Mtanzania Hasa A Kingo awa Jaji Nchini Marekani

Mtanzania Hasa A Kingo awa Jaji Nchini Marekani

Huyu ni Mtanzania kutoka kijiji cha Msanga kwa Dibibi, Wilaya ya Kisarawe.

Leo ameapishwa kuwa Jaji wa Mahakama jiji la New York.

Anaingia kwenye rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kuwa Jaji nchini Marekani.
View attachment 2040082View attachment 2040083View attachment 2040084View attachment 2040085
Tanzania hairuhusu dual citizenship...

How is He a Tanzanian?

Hapa ndio ujuha wetu unapoonekana wazi.

Halafu kiukweli sisi ni mashetani.

Imagine mkenya tu kuwa Mkurugenzi Voda ilikuwa Nongwa.

Hivi tunajifanisha nini na wazungu?
 
wanafata maisha ndugu..
wee unadhani mzungu hata awe maskini ataoa kibibi ili atunzwe??!!
akioa jua anatafuta FAME tuu..
sisi wabongo huku ni rahisi kuwa baba wa nyumbani.lakini sio muamerika mwenye akili zake eti umuweke kinyumba..BIG NO
 
Ulisema mweusi akiwa mashuhuri lazima aoe mzungu. Kukuonyesha kuwa you are dead wrong, nikakutajia akina Jay Z, Obama, Kikwete, Kanye, Snoop...
Mbona hao wote wameoa Blacks tu wazungu wanapenda waafrica weusi wakiwa mashuhuri au matajiri tu
 
Ulisema mweusi akiwa mashuhuri lazima aoe mzungu. Kukuonyesha kuwa you are dead wrong, nikakutajia akina Jay Z, Obama, Kikwete, Kanye, Snoop...
Hao kina Obama alioa kabla ya kuwa maarufu Sasa angeoaje wakati amekuwa Raisi wa nchi, kikwete tumtoe tu kwenye hii list, pia but majority ya blacks maarufu hukimbiliwa na wazungu that's was my point
 
Wataje sasa. Mimi nimekutajia Weusi mashuhuri ambao wameoa weusi ku-disprove contention yako. Hata huyu Hasa alioa zamani huyo Mzungu kabla hajawa jaji. Mtoto mkubwa huyo ni wa miaka 9-10. Kama una ushahidi uweke hapa na mimi niweke list ya weusi mashuhuri walioa weusi wenzao. Halafu tuone km unachosema kina ukweli wowote.

Nyie wenyewe kila siku tunawasikia hapa hapa Bongo mkiulizia sehemu za kujiuza kwa Wazungu. Na hata ukisoma post humu za KE zinasema bora Wazungu. Update: Naona kuna mwanaume pia kasema bora Mzungu.
Hao kina Obama alioa kabla ya kuwa maarufu Sasa angeoaje wakati amekuwa Raisi wa nchi, kikwete tumtoe tu kwenye hii list, pia but majority ya blacks maarufu hukimbiliwa na wazungu that's was my point
 

​

German election: Embattled CDU candidate Laschet presents policy team​

03.09.2021​




3.09.2021​

59071649_101.jpg


With just over three weeks to the election, the CDU's candidate to replace Chancellor Angela Merkel has presented his policy team. Will it help him turn around a recent drop in support?​

The conservative Christian Democratic Union (CDU) and its Bavarian sister party CSU have been seeing an unprecedented fall in opinion polls ahead of the general election on September 26.

The decline has been blamed largely on Armin Laschet, the top candidate to succeed Angela Merkel, who is standing down after 16 years in office.

The CDU's chairman, Laschet has come across as vague and indecisive, with a lackluster campaign marred by slip-ups.

Who is on the 'future team?'​

At a live televised event in Berlin on Friday, a visibly nervous Laschet introduced a team of four men and four women: Terrorism expert Peter Neumann, CDU Vice President Silvia Breher, Schleswig-Holstein Education Minister Karin Prien, Deputy Parliamentary Group Leader Andreas Jung, music manager and Bundestag candidate Joe Chialo (CDU), Saxony's Education Minister Barbara Klepsch (CDU), and Digital State Minister Dorothee Bär (CSU).

59071462_101.jpg


Friedrich Merz has support from the right wing of the CDU/CSU conservative bloc
Former CDU/CSU parliamentary group leader Friedrich Merz is the most prominent member. The former Blackwater CEO and old Merkel adversary threw his weight behind Laschet, who had beat Merz in the race for CDU chairman in January.

High-profile terrorism and security expert Peter Neumann is new to politics. In 2017, he also served as the Organization for Security and Cooperation in Europe's (OSCE) special representative on countering violent extremism. Neumann called Laschet a "politician who really listens, who is really interested in issues," he said. "And I really hope he will be the next German chancellor."

Music manager Joe Chialo was born in 1970 in Bonn as the son of a Tanzanian diplomat. In the 1990s, he was a member of the Green party. "I am not the token black guy," said Chialo in an interview with the Frankfurter Allgemeine newspaper READ MORE : German election: Embattled CDU candidate Laschet presents policy team | DW | 03.09.2021


​




source : DER SPIEGEL
 

​

MEET HASA KINGO​


Hasa is a career public servant, devoted husband and father of two. He is an immigrant born in Harare, Zimbabwe, to Tanzanian parents, a proud American citizen and a dedicated New Yorker.
Hasa spent his childhood moving from Zimbabwe to Botswana to Canada to, finally, Las Vegas, Nevada, as his parents pursued their dreams of becoming medical workers in America. Before his retirement, his father worked for many years as a neonatologist and pediatrician, saving the lives of countless infants. His mother worked as a registered nurse at a long-term care facility, taking care of the elderly and most vulnerable members of society. From their example, he learned the values of hard work, generosity and respect for all. It’s why he chose
to dedicate his life’s work to public service.
After graduating from Northwestern University, Hasa attended Georgetown University Law Center, where he served as the Editor in Chief of the Georgetown Journal on Poverty Law & Policy. He also interned at the U.S. Attorney’s Office for the Southern District of New York and for the Civil Rights Division of the U.S. Department of Justice.
During an internship in Washington, D.C., in 2006, Hasa met his wife Audrey. Together, they live in Manhattan with their two young children.

CAREER PUBLIC SERVANT​


After law school, Hasa began his legal career as an Assistant District Attorney at the Manhattan D.A.’s office, where he prosecuted thousands of misdemeanor and felony cases and gained valuable litigation experience. Since then, he has worked in the New York State Attorney General’s Office as an Assistant Attorney General, and as a former court attorney for the Hon. Peter H. Moulton, New York State Supreme Court Justice. He is currently the Principal Court Attorney for the Hon. George J. Silver, Deputy Chief Administrative Judge of the New York City Courts. He was named “Most Highly Qualified” by the 2021 New York County Democratic Party Independent Screening Panel.
Ultimately, Hasa believes that humanity is redeemed when we treat one another with dignity and respect. That is what he has done and will continue to do each day as a professional serving the public.

VOTE FOR HASA NOVEMBER 2​


The 5th Municipal Court District runs from West 65th Street to West 110th Street, from the Hudson River to Central Park. If you live in the 5th Municipal Court District, vote for Hasa Kingo in the general election, Tuesday, November 2, 2021. Early voting also available October 23-31.
If you have any questions or would like to volunteer for the campaign, please contact us via email, Facebook or Twitter, below.
 
Easy target. Wanawake wa kizungu akiwa ktk prime (20 - 24) na beauty scale yake ikiwa 8 to 10 out of 10 sio rahisi kuolewa na mwanaume mweusi ni asilimia ndogo sana (hasa hasa wana michezo kama kikapu) kwa sbb wengi huwa na options nyingi sana.

Wakifika kuanzia miaka 30 hapa ndio huwa wanawakubalia wanaume weusi maana uzuri umepungua na uzee tayari umeingia hapa huwa wanaolewa sana na wanaume weusi waliofika vyuo vikuu na wana kazi nzuri kama huyu jombaa hapa.
Sio kweli mkuu, mapenzi ni hisia na wanawake wanakuwa emotional driven, sio lazima iwe sababu ulizosema,

Watu wanabeba wazungu safi tu kutoka hapa hapa tz
 
Wacha ale maisha bwana..ni juhudi zake binafsi no one owe him shit

Ila kuoa mwanamke ambae si wa kwao Mkuranga ndio kwakweli he will never get any respect from me.
Respect ataipata kwa familia yake unayoiona hapo kwenye picha mkuu nafikri itamtosha zaidi.

Sidhani kama kuna mipaka ya ukabila au rangi ya ngozi kwenye kuoa na kuujaza ulimwengu katika vitabu vya dini
 
Back
Top Bottom