Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,402
- 191,524
Ni mfano tu...ni mfano tu nimezungumzia mfano tu ~ in Gwajimas voice!Wali maharage umekukosea nini jamani?
Ni mfano tu...ni mfano tu nimezungumzia mfano tu ~ in Gwajimas voice!Wali maharage umekukosea nini jamani?
Jinsia zote tuSio kweli, unamaanisha kwa jinsia zote au ni wazungu wanawake tu?
Yes ndio hukimbilia kwa blacks Ili kupata utajiri plus fame juu ya yoteUsikute hao wazungu nao ukimbilia kuolewa na black wenye ukwasi na jina
Wazungu wako walalahoi pia
KabisaBraza alipigwa na kitu kizito kichwani na nyie wadada wa bongo
Sahv watajikomba atatengenezewaWabongo huwa tunapenda unafiki na kujigongagonga
Halafu huyu sio kiranga huyo
Maana nae mzaramo[emoji1787]
Ni ugumu wa kupata Makaratasi Mkuu, ndio maana waafrika wegi (sio tu Wa-Bongo); inabidi wafanye hivyo.Sijui kwanini wabongo wengi (sio wote) wanapenda kuoa vibibi huko duniani....🤔
Uko serious Jombaa? Au unatania? Women love men for what they can do for them (opportunistically) i.e higher status, better lifestyle, physical protection, etc. Hujawahi kusikia kauli ya filisika umjue mkeo?Sio kweli mkuu, mapenzi ni hisia na wanawake wanakuwa emotional driven, sio lazima iwe sababu ulizosema,
Umeisoma vizuri hiyo comment yangu? Jaribu kuirudia taratibu na uitafakari. Jamaa aliuliza mbona wanaoa vibibi vya kizungu? Hata hawa unaowasema huwa wanaoa wanawake wakubwa past their prime years(30+).Watu wanabeba wazungu safi tu kutoka hapa hapa tz
Hao siwataki hata kuwaona😂Ukifika Europe au North America kaa mbali na mademu wa west africa,kenya na Rwanda ni matapeli wa mapenzi
Nyoko kweli hao bora udate na mtz mara 100 kuliko hao washenziHao siwataki hata kuwaona😂
Kaka hata ukiwa na karatasi kama sio mpambanaji hutoki,watu wakifika nje wanabweteka wanajiona wamekuwa wazunguSasa mkuu nani anapenda kuendelea kuwa kwenye chain ya kupambania wali maharage😅?
Ofcourse naweza sema 80% ya wabongo wapo katika deep state of poverty kuna 20% ya watu ambao ni High na Middle income earners hao ndio wanasiasa na wafanyabiashara wakubwa na wengine wala rushwa humo na janja janja.
Wananchi wa kawaida wengi ni maskini so ikitokea chance kuna watu huwa hawataki kuzichezea! Ndio utaona kugonga kibibi ni ajabu ila maisha ya mtoni msoto wake sio wa kutafta hela ya kula na kulala kama bongo. Ukila visa ukaenda ukapewa PR ya kule mambo huwa mswano tu.
Bongo ukikosa mchongo maisha yanakuwa shaghalabagala kabisa😂😂😂 utateseka adi ufe!
Hahahahah ukienda na akili hio hutoboi! Kama huna passion ya kukimbiza hutoboiKaka hata ukiwa na karatasi kama sio mpambanaji hutoki,watu wakifika nje wanabweteka wanajiona wamekuwa wazungu
Mnapenda sana huu ujinga wa kudandia mafanikio ya watu, Tanzania hakuna uraia pacha na ulishakataliwa. He is simply a US citizenHuyu ni Mtanzania kutoka kijiji cha Msanga kwa Dibibi, Wilaya ya Kisarawe.
Leo ameapishwa kuwa Jaji wa Mahakama jiji la New York.
Anaingia kwenye rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kuwa Jaji nchini Marekani.
View attachment 2040082View attachment 2040083View attachment 2040084View attachment 2040085
Hakuna kijiji kinacho itwa msanga kwa dibibi bali kuna kijiji kinaitwa msanga. Apo pana soko japo ni dogo sana wamezoea kupaita msanga sokoni. Sasa kwa mbele kuna check point ya maliasili kuna diwani mmoja amejenga apo huyo diwani ndio anaitwa dibibi. Mtoto wake mmoja anaitwa shafii nimesoma nae apo Jasesco. Mzee mwingine maharufu apo msanga sokoni ni mzee gema,ng'ungule n.kHuyu ni Mtanzania kutoka kijiji cha Msanga kwa Dibibi, Wilaya ya Kisarawe.
Leo ameapishwa kuwa Jaji wa Mahakama jiji la New York.
Anaingia kwenye rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kuwa Jaji nchini Marekani.
View attachment 2040082View attachment 2040083View attachment 2040084View attachment 2040085
Wale wapumbavu watakuambia ni juhudi za mama alipoenda huko aliongea na biden ndio jamaa akapewa ujaji[emoji16]Huyu ni Mtanzania kutoka kijiji cha Msanga kwa Dibibi, Wilaya ya Kisarawe.
Leo ameapishwa kuwa Jaji wa Mahakama jiji la New York.
Anaingia kwenye rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kuwa Jaji nchini Marekani.
View attachment 2040082View attachment 2040083View attachment 2040084View attachment 2040085
Tuwatengeneze wakati mtu hapa home akiwa na reasoning kubwa utaitwa kibaraka wa mabeberu, mara sio mzalendo au mleta chokochoko.Nakumbuka yule jamaa aliye pata tuzo ya nobel tukaanza jimwambafai kumbe sisi wenyewe tulimzingua mpaka akakimbia nchi!
Yani tunapenda kudandia mafanikio ya mtu badala ya kuweka mazingira mazuri ili tutengeneze watu wenye mchango hapa duniani!
Sasa huyu una muita mtanzania, hivi anaweza kuwa judge nchini marekani wakati sio raia wa Marekani?
Nimekupata vyema mkuu, uko sahihi kea upande mmojaUko serious Jombaa? Au unatania? Women love men for what they can do for them (opportunistically) i.e higher status, better lifestyle, physical protection, etc. Hujawahi kusikia kauli ya filisika umjue mkeo?
Umeisoma vizuri hiyo comment yangu? Jaribu kuirudia taratibu na uitafakari. Jamaa aliuliza mbona wanaoa vibibi vya kizungu? Hata hawa unaowasema huwa wanaoa wanawake wakubwa past their prime years(30+).
Ngoja nikupe tafsiri ya nilichomaanisha kwa mfano, Je, hakuna wanawake wanaopata mimba wakiwa na miaka 50? Jibu ni wapo. Ila si kila mwanamke anaweza kupata mimba na umri huo.
Ni maamuzi ya mtu binafsi, kuoa au kuolewa na mtu wa taifa lolote,hen unaona hawakufai kuao unaenda ku-commit to other women?
Ni raia wa Marekani sema wtz kujikomba ni jadi yao.....ni mtanzania au raia wa marekani !
tanzania hatuna uraia pacha hapa [emoji19]
Uchawi wote upo kwenye katiba kaka......Hongera zake. Huu utaratibu wa sisi wananchi kuwachagua kwa kuwapigia kura majaji utatusaidia sana kupata majaji ambao hawapokei maelekezo kutoka kwa wanasiasa.