Mtanzania Hasa A Kingo awa Jaji Nchini Marekani

Mtanzania Hasa A Kingo awa Jaji Nchini Marekani

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
3,502
Reaction score
3,486
Huyu ni Mtanzania kutoka kijiji cha Msanga kwa Dibibi, Wilaya ya Kisarawe.

Leo ameapishwa kuwa Jaji wa Mahakama jiji la New York.

Anaingia kwenye rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kuwa Jaji nchini Marekani.
IMG-20211211-WA0009.jpg
IMG-20211211-WA0010.jpg
IMG-20211211-WA0008.jpg
IMG-20211211-WA0007.jpg
 
Huyu ni Mtanzania kutoka kijiji cha Msanga kwa Dibibi, Wilaya ya Kisarawe.

Leo ameapishwa kuwa Jaji wa Mahakama jiji la New York.

Anaingia kwenye rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kuwa Jaji nchini Marekani.
View attachment 2040082View attachment 2040083View attachment 2040084View attachment 2040085
Nakumbuka yule jamaa aliye pata tuzo ya nobel tukaanza jimwambafai kumbe sisi wenyewe tulimzingua mpaka akakimbia nchi!

Yani tunapenda kudandia mafanikio ya mtu badala ya kuweka mazingira mazuri ili tutengeneze watu wenye mchango hapa duniani!

Sasa huyu una muita mtanzania, hivi anaweza kuwa judge nchini marekani wakati sio raia wa Marekani?
 
Back
Top Bottom