TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,265
- 25,539
Sasa mkuu wanawake wenyewe ndiyo jamii ya kina Mange unadhani nini kitatokea?.Weusi na wazungu yaani ukiwa na mafanikio lazaima uowe mzungu.
Sasa mkuu wanawake wenyewe ndiyo jamii ya kina Mange unadhani nini kitatokea?.Weusi na wazungu yaani ukiwa na mafanikio lazaima uowe mzungu.
Sio kweli ni rahisi zaidi kupata demu wa kizungu huko mbele kuliko kupata black beaty aliyetulia tek that from meYes sio kwamba weusi wabaya ila umaskini angalia black wote wenye vyeo na pesa wameoa wazungu
Si vina mvunye lakini?Sijui kwanini wabongo wengi (sio wote) wanapenda kuoa vibibi huko duniani....[emoji848][emoji848]
Point yako ni ya vijiweniHao kina Obama alioa kabla ya kuwa maarufu Sasa angeoaje wakati amekuwa Raisi wa nchi, kikwete tumtoe tu kwenye hii list, pia but majority ya blacks maarufu hukimbiliwa na wazungu that's was my point
Sasa wewe unaenda kutafta wale black Americans wenye maadili zero Ili iweje?Sio kweli ni rahisi zaidi kupata demu wa kizungu huko mbele kuliko kupata black beaty aliyetulia tek that from me
Weka wewe official statement mkuu, that's was my opinion kubali kutokubaliana, weka yako nzuriPoint yako ni ya vijiweni
Hao wenye maadili mazuri ni ngumu kuwapataSasa wewe unaenda kutafta wale black Americans wenye maadili zero Ili iweje?
Afrika nzima hiii wamejaa wakina Mange tuuu kweli, siyo huyo tuu hata wanamichezo wakubwa wapo na wazunguSasa mkuu wanawake wenyewe ndiyo jamii ya kina Mange unadhani nini kitatokea?.