Mtanzania Hasa A Kingo awa Jaji Nchini Marekani

Mtanzania Hasa A Kingo awa Jaji Nchini Marekani

Wazungu wanapenda mtu mwenye future I'm sure Africa ingekuwa rich continent ungekuta nusu ya watu weusi duniani through intermarriages na hao whites
Sipendi huo ujanja wao, na sisi hatuoni kuwa hao chawa wanafuata watu wenye mafanikio tuu, makabwela hawana habari nao.
 
Sijui kwanini wabongo wengi (sio wote) wanapenda kuoa vibibi huko duniani....🤔🤔
Easy target. Wanawake wa kizungu akiwa ktk prime (20 - 24) na beauty scale yake ikiwa 8 to 10 out of 10 sio rahisi kuolewa na mwanaume mweusi ni asilimia ndogo sana (hasa hasa wana michezo kama kikapu) kwa sbb wengi huwa na options nyingi sana.

Wakifika kuanzia miaka 30 hapa ndio huwa wanawakubalia wanaume weusi maana uzuri umepungua na uzee tayari umeingia hapa huwa wanaolewa sana na wanaume weusi waliofika vyuo vikuu na wana kazi nzuri kama huyu jombaa hapa.
 
Ukiingia you tube utsona vijana wengi wa kawaida wameo mabinti wa kizungu wadogo tu ki umri.
Hata hivyo waafrika wengi wanaugonjwa wa kisaikolijia wa kutojikubali(self hate).
Huu ugonjwa tiba yake ni ngumu.
 
Nakumbuka yule jamaa aliye pata tuzo ya nobel tukaanza jimwambafai kumbe sisi wenyewe tulimzingua mpaka akakimbia nchi!

Yani tunapenda kudandia mafanikio ya mtu badala ya kuweka mazingira mazuri ili tutengeneze watu wenye mchango hapa duniani!

Sasa huyu una muita mtanzania, hivi anaweza kuwa judge nchini marekani wakati sio raia wa Marekani?
ccm hata siku moja haiwezi kutengeneza watu kama hao. inaogopa mwisho wa siku watageuka na kuwa threat kwa chama.
 
Kwahiyo ndio akaona abadili na jina kutoka kuitwa hassan mpka kuitwa hasa ?
... ha ha ha! Huyo kisha ritadi; hukmu yake ni kifo tu basi! Dunia imetoka zama za ushenzi sana!
 
Back
Top Bottom