6WaS9
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 2,610
- 3,140
Sio kweli, unamaanisha kwa jinsia zote au ni wazungu wanawake tu?Mbona hao wote wameoa Blacks tu wazungu wanapenda waafrica weusi wakiwa mashuhuri au matajiri tu
Sio kweli, unamaanisha kwa jinsia zote au ni wazungu wanawake tu?Mbona hao wote wameoa Blacks tu wazungu wanapenda waafrica weusi wakiwa mashuhuri au matajiri tu
Haya unayoyaandika yapo katika race zote , fuatilia forum za nje hukonutaelewa , au hata majadiliano yao hap wazungu YouTube!wanafata maisha ndugu..
wee unadhani mzungu hata awe maskini ataoa kibibi ili atunzwe??!!
akioa jua anatafuta FAME tuu..
sisi wabongo huku ni rahisi kuwa baba wa nyumbani.lakini sio muamerika mwenye akili zake eti umuweke kinyumba..BIG NO
Joe Chialo was born in 1970 in Bonn as the son of a Tanzanian diplomat. In the 1990s, he was a member of the Green party. "I am not the token black guy," said Chialo now a CDU party candidate in an interview ..... BILD...
Ukioa mweusi hupati mafanikio ughaibuni kwani kila siku ni kuzinguana tu! Mzungu akipenda amependa!!
Wako njema na ndoa zao provided hawana uswahili na ninao kadhaa ambao pia ni marafiki zangu. They enjoy their marriages maisha yanaenda poa tu.Naomba maoni yako kuhusu “dada zenu wa Kiafrica” ambao ni wake wa
Mchoyo waukae,waukae kafeli...![emoji2][emoji2][emoji2]Waukae mwabaho, mietu koja idumwe yuno, hakuitanga weyage
Wabongo huwa tunapenda unafiki na kujigongagongaHuyo ana uraia wa marekani
Syo mtanzania tena
Acheni kujisogeza kwake sasa
Mkitaka ruhusuni uraia pacha basi
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzaramu Msanga product hiyo.
Braza alipigwa na kitu kizito kichwani na nyie wadada wa bongoHuwa lazima aponde kuna kitu nahisi ashfanyiwa [emoji23][emoji23]
Usikute hao wazungu nao ukimbilia kuolewa na black wenye ukwasi na jinaHao kina Obama alioa kabla ya kuwa maarufu Sasa angeoaje wakati amekuwa Raisi wa nchi, kikwete tumtoe tu kwenye hii list, pia but majority ya blacks maarufu hukimbiliwa na wazungu that's was my point
Au nasema uongo ndugu zangu, nshashuhudia wanawake wawili wa ndugu kabisa wamepiga huo mchongo ila wakawa deported.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nani hataki mbegu kama hizi? Hawa ni watoto wa Chindo Man yule bro chalii ya Chuga. Alipata mtasha wake unyamwezini akafanya kweli! Sahivi LG tu maisha yanaenda na uwekezaji wa kutosha no drama yani.Kama nikifanikiwa kuvuka tu maji ya bahari kuingia huko utashani why nisione mtasha[emoji2]
Nani anataka drama za wala vumbi wa bongo[emoji1787][emoji1787]
Sasa mkuu nani anapenda kuendelea kuwa kwenye chain ya kupambania wali maharage😅?Sijui kwanini wabongo wengi (sio wote) wanapenda kuoa vibibi huko duniani....🤔🤔
Kaoa beberu, vigezo na masharti kuzingatiwa.Huyu ni Mtanzania kutoka kijiji cha Msanga kwa Dibibi, Wilaya ya Kisarawe.
Leo ameapishwa kuwa Jaji wa Mahakama jiji la New York.
Anaingia kwenye rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kuwa Jaji nchini Marekani.
View attachment 2040082View attachment 2040083View attachment 2040084View attachment 2040085
Wali maharage umekukosea nini jamani?Sasa mkuu nani anapenda kuendelea kuwa kwenye chain ya kupambania wali maharage😅?
Ofcourse naweza sema 80% ya wabongo wapo katika deep state of poverty kuna 20% ya watu ambao ni High na Middle income earners hao ndio wanasiasa na wafanyabiashara wakubwa na wengine wala rushwa humo na janja janja.
Wananchi wa kawaida wengi ni maskini so ikitokea chance kuna watu huwa hawataki kuzichezea! Ndio utaona kugonga kibibi ni ajabu ila maisha ya mtoni msoto wake sio wa kutafta hela ya kula na kulala kama bongo. Ukila visa ukaenda ukapewa PR ya kule mambo huwa mswano tu.
Bongo ukikosa mchongo maisha yanakuwa shaghalabagala kabisa😂😂😂 utateseka adi ufe!