 
kigogo warioba

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
5,426
2,000
Hii Sio Escrow, Ni Chuki Yako Ilio Moyoni Kwako Kwa Lissu. Haiwezekani Uwafananishe Akina Zto Na Lissu Na Juma Pumba Miyeyusho Et Hawalifanyii Kaz Jambo Hili, Umejuaje Hawalifanyii Kazi Wakati Wao Ndio Waliolileta! Unataka Wafanyeje Tena Wakati Tayar Walishafanya?! Na Wakifanya Kazi Hamkawii Kuwaita Watetezi Wa Wezi! Hii Ingepostiwa Na Lissu Au Zitto Mngesema Wameanza Kuwatetea Wezi Wa Escrow! Ila Kwa Kuwa Ni Wewe Basi Tushajua Eidha Ni Wew Au Nduguzo Nao Walipata Mgao, Waambie Kimenuka Wafungue Akaunt Ya Kurudisha Pesa, Kuna Kodi Pale Haijawah Kukatwa., Halafu Usidangnye Watu Na Kulaumu Wapinzani Kwan Wao Wana Takukuru?
 
Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
8,436
2,000
Kitabu kitakatifu ni kimoja tu. Kingine hicho ni shetani kujigeuza na kuwa mfano wa malaika wa nuru ambayo ndivyo alivyo!.

Mungu aligeuze fimbo ya Musa ikawa nyoka, shetani naye akawatumia wachawi wake kugeuza fimbo zao kuwa nyoka. Hata hivyo nyoka wa Fimbo ya Musa, ulimeza nyoka wote wa wachawi.

Nakuja.
Mkuu sasa hicho kitakatifu mbona hakimezi hivyo vingine ambavyo siyo vitakatifu???
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom