Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,274
- 29,150
Sio kwasababu hana vyeti vya Jonalizimu...????
Kina kitenge wote wamepigwa chiniNa mimi nimehisi hivyo.Hana vigezo
Huo ndio ukweliSio kwasababu hana vyeti vya Jonalizimu...????
Mpenda ku dive,diver.Ndiyo nani huyu huko dalesalama
Ithibati au sioAseme ukweli hana vigezo vya kuwa mwandishi kwa mujibu wa wizara ya habari
Ila ndiyo hivyo miaka yake ni 37She was born in 1983
Na kizazi alifunga sijui kabla hata hajazaa masikini ya MunguAcha kuchezea hela yani umuoe kwa mahari ya buku kitita chote cha pesa hicho ukiharibu kwa huyo demu?
Ni fireSo Jamaa wame amua kum- fired
nyumba kwani maisha ni mtoto? du kweli Watu wanaangamia kwa kukosa maarifaAt her age 37 yrs hana Nyumba ,hana ndoa hana mtoto anabidi kujitafakari Sana akumbuke Malinzi sio Baba yake hivyo anaweza asimpe urithi.
At her age 37 yrs hana Nyumba ,hana ndoa hana mtoto anabidi kujitafakari Sana akumbuke Malinzi sio Baba yake hivyo anaweza asimpe urithi.
Nimemshangaa mno huyo Pimbi Mkuu.Unalalamika hana nyumba kwani analala kwako?
Vipi wewee umejikamilisha? Wa kukupa urithi unae? Tuwe na kiasi!At her age 37 yrs hana Nyumba ,hana ndoa hana mtoto anabidi kujitafakari Sana akumbuke Malinzi sio Baba yake hivyo anaweza asimpe urithi.
42 sio 37Ila ndiyo hivyo miaka yake ni 37
Nani alimshauri awe anavaa hayo madude kwenye lens za macho ?Mtangazaji maarufu na kipenzi cha mashabiki, Diva Gissele Malinzi almaarufu Diva The Bawse, ametangaza rasmi kuachana na kituo cha Wasafi Media, akieleza kuwa amefikia hatua ya kuanza ukurasa mpya katika maisha yake ya kazi.
Kupitia ujumbe uliojaa hisia, shukrani na upendo mkubwa kwa familia ya Lavidavi na timu nzima ya Wasafi, Diva amesema amewasilisha barua yake ya kuondoka mapema leo asubuhi, ameeleza kuwa kipindi cha Lavidavi kilikuwa moja ya sura nzuri zaidi katika taaluma yake, na kwamba kila usiku, kila sauti ya msikilizaji na kila ujumbe vilikuwa sehemu ya moyo wake.
"Tumejenga nyumba ya hadithi halisi za mapenzi, uponyaji, vicheko, ujasiri na mazungumzo ya kweli. Mmenilea, mmenisukuma, na mmenifanya kuwa bora zaidi," ameandika Diva.
Akiwaaga kwa heshima timu nzima ya Wasafi, kuanzia kwa watayarishaji, timu ya kidijitali, wahandisi wa sauti hadi uongozi, Diva amesema anaanza msimu mpya wa maisha, lakini akasisitiza kuwa huu si mwisho wa safari, bali ni pumziko la heshima.
"Popote nitakapokwenda, roho ya Lavidavi itaendelea kuishi. Endeleeni kupenda, kupona, na kuamini katika mapenzi."
Kwa miaka kadhaa, Diva The Bawse amekuwa sauti ya kipekee usiku katika redio ya Wasafi, akitoa nafasi kwa simulizi za mapenzi, mafanikio na changamoto za maisha, huku akibaki kuwa miongoni mwa watangazaji wenye ushawishi mkubwa Tanzania.
Bora hiyo buku akununulie wewe pipi.Acha kuchezea hela yani umuoe kwa mahari ya buku kitita chote cha pesa hicho ukiharibu kwa huyo demu?
Huoni kama utoto unakuendesha ?Kwanini