Mtangazaji wa ITV Mabere Makubi usiangaike na ajira ITV, wiki ijayo utapata ajira nje nakamilisha mazungumzo

No, she is useless and does not deserve to be called a journalist! She has been doing these blunders repeatedly and it seems she is not serious with her career!
She better go back to school and equip herself instead of vibrating in the public domain wildly!

You are entitled to your opinion ; in this case you overtly subjective!
 
Pascal Mayalla and other like minded Tanzania Journalists you have something very important to do in your industry! CAPACITY BUILDING & MENTORSHIP!

Tanzania has got very poor and worthless media industry particularly on Journalists!

I sometimes lough at myself after having listen from Prof.Mutahi Ngunyi and his "kids" at their Fort Hall School of Good Governance or presenters from Citizen TV, K24 ,NTV etc and compare to Journalists here at Home!

It will take us several decades to reach where our fellow Kenyans are today!

These poor Journalists we have here in Tanzania are the ones who entertain these short sighted politicians in our political arena!

Pascal Mayalla, Deodatus Balile,Manyerere Jackton and other serious Journalists you have to do something if you want this industry to mean something in this Country!!
 
Waandishi wa habari Tz,Bongo Muvi,,na waimba taarabu wote kuanza Diamond mpk Homorapa...Nyie mkipata na msiba msitushirikishe raia wema...Pambaneni na hali zenu...

Ni watu wa hovyo Sana hapa Tz Zama hizi...
 
Hivi hawa waandishi wa Tanzania wanasoma vyuo gani?!
Sasa huyu Beatrice Kamugisha naye ni mwandishi wa habari?!
Ana tofauti gani na Mama Ntilie wa pale Manzese!?
Mwandishi wa habari eti anaandika " anamzalilisha"!
Hivi kama kiswahili tu ni shida kwa waandishi wa Tanzania, vipi kiingereza ?!
Sijui hata kama Waandishi wa Tanzania wanafuatilia kuona wenzao kama wa hapo Kenya walivyo smart!
Waandishi wamekalia umbea umbea tu ,upstairs zeeero!
Ukiamua kuwa mwandishi wekeza kwenye taaluma yako! Onyesha tofauti kati yako na mtu ambaye si wa taaluma yako!
Mwandishi ambaye hata maana ya maneno hajui una tofauti gani na kibaka wewe!!
Utawasikia wakitamka maneno kama "arizi' "zarau",zahabu, zambi, zalilisha, mirasi, habali,!
Vyuo gani na walimu gani waliwafundisha haya maujinga??!
Mnatia hasira sana Makanjanja nyie!
nimecheka mbavu cna khaaaah.
 
Nashukuru msomi unayedhani Kufanya kazi ya mama ntilie ni kukosa elimu. Ubarikiwe Sana, unaitendea kazi elimu Yako.

Mimi elimu yangu inanifunza matamshi utokana na makuzi, lakini pia kifaa kinachotumika kuandika kinaweza kuwa na lugha yake.

Hapa hakuna anayeleta mada Kwa lengo la editing, tunaleta ujumbe tukimaliza tunapokea maoni Kwa lengo la kuboresha.

All in all umefanya kazi nzuri; Hongera Sana msomi
 
It's very painful!, most media correspondences ni deiwaka!.
Hili nililijua baada ya kifo cha Daudi Mwangosi wa Channel Ten.

P
So sad, ila uhuru wa habari tunasema umerudi but wahariri kwenye hizi media zetu Kuna habari hawataki ziona au zisikia hatujui ni agizo au vipi

Kuna nyuzi nilileta hapa kuhusu raia wa kigeni hususani kutoka ASIA na NIGERIA kujazana mitaani kwetu uku nakufanya shughuli ambazo wazawa wanaweza nikahoji maafisa wa uhamiaji mikoa na wilaya je hawajui hawa watu mbona wamepanga mitaani kwetu na wengine wanaenda kufanya biashara kwenye tasisi za umma mfano kuuza vyombo vya majumbani aisee huo Uzi sijui umepotelea wapi

Siye tunajua impact ya JF ukitupia kitu humu wahusika mpaka maboss inawafikia direct ajabu Uzi huo haupo ndio unawaza hii imekaaje kwenye tasnia ya habari kwa sasa tumerudi kwenye kusifu na kuabudu kimya kimya bahasha zinatembea au vipi
 
No, she is useless and does not deserve to be called a journalist! She has been doing these blunders repeatedly and it seems she is not serious with her career!
She better go back to school and equip herself instead of vibrating in the public domain wildly!
Wewe mjinga sana umesoma wapi zaidi ya hapa Bongo?
 
So sad, ila uhuru wa habari tunasema umerudi but wahariri kwenye hizi media zetu Kuna habari hawataki ziona au zisikia hatujui ni agizo au vipi

Kuna nyuzi nilileta hapa kuhusu raia wa kigeni hususani kutoka ASIA na NIGERIA kujazana mitaani kwetu uku nakufanya shughuli ambazo wazawa wanaweza nikahoji maafisa wa uhamiaji mikoa na wilaya je hawajui hawa watu mbona wamepanga mitaani kwetu na wengine wanaenda kufanya biashara kwenye tasisi za umma mfano kuuza vyombo vya majumbani aisee huo Uzi sijui umepotelea wapi

Siye tunajua impact ya JF ukitupia kitu humu wahusika mpaka maboss inawafikia direct ajabu Uzi huo haupo ndio unawaza hii imekaaje kwenye tasnia ya habari kwa sasa tumerudi kwenye kusifu na kuabudu kimya kimya bahasha zinatembea au vipi
Kuna baadhi ya mods wa hovyo Sana ....itakuwa waliuchinja huo Uzi...Tasnia ya habari kwa hapa Tz Ni moja ya Tasnia za hovyo...

Habari ikiwa ya CCM wanajua kuipaka rangi na nakshi za kipemba..Sinunui Gazeti Wala kusikiliza Redio Tena
 
Ilikuaje Mkuu huo Msiba Wake..? Maana Huyu alikuwa Mwanahabari Mkubwa Sana.Embu dokeza Kwa faida Ya Wengi.
Sikuwa najua kuwa Alifariki..!
Sio vizuri kabisa kutoa siri za misiba ya watu, marehemu waachwe wapumzike kwa amani. Kwa vile hukuwa na taarifa, karibu mitaa hii

Na mimi pia nilikuwepo nikafanya yangu

P
 
It's true Mimi ni Mkatoliki wa The African Catholic, tuna ndoa moja ya kanisani na nyingine za kimila, Mungu na Bible,haijakataza polygamy popote!. Hivyo kuna vitu tunafuata amri za kanisa, lakini vingine tunafuata Amri za Mungu mwenyewe.

P.
Hii ndio naisikia leo ,,,kuwa mfuasi wa Mungu na Mfuasi wa Mila....hii baghosha kabisa.
 
Mabere Makubi alifukuzwa na ITV baada ya kuripoti Habari ya maandamano ya machinga Mwanza.

Alishinikizwa kwenda Kwenye vyombo vya HABARI kuomba radhi.

Akatumwa MTU ITV kwenda kushinikiza afukuzwe kazi.

Familia yake ikaanza kuteseka na akaanza kuombaomba huku waliomfanyia huu unyama wakiwa wanakula Idd na Pasaka na familia zao.

Waandishi wenzake wamemtenga, Nyanda anatumia akaunti yake ya Instagram kuzidi kumchafua akidhani anamsaidia.

Anamwandika as if anamwombea msamaha kumbe indirect anamzalilisha nakutumika na system kuonyesha kwamba serikali inaweza kukufanya chochote.

Taarifa hizi nimezifikisha Kwa mdau wa masuala ya Habari nchi jirani, anafuatilia CV yake aone kama anaweza kumpa kazi ya reporter kutokea Tanzania. Wakiona CV inafaa watamchukua.

Nimeshauriana pia na wenzetu waandishi wa Habari ana wamiliki binafsi , wanaangalia namna ya kumsaudia Mzee wetu huyu aweze kuendeleza taaluma yake.

Lakini hii inatufundisha kwamba hakuna solidarity miongoni mwawana Habari. Kila Siku wanateseka lakini ukifuatilia hotuba Yao Leo is as if Kila kitu kipo sawa.

Wakati huo huo wapo mawakili wanafuatilia namna ya kuchukua hatua endapo ITV walikiuka taratibu za ajira

Tumsaidie mwenzetu; tuungane. Imeandikwa na F.T.F,
Kwa hiyo iTV nayo ishakuwa kama TBC na Channel Ten?!!!
 
Back
Top Bottom